Read, copy, and download the Kazi Iendelee lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Kazi Iendelee by Zuchu from the album Kazi Iendelee. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 02:29.60. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Kazi Iendelee]
[ar:Zuchu]
[al:Kazi Iendelee]
[lang:Swahili]
[length:02:29.60]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:07.67](Mocco)
[00:09.08]Paukwa pakawa leo nina hadithi
[00:13.08]Nataka kusimulia, nataka kusimulia
[00:17.83]Ilikuwa sawa, kumbe kuzaliwa binti
[00:22.00]Leo mi najivunia, leo mi najivunia
[00:26.64]Alianza umakamu
[00:28.79]Ni kubwa yake nidhamu
[00:30.94]Katiba ikamlazimu
[00:33.12]Kuingia madarakani
[00:35.83]Jina lake (hamba)
[00:38.44]Samia Hassan Suluhu (hamba)
[00:40.25]Ndo Rais wangu (hamba)
[00:42.08]Ndo Rais wa Tanzania (hamba)
[00:45.02]Aiyolela (hamba)
[00:47.01]Aiyolela (hamba)
[00:49.21]Aiyolela (hamba)
[00:51.36]Kazi iendelee
[00:54.19]Aiyolela (hamba)
[00:56.17]Aiyolela (hamba)
[00:58.22]Aiyolela (hamba)
[01:00.66]Kazi iendelee, eh eh eh eh
[01:10.40]Ewe Mola
[01:12.93]Wakimtoa imani mpe nguvu na ujasiri
[01:16.18]Mkumbushe yeye nani
[01:18.75]Yeye ni mama kamili
[01:21.11]Harambee harambee, mama tumpambe
[01:25.41]Anaweza mama, anaweza sana
[01:30.06]Jina lake (hamba)
[01:32.43]Samia Hassan Suluhu (hamba)
[01:34.52]Ndo Rais wangu (hamba)
[01:36.94]Ndo Rais wa Tanzania (hamba)
[01:38.96]Aiyolela (hamba)
[01:41.45]Aiyolela (hamba)
[01:43.47]Aiyolela (hamba)
[01:46.04]Kazi iendelee
[01:48.21]Aiyolela (hamba)
[01:50.77]Aiyolela (hamba)
[01:52.88]Aiyolela (hamba)
[01:55.10]Kazi iendelee
[01:59.15]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Kazi Iendelee by Zuchu
1. Who is the singer of "Kazi Iendelee" song?
⇒ Zuchu has sung the song "Kazi Iendelee".
2. Which album is the "Kazi Iendelee" song from?
⇒ The song "Kazi Iendelee" is from the album Kazi Iendelee.
3. In which language is the "Kazi Iendelee" song composed?
⇒ The song "Kazi Iendelee" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Kazi Iendelee" song?
⇒ The official duration of "Kazi Iendelee" is 02:29.60.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Zuchu - Kazi Iendelee