Read, Copy, Download simple local lyrics LRC file which is music subtitles of Wewe Ni Baba is a Swahili song from the album Dunia Haina Huruma and this song is sung by Bahati Bukuku. This synchronized LRC file is created by our stuff using our free tool "LRC File Maker" and our provided LRC files are only for the official length of the songs like this song's duration is 07:29.17. You can also download lyrics here in TXT (.txt), SRT (.srt) and PDF (.pdf) format.
[ti:Wewe Ni Baba]
[ar:Bahati Bukuku]
[al:Dunia Haina Huruma]
[lang:Swahili]
[length:07:29.17]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:11.30]wewe ni mungu
[00:14.06]wewe ni mungu
[00:17.56]hivi leo nimejua wewe ni mungu
[00:23.51]wewe ni baba
[00:26.31]wewe ni baba
[00:29.92]hivi leo nimejua wewe ni baba
[00:35.84]wewe ni babaaa
[00:39.13]wewe ni baba
[00:42.45]hivi leo nimejua weweni baba
[00:48.14]wakati wa ayubu ulipo mtambulisha hapo ndipo ninajua wewe ni baba
[01:00.64]wakati wa ayubu ulipo mthibitisha hapo ndipo nilipojifunza kuwa ni baba
[01:12.77]wakati wa ayubu ulipomkamilisha hapo ndipo ninajua wewe ni baba
[01:23.34]wewe ni baba
[01:25.26]wewe ni baba
[01:28.34]hivi leo nimejua wewe ni baba
[01:37.26]wewe ni baba
[01:40.57]wewe ni baba peke yako nimejua wewe ni baba
[01:49.91]wewe ni baba tena ni mungu
[02:08.45]hivi leo nimejua wewe ni baba
[02:14.38]wewe ni baba
[02:17.53]wewe ni baba
[02:20.79]hivi leo nimejua wewe ni baba
[02:26.77]kama ulivyoruhusu mabaya yaje kwangu ndivyo uruhusu na mema yanifate
[02:39.07]kama ulivyoruhusu aibu ije kwangu ndvyo uruhusu heshima inifate
[02:51.09]kama ulivyoruhusu magonjwa kwangu ndivyo uruhusu uzima unifate
[03:03.70]kama ulivyoruhusu mabaya yaje kwangu ndivyo uruhusu na mema yanifate
[03:15.83]instrumental
[03:41.11]wewe ni mwalimu
[03:43.83]wewe ni mwalimu
[03:46.94]hakuna anayeweza kutoroka kipindi chako
[03:52.84]wewe ni mwalimu
[03:56.10]wewe ni mwalimu
[03:59.37]hakuna anayeweza kukwepa darasa lako
[04:05.45]wewe ni jaji
[04:08.39]wewe ni jaji
[04:11.47]unahukumu kwa akili wewe ni jaji
[04:17.34]wewe ni jaji nimekujua hivi leo nimekujua wewe ni jaji
[04:29.89]wewe mtetezi
[04:32.90]wewe mtetezi
[04:36.18]hivi leo nimekujua wewe mtetezi
[04:42.88]unapoumizwa na watesi nimekuona
[04:48.51]mimi leo nimekujua wewe mtetezi
[04:54.53]kama ulivyoruhusu aibu ije kwangu ndvyo uruhusu heshima inifate
[05:06.39]kama ulivyoruhusu magonjwa yaje kwangu ndivyo uruhusu uzima unifate
[05:19.80]kama ulivyoruhusu aibu ije kwangu ndvyo uruhusu heshima inifate
[05:44.07]wakati wa ezekia alipokuita huku nyamaza ni wewe baba uliye muhurumia wewe ni mungu
[05:59.99]wewe ni babaaaaa X2
[06:15.42]mmmmmmmm
[06:21.01]wewe ni mungu
[06:23.48]wewe ni mungu
[06:26.90]hivi leo nimejua wewe ni mungu
[06:33.05]wewe ni baba
[06:36.06]wewe ni baba
[06:39.23]hivi leo nimejua wewe ni baba
[06:45.76]wewe ni baba
[06:48.52]wewe ni baba
[06:51.57]peke yako nimejua wewe ni baba
[06:57.14]wewe ni mungu
[07:00.14]wewe ni mungu
[07:03.86]hivi leo nimejua wewe ni mungu
[07:10.24]wewe ni baba
[07:12.92]wewe ni baba
[07:16.21]hivi leo nimejua wewe ni baba
[07:21.97]wewe ni baaaaaba
[07:30.65]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Wewe Ni Baba by Bahati Bukuku
1. Who is the singer of "Wewe Ni Baba" song?
⇒ Bahati Bukuku have sung the song "Wewe Ni Baba".
2. Which album is 'Wewe Ni Baba' song from?
⇒ Dunia Haina Huruma.
3. In which language is 'Wewe Ni Baba' song composed?
⇒ Wewe Ni Baba song is composed in Swahili language.
4. What is the official duration of 'Wewe Ni Baba' song?
⇒ The official duration of 'Wewe Ni Baba' is 07:29.17.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this lrc file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match with the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you need to apply an offset using our tool LRC File Maker (i.e., +10.. or -10..).
Bahati Bukuku - Wewe Ni Baba