Read, Copy, Download simple local lyrics LRC file which is music subtitles of Natamani is a Swahili song from the album Dunia Haina Huruma and this song is sung by Bahati Bukuku. This synchronized LRC file is created by our stuff using our free tool "LRC File Maker" and our provided LRC files are only for the official length of the songs like this song's duration is 08:37.66. You can also download lyrics here in TXT (.txt), SRT (.srt) and PDF (.pdf) format.
[ti:Natamani]
[ar:Bahati Bukuku]
[al:Dunia Haina Huruma]
[lang:Swahili]
[length:08:37.66]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:19.32]Zaaamani uliwatumia mitume
[00:44.55]Zaaamani uliwatumia manabii
[00:50.50]Zaaamani uliwatumia wafalme
[00:57.19]Zaaamani uliwatumia manabii
[01:03.70]Na mimi leo niko hapa Jehova
[01:10.12]Naa mimi leo niko hapa masiah
[01:16.62]Natamani niwe ikulu yako bwana
[01:23.29]Moyo wangu uwe ikulu ya hoho yesu
[01:30.22]Natamani niwe ikulu yako yesu
[01:35.62]Kinywa changu kibebe sifa zako yesu
[01:42.33]Ili unaposhuka yesu
[01:45.58]Ushukie kwangu
[01:49.18]Majibu ya kizazi hiki yatoke kinywani mwangu
[01:54.33]Ili unaposhuka yesu
[01:58.51]Ushukie kwangu
[02:01.37]Majibu ya kizazi hiki yatoke kinywani mwangu
[02:07.32]Zaaamani uliwatumia kina petro
[02:27.97]Zaaamani uliwatumia Elisha
[02:34.71]Zaaamani uliwatumia wafalme
[02:40.65]Na mimi leo niko hapa jehova
[02:46.82]Shuka baba nikuone tuu
[02:53.98]Shuka baba nikuone tuu
[03:00.01]Katika huduma yangu
[03:04.71]Nikuonee tu
[03:05.86]Ukiponya wagonjwa nikuonee tuu
[03:12.34]Nitumie jehova mwanadamu tuu
[03:19.28]Natamani niwe ikulu yako bwana
[03:28.87]Moyo wangu uwe ikulu ya hoho yesu
[03:30.22]Natamani niwe ikulu yako yesu
[03:38.17]Kinywa changu kibebe sifa zako yesu
[03:45.38]Dunia haina majibu ya watu
[03:58.19]Dunia haina majibu ya watu
[04:05.68]Kanisa lako tupe majibu yao
[04:11.74]Kanisa lako nipe majibu ya watu
[04:18.44]Dunia imepoteza mwelekeo
[04:24.44]Kanisa lako nipe majibu yao
[04:30.61]Tutumie jehova
[04:34.41]Tutumie jehova
[04:43.38]Injili waliohubiri akina petro
[04:50.89]Injili waliohubiri akina elisha
[04:57.59]Kama mifupa ya elisha
[05:01.17]Iliweza kufufua mfu masiah
[05:09.82]Kama kivuli cha petro
[05:15.03]Kiliweza kuponya wagonjwa
[05:22.25]Kwa sauti ulionipa
[05:27.49]Wenye shida wafunguliwe
[05:35.75]Kwa sauti ulionipa
[05:42.22]Naomba viwete watembee
[05:48.91]Kwa sauti ulionipa
[05:55.02]Naomba wagumba wapate watoto
[06:01.42]Natamani niwe ikulu yako bwana
[06:08.08]Moyo wangu uwe ikulu ya hoho yesu
[06:14.35]Natamani niwe ikulu yako yesu
[06:20.48]Kinywa changu kibebe sifa zako yesu
[06:27.95]Injili ya mitume ilifu wafu
[06:46.57]Injili ya akina eliya ulionekana
[06:53.28]Na sisi baba
[06:57.39]Tutumie jehova
[07:06.29]Katika kizazi hiki
[07:13.26]Tutumie jehova
[07:19.71]Kama vivuli vya mitume
[07:25.83]Viliweza kuponya wagonjwa
[07:32.31]Kama sauti ya eliya
[07:38.54]Alivyotabiri mifupa mikavu
[07:45.32]Vikawa jeshi kubwa
[07:51.90]Natamani niwe ikulu yako bwana
[07:59.03]Moyo wangu uwe ikulu ya hoho yesu
[08:04.69]Natamani niwe ikulu yako yesu
[08:11.77]Kinywa changu kibebe sifa zako yesu
[08:18.27]Uuuuuuuuu
[08:24.63]Uuuuuuuuu
[08:30.82]Uuuuuuuuu
[08:35.30]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Natamani by Bahati Bukuku
1. Who is the singer of "Natamani" song?
⇒ Bahati Bukuku have sung the song "Natamani".
2. Which album is 'Natamani' song from?
⇒ Dunia Haina Huruma.
3. In which language is 'Natamani' song composed?
⇒ Natamani song is composed in Swahili language.
4. What is the official duration of 'Natamani' song?
⇒ The official duration of 'Natamani' is 08:37.66.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this lrc file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match with the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you need to apply an offset using our tool LRC File Maker (i.e., +10.. or -10..).
Bahati Bukuku - Natamani