Read, copy, and download the Wana lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Wana by Zuchu from the album I Am Zuchu. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:16.84. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Wana]
[ar:Zuchu]
[al:I Am Zuchu]
[lang:Swahili]
[length:03:16.84]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:19.20]Hunywi maji yakapita
[00:21.43]Mi nkiguna ushafika
[00:23.77]Jina gani hujaniita baby
[00:28.97]Ushauri hutaki kabisa
[00:31.08]Eti uniache nna visa
[00:33.53]Vya Firauni na Musa vingi
[00:38.09]Nikilala naota kama unaniita
[00:42.65]Nafumba macho navuta shuka
[00:45.47]Naona napumbazika
[00:47.58]Unishikapo ndipo hapo nafarijika
[00:51.93]Mambo yako mahaba yako
[00:54.92]Ndo maana natononoka weh
[00:57.30]Wana wana wana wana
[00:59.44]Pale tulipokutana
[01:01.78]Mikono tukapeana
[01:03.92]Macho yakatizamana
[01:06.81]Wana wana wana wana
[01:08.71]Pale tulipokutana
[01:11.28]Namba kubadilishana
[01:13.71]Nafsi kukubaliana aah
[01:17.64]♪
[01:26.49]Nzi kidondani huvia
[01:29.85]Wahenga walisema
[01:31.41]Maradhi yaweza yasiwe na dawa
[01:33.92]Kwa penzi yakapona
[01:35.66]Rabii amenipa nusura
[01:38.53]Jeuri sina tena
[01:40.30]We ndo ganzi umenimaliza hasira
[01:43.26]Siumwi wakisema
[01:45.28]Nidekeze niliwaze
[01:47.76]Washushuke wanyamaze
[01:49.82]Nikinuna nibembeleze
[01:52.54]Usinipepee nipulize
[01:54.84]Watuone washituke
[01:57.24]Roho zao ziwaume
[01:59.47]Mi nipike ule chote
[02:02.08]Unenepe upendeze
[02:04.03]Wana wana wana wana
[02:06.30]Pale tulipokutana
[02:08.49]Mikono tukapeana
[02:11.05]Macho yakatizamana
[02:13.94]Wana wana wana wana
[02:16.17]Pale tulipokutana
[02:18.43]Namba kubadilishana
[02:20.50]Nafsi kukubaliana aah mmh
[02:24.03]♪
[02:32.57]Ukitaka uniweze nibebe wewe
[02:37.06]Ukipenda unibimbe unikumbatie
[02:42.07]Hata watu watuone wakahadithie
[02:46.84]Nitambulishe niringe niwavimbie
[02:51.72]Ukitaka uniweze nibebe wewe
[02:56.50]Ukipenda unibimbe unikumbatie
[03:01.29]Hata Lizer atuone akahadithie
[03:05.86]Nitambulishe nitambe niwavimbie (Wasafi)
[03:10.10]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Wana by Zuchu
1. Who is the singer of "Wana" song?
⇒ Zuchu has sung the song "Wana".
2. Which album is the "Wana" song from?
⇒ The song "Wana" is from the album I Am Zuchu.
3. In which language is the "Wana" song composed?
⇒ The song "Wana" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Wana" song?
⇒ The official duration of "Wana" is 03:16.84.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Zuchu - Wana