Read, copy, and download the Naringa lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Naringa by Zuchu from the album Naringa. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:53.03. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Naringa]
[ar:Zuchu]
[al:Naringa]
[lang:English]
[length:03:53.03]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:01.16]Mh-mmh
[00:03.80]Nani Roney?
[00:05.73]Ah, Roney (he-hey, yoh Tron)
[00:10.08]Sing, mmh, eeh
[00:20.01]Let sing, come on, eeh
[00:24.40]Sioni aibu
[00:27.74]Kwa kila linalo nifika
[00:32.57]Maana kukosea ni wajibu
[00:36.51]Mola ameshaandika
[00:41.72]Na sianguki, mimi nimechaguliwa
[00:49.60]Nnae mtegemea hachoki
[00:53.71]Hajawahi kupitiwa
[00:57.85]Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza
[01:02.42]Vinanipa ujasiri, nakua gado kamili
[01:06.59]Ukitaka kunidhuru mie, upite kwake kwanza
[01:10.85]Mungu wangu halali, ana ulinzi mkali
[01:15.22]Na ndio mana naringa, naringa
[01:18.70]Naringa, naringa
[01:20.77]Naringa, nalindwa na mungu
[01:23.75]Msinione navimba, navimba
[01:27.20]Navimba, navimba
[01:29.27]Navimba, nalindwa na mungu
[01:42.72]Raise your glass
[01:44.86]Cheers to the Lord
[01:49.81]Roho mbaya, ubinafsi hajaumbiwa nyungu-nyungu
[01:54.13]Wala mtu mwenye maarifa
[01:58.14]Kweli mabaya sikosi, najua mazuri yangu
[02:02.92]Mtayasema nikifa ah, eh
[02:06.75]Unaniona napambana, kwa tabu na dhoruba
[02:11.09]Nilinde virogo vya walimwengu visinifike ng'o
[02:14.97]Utadhani wao hawana, umewapa vikubwa
[02:19.86]Ila bado hiki kidogo changu kinawatoa roho, eh
[02:24.53]Na sianguki mimi nimechaguliwa, aah
[02:32.55]Nnae mtegemea hachoki
[02:36.70]Hajawahi kupitiwa, hey
[02:40.90]Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza
[02:45.10]Vinanipa ujasiri, nakua gado kamili
[02:49.40]Ukitaka kunidhuru mie, upite kwake kwanza
[02:53.93]Mungu wangu halali, ana ulinzi mkali
[02:58.07]Na ndio mana naringa, naringa
[03:01.47]Naringa, naringa
[03:03.39](Mimi) naringa, nalindwa na mungu
[03:06.63]Msinione navimba, navimba (ooh)
[03:10.18]Navimba, navimba
[03:12.36]Navimba, nalindwa na mungu
[03:32.47]Call me Slizer
[03:33.99]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Naringa by Zuchu
1. Who is the singer of "Naringa" song?
⇒ Zuchu has sung the song "Naringa".
2. Which album is the "Naringa" song from?
⇒ The song "Naringa" is from the album Naringa.
3. In which language is the "Naringa" song composed?
⇒ The song "Naringa" is composed in the English language.
4. What is the official duration of the "Naringa" song?
⇒ The official duration of "Naringa" is 03:53.03.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Zuchu - Naringa