Read, copy, and download the Mwambieni lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Mwambieni by Zuchu from the album N/A. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:00.00. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Mwambieni]
[ar:Zuchu]
[lang:Italian]
[length:03:00.00]
[by:Jun]
[re:rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:12.79]Mhhh mh mh
[00:14.93]Mhhh mh mhhh
[00:17.31]Mhh mh mh
[00:19.74]Mhh
[00:20.87]Eeeeeh kaja omba nirudia
[00:24.64]Kazirejesha salam
[00:27.18]Zamani kakumbukiaa
[00:29.93]Ameumisi utamu
[00:32.31]Kaacha kopa kalamba garasa, kaishiwa masikini
[00:37.48]Mpeni taarifa za beti mkwasa mi simkumbuki sini
[00:42.33]Heee mwambieni mwambieni
[00:44.73]Mali yake ishaliwa
[00:47.61]Ahaa apunguze kampeni
[00:50.20]Jimbo lishachukuliwa
[00:52.41]Hehee! mwambieni mwambieni
[00:55.00]Mali yake ishaliwa
[00:57.91]Aha apunguze kampeni
[01:00.28]Jimbo lishachukuliwa
[01:02.74]Weeh! kabaki mbe (Mbe arijojo mbembe)
[01:05.89]Hatarii mbe arijojo mbe
[01:07.81]Kaambulia patupuu (Mbe arijojo mbembe)
[01:10.69]Yuko chalichali mbe arijojo mbe
[01:15.73]Mbe mbe mbe
[01:24.59]Alidhani ameniadhiri
[01:27.18]Alidhani amenikomoa
[01:29.89]Mungu akanipa msitiri
[01:32.45]Alonipoza nikapoa
[01:34.93]Aah! penzi kalijaza ndindindi
[01:37.12]Kanimwagia mwemweremwemwere
[01:39.98]Pole ya kwako kidingi
[01:42.58]Wa kudandia ngenderengedere
[01:44.68]Simu za usiku wa saa sita (Aka staki)
[01:47.56]Kuni dm insta (Aka staki)
[01:50.50]Kutwa kujikomentisha (Aka staki)
[01:52.57]Kujitumisha vipicha (Aka staki)
[01:55.48]Hee mwambieni mwambieni
[01:58.20]Mali yake ishaliwa
[02:00.61]Aha apunguze kampeni
[02:03.70]Jimbo lishachukuliwa
[02:05.68]Hehee mwambieni mwambieni
[02:08.44]Mali yake ishaliwa
[02:11.50]Aha apunguze kampeni
[02:13.65]Jimbo lishachukuliwa
[02:15.28]Weeh! kabaki mbe
[02:17.31]Mbe arijojo mbembe hatarii
[02:20.10]Mbe arijojo mbe
[02:21.44]Kaambulia patupuu (Mbe arijojo mbembe)
[02:24.37]Yuko chalichali mbe arijojo mbe
[02:26.73]Hee kabaki mbeee (Mbe arijojo mbembe)
[02:29.44]Si wa mbele wala nyuma (Mbe arijojo mbe)
[02:32.10]Si wa kuvutwa sukuma (Mbe arijojo mbembe)
[02:34.58]Inakuuma eeeeh (Mbe arijojo mbe)
[02:36.98]Twende kirinkikiti-kirinkikiti-kirinkikiti
[02:40.49]Kikiti kikiti
[02:42.12]Kirinkikiti-kirinkikiti-kirinkikiti
[02:45.81]Kikiti-kikiti
[02:47.45]Twende bah
[02:48.43]Skoroba bah yani bah
[02:49.98]Yani bah skoroba bah
[02:51.81]Yani bah aweeh
[02:53.56]Hahaaaaa
[02:56.32](Kamixlizer)
[02:57.19]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Mwambieni by Zuchu
1. Who is the singer of "Mwambieni" song?
⇒ Zuchu has sung the song "Mwambieni".
2. Which album is the "Mwambieni" song from?
⇒ The song "Mwambieni" is from the album N/A.
3. In which language is the "Mwambieni" song composed?
⇒ The song "Mwambieni" is composed in the Italian language.
4. What is the official duration of the "Mwambieni" song?
⇒ The official duration of "Mwambieni" is 03:00.00.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Zuchu - Mwambieni