Read, copy, and download the Litawachoma lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Litawachoma by Zuchu, Diamond Platnumz from the album Litawachoma (feat. Diamond Platnumz). Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:27.04. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Litawachoma]
[ar:Zuchu, Diamond Platnumz]
[al:Litawachoma (feat. Diamond Platnumz)]
[lang:Swahili]
[length:03:27.04]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:16.84]Habibi lauzi kipenzi changu cha ngama
[00:21.60]Mimi na wewe hadi milele
[00:25.39]Komesha wachokozi wabaki kututazama
[00:29.69]Tuwatoe jasho la nywele
[00:34.39]Haa nimesikia habari
[00:38.69]Eti kuna mtu twamkera
[00:43.03]Oooh mwana akae tayari
[00:47.19]Maana bado movie hili trailer
[00:51.66]Na usiku nikumbate (ni tete te)
[00:53.32]Ooh my babe boo (ni tete te)
[00:56.17]Kwa ghetto ning'ate ng'ate (ni tete te)
[00:57.77]You know I love you
[00:59.49]Nikizidi ugomvi unichape (ni tete te)
[01:02.61]Silaha rungu (ni tete te)
[01:04.52]Kwenye joto nipepee (ni tete te)
[01:07.05]Mwendani wangu
[01:09.33]Penzi letu kwao fire
[01:10.67]Na litawachoma sana
[01:12.77]Mmmh! Litawauma
[01:14.93]Na litawachoma sana
[01:17.34]Eh kwa roho mbaya zenu
[01:19.45]Na litawachoma sana
[01:21.25]Oooh na hatuwachani
[01:24.01]Na litawachoma sana
[01:25.88]Mmhhm ada! Kinachotakasa nafsi
[01:29.61]Huba si sabuni
[01:32.47]Kwangu usiwe na wasi
[01:34.40]Nishaacha uhuni
[01:36.00]Ada! Kama moyo jiko basi
[01:38.73]We ndo wangu kuni
[01:40.82]Mapenzi soccer
[01:41.91]Nipe pasi nitie nyavuni
[01:45.02]Tena wasikutishe
[01:49.21]Kwa jumbe zao za kata (kata)
[01:50.97]Mi ndio kamati kuu
[01:51.86]Hapa jimbo umepata (pata)
[01:54.00]Mahaba ni tashtiti
[01:55.39]Na baby unayajua
[01:58.03]Siwezi fanya ya Shishi
[01:59.70]Uchebe kukubutua
[02:02.34]Waambie na ibilisi
[02:03.97]Watu wanajisumbua
[02:06.43]Ufupa kashindwa fisi
[02:08.68]Wao paka utawaua
[02:10.63]Dodo dodo
[02:12.20]Nimeokota dodo na mjani wake
[02:14.88]Nimeokota dodo
[02:16.72]Litayemkera ni shauri zake
[02:19.13]Simba nimelipata dodo
[02:21.00]Nimeokota dodo na mjani wake
[02:23.71]Oh mi mwenzenu toro
[02:25.31]Litayemkera ni shauri zake
[02:28.00]Na litawachoma
[02:29.81]Na litawachoma sana
[02:31.68]Mmmh! Litawauma
[02:34.14]Na litawachoma sana
[02:36.48]Eh kwa roho mbaya zenu
[02:38.60]Na litawachoma sana
[02:40.99]Oooh na hatuwachani
[02:43.14]Na litawachoma sana
[02:45.08]Asa baby nichezeshe ngondo
[02:47.17]Ngondo, ngondo ingwango!
[02:50.39]Ah tulicheze ngondo
[02:51.95]Ngondo, ngondo ingwango!
[02:54.33]Eh timbwili timbwili tutimbwilike
[02:56.52]Ngondo, ngondo ingwango!
[02:58.67]Oooh mpaka kupambazuke
[03:00.78]Ngondo, ngondo ingwango!
[03:02.97]Ai ngondo!
[03:05.96](Ayolizer)
[03:12.34]Wasafi
[03:22.16]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Litawachoma by Zuchu, Diamond Platnumz
1. Who is the singer of "Litawachoma" song?
⇒ Zuchu, Diamond Platnumz has sung the song "Litawachoma".
2. Which album is the "Litawachoma" song from?
⇒ The song "Litawachoma" is from the album Litawachoma (feat. Diamond Platnumz).
3. In which language is the "Litawachoma" song composed?
⇒ The song "Litawachoma" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Litawachoma" song?
⇒ The official duration of "Litawachoma" is 03:27.04.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Zuchu, Diamond Platnumz - Litawachoma