Read, copy, and download the Nyumba Ndogo lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Nyumba Ndogo by Zuchu from the album Nyumba Ndogo. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:01.00. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Nyumba Ndogo]
[ar:Zuchu]
[al:Nyumba Ndogo]
[lang:Swahili]
[length:04:01.00]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:06.13]Oh, oh, nikupe taarifa mwenzangu, uh-uh
[00:10.59]Yame nifika kwako we mwanamke mwenzangu uh-uh
[00:16.53]Sema oh, oh nikupe taarifa mwenzangu, uh, uh
[00:22.07]Yame nifika kwako we mwanamke mwenzangu, uh, uh
[00:28.00]Bwan'ako ana lalamika kila akija nyumbani
[00:33.71]Eti hujui kupika
[00:36.37]Kula kwako hatamani
[00:39.40]Kwangu kalipenda tembele
[00:42.20]Toto laini, laini
[00:44.78]Shoga umenyimwa upole
[00:47.63]Tajiri wa kisirani
[00:50.59]Na samahani, samahani mwanzoni
[00:53.94]Siku jitambulisha mimi nani
[00:56.07]Ni miye njoo mke mwenzio A.K.A nyumba ndogo
[01:01.79]Tena nimemganda mumeo kama kichwa na kisogo
[01:05.03]Sina ubaya (sina ubaya nawe)
[01:07.70]Ah ukinichukia (wani onea bure)
[01:10.48]Ah, sina ubaya (sina ubaya nawe)
[01:12.98]Muke mwenza uki nichukiaa (wani onea bure)
[01:16.63]Oh, sina ubaya (sina ubaya nawe)
[01:19.00]Ah, ukinichukia (wani onea bure)
[01:22.75]♪
[01:27.50]Oh, nasema mnyonge, mnyongeni
[01:29.22]Ni haki yake mpeni, muke mwenza unanifaa
[01:33.27]Miye nikiwa mwezini kwangu haiwezekani
[01:36.46]Kwako bwana anakaa
[01:38.76]Mambo kusaidiana wala Usihuzunike
[01:44.69]Siku hizi ku share mabwana ndjo Fashion kwa wanawakee
[01:50.01]Jitahidi chunga sana mwenzangu usiachike
[01:53.67]Sina ubaya (sina ubaya nawe)
[01:55.97]Ah, ukinichukiaa (wani onea bure)
[01:58.98]Ah, sina ubaya (sina ubaya nawe)
[02:01.36]Muke mwenza ukinichukiaa (wani onea bure)
[02:04.52]Oh, sina ubaya (sina ubaya nawe)
[02:07.47]Ah, ukinichukiaa (wani onea bure)
[02:09.69]Twendee nache, nache, nache, nache, nachie
[02:12.78]Huu mchezo wa kichina zungusha kiuno chako
[02:15.83]We kichina zungusha kiuno chako
[02:18.70]Kama shepu huna pambana na hali yako
[02:21.44]Kama huna pambana na hali yako
[02:23.99]Nasema Masha zungusha, we zungusha
[02:26.74]Sasa Wanjala zungusha, we zungusha
[02:29.52]Khadija Kopa zungusha, we zungusha
[02:32.53]Mama Dangote zungusha, we Zungusha
[02:35.53]Mama-ah-ah
[02:37.16]Ah, ah, ah
[02:41.28]We kama mzuka umepanda twende mpaka chini
[02:44.42]Eti nani sijamtaja aje acheze na mimi
[02:46.91]Na kama mzuka umepanda twende mpaka chini
[02:50.01]Eti nani sijamtaja aje acheze na mimi
[02:52.66]Twende changamkeni, changamkeni, changamkeni
[02:55.29]Apo kati changamkeni, changamkeni, changamkeni
[02:57.97]Na kulia changamkeni, changamkeni, changamkeni
[03:00.72]Kuchoto changamkeni, changamkeni, changamkeni
[03:03.66]Mama-a-a-a-a-ah
[03:06.30]Twendee nache, nache, nache, nache, nacheza
[03:12.23]Nasema aii mama, aii mama, aii mama, aii mama
[03:16.85]♪
[03:23.68]Andaa besee, andaa besee, andaa besee, andaa besee
[03:29.44]Twende
[03:32.34]♪
[03:34.90]Mama, andaa besee, andaa besee, andaa besee, andaa besee
[03:40.61]Twende
[03:45.26]Utajijua mwenyewe
[03:47.73]Utajijua mwenyewe
[03:50.82]Utajijua mwenyewe
[03:53.74]Utajijua mwenyewe
[03:55.36]Kamix Lizer
[03:56.41]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Nyumba Ndogo by Zuchu
1. Who is the singer of "Nyumba Ndogo" song?
⇒ Zuchu has sung the song "Nyumba Ndogo".
2. Which album is the "Nyumba Ndogo" song from?
⇒ The song "Nyumba Ndogo" is from the album Nyumba Ndogo.
3. In which language is the "Nyumba Ndogo" song composed?
⇒ The song "Nyumba Ndogo" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Nyumba Ndogo" song?
⇒ The official duration of "Nyumba Ndogo" is 04:01.00.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Zuchu - Nyumba Ndogo