• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Abneli Lyrics by Bahati Bukuku - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Abneli lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Abneli by Bahati Bukuku from the album Dunia Haina Huruma. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 09:22.65. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Abneli by Bahati Bukuku LRC Format

    [ti:Abneli]
    [ar:Bahati Bukuku]
    [al:Dunia Haina Huruma]
    [lang:Swahili]
    [length:09:22.65]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:08.59]Mbona huyu amefia hapa
    [00:13.16]Kwa nini?
    [00:15.56]Mbona huyu amenyongwa
    [00:18.85]Nashanga
    [00:21.96]Nyumba za wageni zimejaa wizi
    [00:26.08]Kwa nini?
    [00:27.86]Taarifa za habari hakuna mapya
    [00:31.79]Nashanga
    [00:34.91]Huruma huruma
    [00:37.75]Ikowapi dunia?
    [00:40.47]Huruma huruma
    [00:44.27]Haipo tena
    [00:46.90]Huruma huruma
    [00:50.28]Iko wapi dunia?
    [00:54.01]Huruma huruma
    [00:57.45]Haipo tena
    [01:06.34]Usijaribu kuua nzi aliye kichwani kwa mtu
    [01:12.31]Ukatumia nyundo ukidhani utamsaidia
    [01:18.33]Usijaribu kuua nzi aliye kichwani kwa mtu
    [01:24.94]Ukatumia nyundo ukidhani unamsaidia
    [01:31.41]Jeraha utaloacha ni kubwa
    [01:34.60]Ni bora uwaache wenye busara
    [01:37.39]Watumie akili wamsaidie
    [01:43.30]Maana neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu
    [01:50.39]Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua
    [01:57.34]Neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu
    [02:03.30]Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua
    [02:09.87]Abneli Abneli
    [02:13.33]Umekufaje abneli?
    [02:16.78]Abneli Abneli
    [02:19.88]Daudi alilia
    [02:22.80]Abneli Abneli
    [02:26.11]Umekufaje Abneli?
    [02:29.33]Abneli abneli
    [02:32.25]Daudi aliliaa
    [02:35.55]♪
    [02:42.93]Tumepoteza ndugu zetu
    [02:46.47]Bila sababu
    [02:48.98]Tumepoteza marafiki
    [02:53.44]Bila sababu
    [02:55.24]Tumepoteza ndugu zetu
    [03:00.05]Bila sababu
    [03:01.86]Tumepoteza marafiki
    [03:05.81]Wasio na hatia
    [03:08.29]Kwa sababu ya kufurahisha
    [03:12.92]Wanadamu
    [03:14.37]Kwa sababu ya kufurahisha
    [03:18.30]Wanaotuzunguka
    [03:26.60]Huruma huruma
    [03:29.73]Iko wapi huruma?
    [03:32.32]Huruma huruma
    [03:36.42]Haipo tena
    [03:38.83]Huruma huruma
    [03:42.51]Iko wapi huruma?
    [03:45.77]Huruma huruma
    [03:49.16]Haipo tena
    [03:50.53]♪
    [03:57.51]Maana neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu
    [04:04.09]Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua
    [04:10.44]Maana moyo wa mwanadamu sasa umekunja ngumi
    [04:17.70]Roho ya huruma haipo tena
    [04:24.34]Roho ya kisasi inatenda kazi
    [04:30.48]Roho ya huruma haipo tena
    [04:36.43]Roho ya kisasi inatenda kazi
    [04:43.09]Huruma huruma
    [04:46.34]Iko wapi dunia?
    [04:49.30]Huruma huruma
    [04:52.38]Haipo tena
    [04:55.83]Huruma huruma
    [04:59.22]Iko wapi dunia?
    [05:02.01]Huruma huruma
    [05:05.51]Haipo tena
    [05:08.72]Abneli Abneli
    [05:11.81]Umekufaje Abneli?
    [05:14.71]Abneli Abneli
    [05:17.87]Daudi alilia
    [05:20.45]Abneli Abneli
    [05:24.28]Umekufaje Abneli?
    [05:27.10]Abneli Abneli
    [05:30.50]Daudi alilia
    [05:33.06]♪
    [05:46.63]Baada ya sahuli ilikufwa
    [05:52.58]Abneli alirudi kwa Daudi
    [05:59.07]Alipotengeneza na Daudi
    [06:05.39]Akasahau Yoabu anakumbuka
    [06:12.15]Kifo alichomuua nduguye
    [06:18.54]Asaheli wakati wa vita
    [06:25.02]Yoabu aka muua abneli
    [06:30.87]Abneli hakutambua hilo
    [06:36.88]Yeye alipotengeneza na Daudi
    [06:43.78]Akajua maadui wamekwisha
    [06:49.26]Msamaha msamaha
    [06:53.34]Uko wapi dunia?
    [06:56.37]Msamaha msamaha
    [06:59.19]Mungu atusaidie
    [07:02.83]Msamaha msamaha
    [07:06.30]Ukowapi dunia?
    [07:08.68]Msamaha msamaha
    [07:12.17]Mungu atuhurumie
    [07:16.33]Nyakati hizi tulizo nazo
    [07:22.74]Alama za nyakati zinaonesha
    [07:28.86]Wanadamu wamechoka suluhu
    [07:34.88]Wanaona maamuzi kuwa ni kifo
    [07:41.61]Wajue adui ulio nao
    [07:47.62]Jihadhari nahao marafiki
    [07:54.15]Sio kila kicheko kina maanisha furaha
    [08:00.18]Wengine wakichukia hucheka sana
    [08:06.64]Sio kila kicheko kina maanisha upendo
    [08:13.03]Wengine wanataka wakusogeze tu
    [08:19.31]Wengine wanataka wakuweke karibu
    [08:25.59]Ili iwe sababu ya kutoa roho yako
    [08:31.89]Abneli Abneli
    [08:34.79]Umekufaje abneli?
    [08:37.73]Abneli abneli
    [08:40.41]Daudi alilia
    [08:44.34]Abneli Abneli
    [08:47.73]Umekufaje abneli
    [08:50.68]Abneli Abneli
    [08:53.61]Daudi alilia
    [09:21.66]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Abneli by Bahati Bukuku

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Maamuzi

    Wewe Ni Baba

    Mimi Nasafiri

    Nani Nabii

    Mapito

    Natamani

    Magonjwa Yote

    Nyakati Za Mwisho

    Nimekukimbilia

    Mwalimu wa Ndoa

    Abneli


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Abneli" song?

    ⇒ Bahati Bukuku has sung the song "Abneli".

    2. Which album is the "Abneli" song from?

    ⇒ The song "Abneli" is from the album Dunia Haina Huruma.

    3. In which language is the "Abneli" song composed?

    ⇒ The song "Abneli" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Abneli" song?

    ⇒ The official duration of "Abneli" is 09:22.65.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Bahati Bukuku - Abneli