Read, Copy, Download simple local lyrics LRC file which is music subtitles of Mapito is a Tagalog song from the album Yashinde Mapito and this song is sung by Bahati Bukuku. This synchronized LRC file is created by our stuff using our free tool "LRC File Maker" and our provided LRC files are only for the official length of the songs like this song's duration is 09:33.10. You can also download lyrics here in TXT (.txt), SRT (.srt) and PDF (.pdf) format.
[ti:Mapito]
[ar:Bahati Bukuku]
[al:Yashinde Mapito]
[lang:Tagalog]
[length:09:33.10]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:19.19]Mapito, ooh
[00:24.16]Mapito, eh
[00:26.43]Mapito, eh
[00:29.13]Mapito
[00:30.97]Kweli mapito, eh
[00:38.89]Mapito kwa mjane anaponyang'anywa mali, eh
[00:48.08]Mapito kwa wanandoa wanapofarakana
[00:57.97]Mapito kwa wasomi wanapofukuzwa kazi, eh
[01:07.24]Mapito kwa wachumba wanapodanganyana
[01:17.37]Duniani kuna mapito, oh
[01:22.19]Ambayo kweli mwanadamu anapitia
[01:27.42]Kweli mapito, oh, yanakatisha tamaa
[01:32.11]Kweli mapito yanavunja moyo
[01:36.67]Duniani, eh, kuna mapito, oh
[01:41.68]Ambayo ni kweli mwanadamu anapitia
[01:46.64]Kweli mapito, oh, yanakatisha tamaa
[01:51.25]Kweli mapito, mama, yanavunja moyo
[01:57.16]♪
[02:06.05]Haijalishi wewe mapito yako, oh
[02:10.68]Wewe ni mjane mama, wamekunyang'anya mali
[02:15.41]Jibu sio kulaumu, mwamini Yesu, oh
[02:20.32]Yeye aliyekupa mali airekebishe
[02:25.45]Haijalishi mama mapito yako, oh
[02:30.07]Wewe ni mjane eh, wanakunyang'anya mali
[02:34.94]Jibu sio kulaumu, mwamini Yesu, oh
[02:39.83]Yeye ndiye jibu lako, akusaidie, ha
[02:45.01]Vumilia, vumilia mama
[02:49.58]Vumilia, tena muombe Mungu
[02:54.49]Vumilia, vumilia mama
[02:59.39]Vumilia, huku ukimwomba Mungu
[03:04.23]Inakupasa uvumilie mama
[03:09.10]Inakupasa uvumilie mjane, yeh
[03:15.38]♪
[03:28.44]Yawezekana baba mapito yako, oh
[03:33.33]Iyo ndoa yako inakusumbua
[03:38.19]Yawezekana mama mapito yako, oh
[03:42.82]Iyo ndoa yako inakusumbua
[03:48.05]Jibu sio talaka mama mwamini Yesu, oh
[03:52.73]Yeye aliekupa ndoa airekebishe, eh
[03:57.54]Yawezekana baba mapito yako, oh
[04:02.17]Iyo ndoa yako inakusumbua
[04:07.43]Yawezekana mama mapito yako, oh
[04:12.16]Iyo ndoa yako inakusumbua
[04:16.81]Jibu sio haki sawa mwamini Yesu, oh
[04:21.99]Yeye aliekupa ndoa airekebishe, eh
[04:26.90]Vumilia, vumilia baba
[04:31.52]Vumilia, vumilia mama
[04:36.42]Vumilia, vumilia baba
[04:41.29]Vumilia, vumilia mama
[04:46.22]Inakupasa uvumilie mama
[04:51.23]Inakupasa uvumilie, eh-eh
[04:56.13]Inakupasa uvumilie, eh-eh, aah
[05:05.96]♪
[05:15.18]Yawezekana baba mapito yako, oh
[05:20.19]Ni maisha magumu, eh, yanakusumbua
[05:24.83]Jibu sio kujiua, mwamini Yesu, oh
[05:29.72]Yeye mtuliza bahari, ayarekebishe, eh
[05:34.57]Yawezekana mama mapito yako, oh
[05:39.52]Ni maisha magumu, eh, yanakusumbua
[05:44.17]Usikate tamaa, mwamini Yesu, eh
[05:49.12]Yeye ndie jibu lako, atarekebisha
[05:53.76]Mwamini Yesu, mwamini Yesu baba
[05:58.73]Jibu lipo, jibu lipo mama
[06:03.59]Mwamini Yesu, mwamini Yesu baba
[06:08.61]Jibu lipo, jibu lipo baba
[06:13.52]Inakupasa umwombe Mungu, eh-eh
[06:18.37]Inakupasa umwombe Mungu, eh-eh
[06:23.04]Mwombe Mungu, mwombe Mungu
[06:28.21]♪
[06:37.79]Haijalishi kaka, mapito yako, oh
[06:42.37]Ni huyo mchumba, ah, amekudanganya
[06:47.42]Yawezekana dada, mapito yako
[06:51.97]Ni huyo mchumba, ah, amekurubuni
[06:56.88]Usikate tamaa, mwamini Yesu, eh
[07:01.80]Kumbuka mme mwema hutoka kwa Mungu
[07:06.98]Usikate tamaa, mwamini Yesu, oh
[07:11.64]Kumbuka mke mwema hutoka kwa Mungu
[07:16.84]Acha tamaa, wewe muombe Mungu
[07:21.45]Acha tamaa, wewe muombe Mungu
[07:26.31]Vumilia huku ukimwomba Mungu, eh
[07:31.32]Vumilia huku ukimwomba Mungu
[07:35.88]Inakupasa uvumile kaka
[07:40.80]Inakupasa uvumile dada
[07:45.69]Vumilia, tena umwombe Mungu
[07:50.38]Vumilia, tena umwombe Mungu
[07:55.52]Inakupasa uvumile kaka
[08:00.43]Inakupasa uvumile dada, ah
[08:06.94]♪
[08:24.66]Vumilia, vumilia baba
[08:29.30]Vumilia, vumilia mama
[08:34.15]Inakupasa uvumilie, eh-eh
[08:38.93]Inakupasa uvumilie, eh-eh
[08:43.81]Vumilia, vumilia kaka
[08:48.53]Vumilia, vumilia dada
[08:53.42]Inakupasa uvumilie, eh-eh
[08:58.88]Inakupasa uvumilie, eh-eh, aah
[09:05.65]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Mapito by Bahati Bukuku
1. Who is the singer of "Mapito" song?
⇒ Bahati Bukuku have sung the song "Mapito".
2. Which album is 'Mapito' song from?
⇒ Yashinde Mapito.
3. In which language is 'Mapito' song composed?
⇒ Mapito song is composed in Tagalog language.
4. What is the official duration of 'Mapito' song?
⇒ The official duration of 'Mapito' is 09:33.10.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this lrc file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match with the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you need to apply an offset using our tool LRC File Maker (i.e., +10.. or -10..).
Bahati Bukuku - Mapito