• rclyrisband-search
  • Home Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Magonjwa Yote Lyrics Download by Bahati Bukuku - Read, Copy & Download LRC / PDF / TXT / SRT File

    Read, Copy, Download simple local lyrics LRC file which is music subtitles of Magonjwa Yote is a Swahili song from the album Nimesamehewa Dhabi and this song is sung by Bahati Bukuku. This synchronized LRC file is created by our stuff using our free tool "LRC File Maker" and our provided LRC files are only for the official length of the songs like this song's duration is 08:36.28. You can also download lyrics here in TXT (.txt), SRT (.srt) and PDF (.pdf) format.

    rclyricsband social share

    Magonjwa Yote by Bahati Bukuku LRC Format

    [ti:Magonjwa Yote]
    [ar:Bahati Bukuku]
    [al:Nimesamehewa Dhabi]
    [lang:Swahili]
    [length:08:36.28]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:33.85]Nguo walimvua
    [00:38.62]Nguo walimvua
    [00:44.50]Nguo walimvua
    [00:49.94]Nguo walimvua
    [00:54.99]Mwanadamu alipoasi mbele zako
    [00:59.98]Mwanadamu alipoasi mbele zako
    [01:05.78]Mungu wa huruma ulimhurumia
    [01:11.44]Mungu wa huruma ulimhurumia
    [01:16.33]Ulimtoa Yesu,kwa gharama kubwa
    [01:21.90]Ulimtoa Yesu kwa gharama kubwa
    [01:26.61]Oh-h-h-h-h
    [01:32.61]Nguo walimvua
    [01:37.49]Nguo walimvua
    [01:43.75]Misumari alipigwa, oh
    [01:48.61]Ni mijeleti alipigwa
    [01:55.17]Alipopigwa mijeleti ilitoka na nyama
    [02:00.62]Maumivu makali yeye aliyapata
    [02:06.08]Neno la Mungu linasema hivi
    [02:11.93]Kwa kupigwa kwake sisi tumepona
    [02:16.96]Kwa kupigwa kwake, umepona ukimwi
    [02:21.99]Kwa kupigwa kwake, umepona cancer
    [02:27.97]Kwa kupigwa kwa Yesu cancer wanapona
    [02:32.06]Amesema yeye
    [02:37.82]Amesema yeye
    [02:41.32]Ndugu yangu Mungu si mawanadamu atasema uwongo
    [02:47.00]Na kama Mungu akiahidi jambo, ni lazima atalitengeneza
    [02:52.86]Ni kuamini na kusimama katika neno
    [02:56.73]Kama Mungu asingeliweza kuponya ukimwi
    [02:59.47]Angeandika kwenye neno lake
    [03:04.34]Kwamba ninaponya magonjwa yote isipokuwa ukimwi
    [03:07.88]Kwa nini Mtanzania ufe?
    [03:13.77]Ikiwa mapepo yanakemewa yanapona
    [03:15.93]Basi ata ukimw Mungu ataweza ponya
    [03:19.64]Kama Musa alivyowaambia wana Isiraeli
    [03:22.96]Tazameni yule nyoka wa shebaha utapona
    [03:26.37]Na mimi ninakutakia simama katika neno
    [03:29.97]Umekwisha kuponya kwajina jina la Yesu
    [03:37.48]Alipopigwa mjeleti nyama zilimtoka
    [03:43.25]Alipochomwa mkuki, damu na maji zilitoka
    [03:48.25]Kwa msamaha huo, ushindi tumepata
    [03:54.12]Kwa msamaha huo, uzima tumepata
    [03:59.11]Kwa msamaha huo, uzima tumepata
    [04:03.59]Mana nguo walimvua
    [04:09.06]Mijeleti ulipigwa
    [04:14.53]Wala hujakufa, oh
    [04:20.97]Ni lazima watanzania
    [04:22.98]Swali ni kujiuliza
    [04:26.00]Ndugu zangu wapendwa
    [04:28.49]Swali kujiuliza
    [04:31.46]Kama wadhani umeshindwa, Mungu ameshinda
    [04:36.30]Mana nguo walimvua
    [04:41.24]Usiogope majibu ya daktari
    [04:44.19]Hayo majibu ya daktari wala siyo ya Mungu
    [04:47.12]Kwa kua umetangaziwa uponyaji
    [04:50.51]Kwa kupigwa kwake umepona
    [04:53.25]Aibu yako ilikuwa juu yake
    [04:59.48]Sio nisababu ya kulalamika
    [05:02.31]Na kwa nini ufe?
    [05:05.02]Leo hii nakutangazia uponyaji
    [05:09.10]Ukisha kumwamini Yesu na kutubu dhambi zako
    [05:12.42]Umekwishaa pona,usitende dhambi tena
    [05:18.96]Msamaha tumepata, uzima tumepata
    [05:29.73]Mana nguo walimvua
    [05:35.69]Nguo walimvua
    [05:41.06]Misumari alipigwa
    [05:46.52]Taji la miba alivikwa
    [05:51.61]Ule msumari ndio ushindi wako
    [05:57.88]Na ule msumari ndio uzima wako
    [06:02.95]Ile damu na maji igeusha ukimwi
    [06:08.20]Ile damu na maji, ndiyo inaponya
    [06:13.26]Nguo walimvua
    [06:19.02]Nguo walimvua
    [06:23.36]Wewe unayesikia sauti hii
    [06:26.21]Haijalishi unaumwa kiasi gani
    [06:29.13]Haijalishi watu wanasema namna gani
    [06:30.85]Wengine wanangojea kwamba utakufa
    [06:34.23]Lakini nakwambia hautakufa
    [06:36.55]Ili usimulie wema wa Bwana
    [06:39.18]Kama Yesu alivuliwa nguo
    [06:41.46]Basi zile aibu zako Baba amezibeba
    [06:44.06]Amini leo, mwamini Yesu kuwa Bwana na monkozi wa maisha yako
    [06:49.33]Hautakufa utaishi
    [06:51.26]Kwa sababu umesimama katika neno
    [06:54.81]Mwambie Bwana Yesu anatosha
    [06:57.40]Amini leo hii, wala usisikie vipimo vya daktari
    [07:03.00]Sasa ni zamu ya Mungu, kujitukuza
    [07:06.50]Ni wakati wa Yesu kuinuliwa, ni wakati wa Yesu kutukuzwa
    [07:11.53]Mwambie Bwana Yesu unataka uponyaji
    [07:16.68]Mpona aliyewaponya wenye ukoma
    [07:19.27]Ndugu yangu mtanzania, hatutakufa, tutaishi
    [07:23.39]Ili tusimulie makuu wa Mungu
    [07:28.93]Kwa kupigwa kwako Yesu
    [07:34.28]Msamaha tumepata
    [07:39.85]Kwa kupigwa kwako Yesu
    [07:45.08]Tanzania tumepona
    [07:50.48]Kwa kupigwa kwako Yesu
    [07:56.03]Africa tumepona
    [08:00.93]Nguo walimvua
    [08:06.81]Laana ya ukimwi haipo tena
    [08:12.64]Kumbuka Musa aliwaambia wana Israeli
    [08:17.69]Tazameni nyoka wa shama, mutakapo ona mtapona
    [08:23.43]Kumbuka Musa aliwaambia wana Israeli
    [08:29.01]Mtazame nyoka wa shama, nyi wote mtapona
    [08:35.21]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)


    Try Our Free Tools


    You May Listen Magonjwa Yote by Bahati Bukuku

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    FAQ:

    1. Who is the singer of "Magonjwa Yote" song?

    ⇒ Bahati Bukuku have sung the song "Magonjwa Yote".

    2. Which album is 'Magonjwa Yote' song from?

    ⇒ Nimesamehewa Dhabi.

    3. In which language is 'Magonjwa Yote' song composed?

    ⇒ Magonjwa Yote song is composed in Swahili language.

    4. What is the official duration of 'Magonjwa Yote' song?

    ⇒ The official duration of 'Magonjwa Yote' is 08:36.28.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this lrc file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match with the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you need to apply an offset using our tool LRC File Maker (i.e., +10.. or -10..).

    Maamuzi

    Wewe Ni Baba

    Mimi Nasafiri

    Nani Nabii

    Mapito

    Natamani

    Magonjwa Yote

    Nyakati Za Mwisho

    Nimekukimbilia

    Mwalimu wa Ndoa

    Abneli

    Bahati Bukuku - Magonjwa Yote