Read, copy, and download the Kwaru lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Kwaru by Zuchu from the album I Am Zuchu. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:05.34. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Kwaru]
[ar:Zuchu]
[al:I Am Zuchu]
[lang:Somali]
[length:03:05.34]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:08.02]Ayo Laizer
[00:09.70]Aaaaaaahhh
[00:12.77]Aaaooaaah aah
[00:16.97]♪
[00:19.58]Roho ingekua na macho ingejionea
[00:24.23]Moyo haufanyi kificho ukiotea
[00:29.14]Mimi kipi nisonacho ungeongea
[00:33.56]Mwili wangu rojorojo nanyong'onyea aah
[00:39.18]Chungu nilichopika wamepakua wenzangu
[00:43.31]Huruma napukutishwa wamechukua donge langu
[00:48.01]Na kitabu changu cha mapenzi ukurasa umechana-chana
[00:53.04]Hazisomeki tena tenzi zimepoteza maana
[00:57.57]Mpofu moyo wangu
[01:00.33]Ulishindwa oonaa
[01:02.33]Hukuandikwa wa kwangu
[01:04.71]Limenikaba nalitemaa
[01:06.78]Kwaru kwa kwaru kwaru
[01:08.88]Kachukua kisoda anaukwaruaa aah
[01:11.60]Kwaru kwa kwaru kwaru
[01:13.42]Moyo wangu unaumia aah
[01:16.40]Kwaru kwa kwaru kwaru
[01:18.64]Ye kwa nguvu ana ukwaruaa
[01:21.64]Kwaru kwa kwaru kwaru
[01:23.58]Jamani moyo wangu unaumia aah
[01:28.18]♪
[01:34.11]Langu tatizo na chunda najimaliza
[01:38.25]Mi nakesha kumuwaza
[01:40.92]Na weweseka lake jina oooh jina
[01:45.03]Basi kwa unyonge najikaza niache kulia
[01:50.06]Maana kwake bahati sina (oooh sina)
[01:54.42]Maumivu ameipora furaha yangu (uuh)
[02:01.65]Amekwenda nayoo na
[02:04.40]Zangu mbivu zimeniozea hasara kwangu (oooh)
[02:10.90]Yatapita hayo
[02:13.21]Mpofu moyo wangu ulishindwa ona
[02:18.02]Hukuandikwa wa kwangu
[02:20.42]Limenikaba nalitemaa
[02:22.29]Kwaru kwa kwaru kwaru
[02:24.22]Kachukua kisoda anaukwarua aaah
[02:27.02]Kwaru kwa kwaru kwaru
[02:28.83]Moyo wangu unaumia
[02:31.78]Kwaru kwa kwaru kwaru
[02:33.69]Aah ye kwa nguvuuu anaukwarua
[02:36.64]Kwaru kwa kwaru kwaru
[02:38.41]Jamaniii moyo wangu unaumia
[02:42.98]♪
[02:58.57]Wasafii
[02:59.76]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Kwaru by Zuchu
1. Who is the singer of "Kwaru" song?
⇒ Zuchu has sung the song "Kwaru".
2. Which album is the "Kwaru" song from?
⇒ The song "Kwaru" is from the album I Am Zuchu.
3. In which language is the "Kwaru" song composed?
⇒ The song "Kwaru" is composed in the Somali language.
4. What is the official duration of the "Kwaru" song?
⇒ The official duration of "Kwaru" is 03:05.34.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Zuchu - Kwaru