• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Nyakati Za Mwisho Lyrics by Bahati Bukuku - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Nyakati Za Mwisho lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Nyakati Za Mwisho by Bahati Bukuku from the album Yashinde Mapito. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 08:10.56. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Nyakati Za Mwisho by Bahati Bukuku LRC Format

    [ti:Nyakati Za Mwisho]
    [ar:Bahati Bukuku]
    [al:Yashinde Mapito]
    [lang:Swahili]
    [length:08:10.56]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:24.28]Ni nyakati za mwisho wee
    [00:27.58]Jamani njooni tumuombe Mungu
    [00:30.60]Yeye atusaidie maana ni siku za mwisho
    [00:37.25]Ni nyakati za mwisho
    [00:40.16]Tanzania tumuombe Mungu
    [00:43.56]Maana gonjwa la ukimwi linaitikisa dunia
    [00:49.78]Taifa tumuombe Mungu eeh
    [00:52.88]Yeye atusadie maana vitendo vya ugaidi vinaitikisa dunia
    [01:02.47]♪
    [01:17.05]Hebu fikiria ajali ya Dodoma ilivyomaliza watu, hilo naomba ujue
    [01:30.64]Hebu fikiria gonjwa la ukimwi linavyomaliza watu, hilo naomba uzuru
    [01:43.13]Hebu fikiria tena naomba kumbuka vitendo vya ugaidi vilivyomaliza
    [01:54.48]♪
    [02:08.90]Hivi wewe na mimi
    [02:11.86]Tunapoyaona hayo tunajifunza nini kutoka kwa hao wenzetu
    [02:22.39]Au tunasubiri sala za marehemu wawaite wachungaji waje kutuombea
    [02:34.80]Je maisha yako wewe, nani atayadhamini usipomruhusu huyu Yesu
    [02:44.61]Yeye kufanyta marekebisho
    [02:47.65]Elimu yako kaka, nani ataidhamini usipomruhusu huyu Yesu
    [02:57.43]Yeye kufanya marekebisho
    [03:00.95]Ujana wako wewe, nani ataudhamini usipomruhusu huyu Yesu
    [03:10.44]Yeye kufanya marekebisho
    [03:13.89]♪
    [03:33.91]Kinachonitia uchungu ninapowaona wapendwa wanangangania dini
    [03:43.69]Wanamkataa huyu Yesu
    [03:47.14]Kinachonitia uchungu ninapowaona wapendwa wanangangania vyeo
    [03:57.25]Wanamkataa huyu Yesu
    [03:59.88]Ukifa leo wewe nani atakudhamini usipomruhusu huyu Yesu
    [04:09.16]Yeye kufanya marekebisho
    [04:12.32]Vyeo vyako baba nani atavidhamini usipomruhusu huyu Yesu
    [04:22.24]Yeye kufanya marekebisho
    [04:25.42]Uongozi wako Baba nani ataudhamini usipomruhusu huyu Yesu
    [04:34.85]Yeye kufanya marekebisho
    [04:38.00]Maisha yako wewe nani atakayedhamini usipomruhuus huyu Yesu
    [04:48.15]Yeye kufanya marekebisho
    [04:50.45]♪
    [05:05.27]Au unafurahishwa na yale majina ya wafu wakuite maiti wakuite marehemu
    [05:18.25]Wakuite hayati wakuite msiba au inapendeza yeye aje akusaidie
    [05:30.46]Lakini maisha yako leo nani atakudhamini usipomruhusu huyu Yesu
    [05:40.48]Yeye kufanya marekebisho
    [05:43.05]Ukifa wewe leo nani atakudhamini usipomruhusu huyu Yesu
    [05:53.48]Yeye kufanya marekebisho
    [05:55.54]♪
    [06:09.81]Maisha yangu mimi, nani angenidhamini asingekua ni huyu Yesu
    [06:19.05]Yeye kufanya marekebisho
    [06:22.08]Maisha yangu yote, nani angenidhamini asingekua ni huyu Yesu
    [06:32.58]Yeye kufanya marekebisho
    [06:35.80]Minakushukuru Mungu, kwa upendo wako huo
    [06:42.48]Kuniokoa maisha yangu, ningekua wapi mimi?
    [06:48.82]Minakushukuru Mungu, kwa upendo wako huo
    [06:55.25]Kugharamia maisha yangu, ningekua wapi mimi?
    [07:01.74]Maisha yangu mimi nani angenidhamini, asingekua ni huyu Yesu
    [07:11.60]Yeye kufanya marekebisho
    [07:14.53]Usomi wako wewe, nani ataudhamini, usipomruhusu huyu Yesu
    [07:23.84]Yeye kufanya marekebisho
    [07:27.71]Usomi wako kaka, nani ataudhamini, usipomruhusu huyu Yesu
    [07:37.69]Yeye kufanya marekebisho
    [07:41.00]Mpokee Yesu leo, yeye katika maisha yako
    [07:47.69]Awe bwana na Mokonzi ili afanye marekebisho
    [07:53.99]Mpokee Yesu leo katika maisha yako
    [08:00.44]Awe bwana na mokonzi yeye afanye marekebisho
    [08:06.59]Mpokee Yesu leo
    [08:09.17]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Nyakati Za Mwisho by Bahati Bukuku

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Maamuzi

    Wewe Ni Baba

    Mimi Nasafiri

    Nani Nabii

    Mapito

    Natamani

    Magonjwa Yote

    Nyakati Za Mwisho

    Nimekukimbilia

    Mwalimu wa Ndoa

    Abneli


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Nyakati Za Mwisho" song?

    ⇒ Bahati Bukuku has sung the song "Nyakati Za Mwisho".

    2. Which album is the "Nyakati Za Mwisho" song from?

    ⇒ The song "Nyakati Za Mwisho" is from the album Yashinde Mapito.

    3. In which language is the "Nyakati Za Mwisho" song composed?

    ⇒ The song "Nyakati Za Mwisho" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Nyakati Za Mwisho" song?

    ⇒ The official duration of "Nyakati Za Mwisho" is 08:10.56.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Bahati Bukuku - Nyakati Za Mwisho