Read, copy, and download the Raha lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Raha by Zuchu from the album I Am Zuchu. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:24.74. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Raha]
[ar:Zuchu]
[al:I Am Zuchu]
[lang:Indonesian]
[length:03:24.74]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:01.22]Mmmh
[00:03.52]Lalala mmh
[00:08.10]Lalala (Ayo Laizer) mmh
[00:13.68]Lalala mmh (Nusder)
[00:19.00]Yaani kwa sauti, kasema deka deka
[00:23.29]Na mimi najiachia
[00:26.66]Kanipa shuruti la kumteka, teka
[00:34.22]Silaha kanigawia
[00:38.23]Mbezi kimara, hunipeleka peleka
[00:43.77]Mpaka mwisho hashuki, hashuki
[00:48.33]Kiungo imara hunipenyeka penyeka
[00:53.41]Kwa ya nguvu mashuti, mashuti
[00:58.22]
[01:00.27]Aaahhh
[01:00.88]Kaniweka darasani
[01:03.06]Kunifundisha vizuri
[01:05.52]Mengi hayajulikani
[01:07.94]Yataka kuyakariri
[01:10.34]Kanichorea ramani
[01:13.74]Kopa lenye nyingi siri
[01:15.88]Nyekundu nje na ndani
[01:17.89]Rangi yake zingifurii
[01:20.40]
[01:22.43]Raha, kupendwa raha
[01:24.00](Mmhh kupendwa raha)
[01:25.59]Raha, jamani raha (naona raha)
[01:29.55]Raha, kupendwa raha
[01:32.84](Kupendwa raha)
[01:34.88]Raha, jamani raha
[01:40.03]Eti niende msituni, zaralinge na mate pwi nikamroge
[01:45.31]Abadan, oooh abadan
[01:49.07]Penzi lichanje mizaituni, kwaviringe na kuzikiri linoge
[01:53.86]Oooh Abadan, oooh abadan
[01:58.37]Mmmmh
[02:00.55]Vineno vya kisirani
[02:03.22]Kafumwa na mwafulani
[02:05.10]Mweupe mara kijani
[02:09.00]Linawahusu nini?
[02:10.36]Vipimo viso mizani
[02:12.21]Kutwa kwenu midomoni
[02:14.56]Timewakaa vichwani
[02:17.04]Mtumezee kwinini
[02:18.81]Oooooh
[02:20.24]Ndege ya asili ya buga
[02:22.30]Kufugwa hawezekani
[02:25.84]Mithili akivuruga
[02:27.57]Akaumbiwa kutamani
[02:31.10]Atenda tafuta boga
[02:34.31]Japo tama libandani
[02:35.67]Enda tenzi sina woga
[02:37.50]Atarejea ngamani
[02:39.71]Raha, kupendwa raha
[02:42.89](Kupendwa raha)
[02:44.54]Raha, jamani raha (naona raha)
[02:50.89]Raha, kupendwa raha
[02:51.85](Oooh kupendwa raha)
[02:54.87]Raha, jamani raha
[02:57.79]Ah ah
[03:03.31]♪
[03:10.93]Waaasaaafiiii
[03:20.20]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Raha by Zuchu
1. Who is the singer of "Raha" song?
⇒ Zuchu has sung the song "Raha".
2. Which album is the "Raha" song from?
⇒ The song "Raha" is from the album I Am Zuchu.
3. In which language is the "Raha" song composed?
⇒ The song "Raha" is composed in the Indonesian language.
4. What is the official duration of the "Raha" song?
⇒ The official duration of "Raha" is 03:24.74.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Zuchu - Raha