• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Napambana Lyrics by Zuchu - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Napambana lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Napambana by Zuchu from the album N/A. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 02:58.00. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Napambana by Zuchu LRC Format

    [ti:Napambana]
    [ar:Zuchu]
    [lang:Swahili]
    [length:02:58.00]
    [by:Jun]
    [re:rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:07.90]Mocco
    [00:09.43]A tout compris
    [00:12.49]Mocco
    [00:14.37]Naamka asubuhi, sina hata buku sh'ndala
    [00:18.37]Chakukila sijui, bora hata pakulala
    [00:21.83]Chumbani matandabui, mende wamefanya utawala
    [00:25.12]Na mjomba panya haelewi, riziki yake hasara
    [00:29.90]Eeh!
    [00:30.21]Kwacha kwacha, Nakwenda nakwenda
    [00:33.00]Sijakubali kudoda, hii ngoma haisambii
    [00:36.69]Na ndoto za aliniacha, sijapenda sijapenda
    [00:40.35]Aliekupa kigoda, mi' atanipa kumbi
    [00:43.31]Eh!
    [00:43.96]Nipate ntoke patupu (Kawaida hiyo)
    [00:47.32]Siku nzima niambulie buku (Ndo yakwangu sijaiba hiyo!)
    [00:51.28]Usiniulize naishije mjini? (napambana)
    [00:55.30]Niokote machupa niuze siso (napambana)
    [00:58.56]Hata nkidanga jamani niacheni (napambana)
    [01:02.19]Niwe kondakta ubungo migomigo (napambana)
    [01:05.87]Aaa!
    [01:06.76]Eeh!
    [01:07.71]Iiih (napambana)
    [01:09.51]Aaa!
    [01:10.70]Eeh!
    [01:11.46]Ooh (napambana)
    [01:13.32]Mama mkubwa le mukuu, Khadija Kopa
    [01:16.87]Boss de la boss, Mama Dangote
    [01:20.54]Majiamdimu majiamdimu (saga saga saga saga)
    [01:23.78]Eh!
    [01:24.37]Eh mungu wangu baba baba baba
    [01:26.22]Ziitikie dua zetu waja
    [01:28.40]Tupate magari sita nane saba
    [01:30.50]Tuvae Gucci, Fendi, na mi-Prada
    [01:31.56]Wewe, acha kumbwela
    [01:34.27]Mungu habagui anawapa hadi ngedere
    [01:38.37]Wewe (wewe) hela
    [01:40.15](Tafuta hela) mchawi helaa
    [01:41.74]Wanaokudharau watakuheshimu mbele (Wanaokudharau watakuheshimu mbele
    [01:46.31]Eh!
    [01:46.71]Nipate ntoke patupu (Kawaida hiyo)
    [01:49.69]Eti siku nzima niambulie buku (Ndo yakwangu sijaiba hiyo!)
    [01:54.26]Usiniulize naishije mjini? (napambana)
    [01:57.82]Niokote machupa niuze siso (napambana)
    [02:01.46]Hata nkidanga jamani niacheni (napambana)
    [02:05.70]Niwe kondakta ubungo migomigo (napambana)
    [02:08.99]Aaa!
    [02:09.60]Eeh!
    [02:10.76]Iiih (napambana)
    [02:12.20]Aaa!
    [02:13.13]Eeh!
    [02:14.28]Ooh (napambana)
    [02:16.31]Mikono juu, Mikono juu, Mikono juu
    [02:19.20]Wapambanaji Mikono juu, Mikono juu, Mikono juu
    [02:22.75]Asa usimcheke aloshindia chungwa (alie kula kalaa)
    [02:26.87]We wa biriani shibe ileile (alie kula kalaa)
    [02:30.61]Maharagwe robo ugali kilo kumi (alie kula kalaa)
    [02:34.23]Eti kula piza baga shibe ileile(alie kula kalaa)
    [02:38.10]Mama alie kula kala (alie kula kalaa)
    [02:41.72]Aah, Alie kula kalaa ah (alie kula kalaa)
    [02:45.67]
    [02:51.35]Kamix Lizer
    [02:56.92]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Napambana by Zuchu

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Raha

    Wana

    Number One

    Kwaru

    Yalaaaa

    Utaniua

    Naringa

    Nobody

    Nyumba Ndogo

    Litawachoma

    Jaro

    Kazi Iendelee

    Hakuna Kulala

    Chapati

    Cheche

    Kwikwi

    Love (feat. Adekunle Gold)

    Napambana


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Napambana" song?

    ⇒ Zuchu has sung the song "Napambana".

    2. Which album is the "Napambana" song from?

    ⇒ The song "Napambana" is from the album N/A.

    3. In which language is the "Napambana" song composed?

    ⇒ The song "Napambana" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Napambana" song?

    ⇒ The official duration of "Napambana" is 02:58.00.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Zuchu - Napambana