Read, copy, and download the Mimi Nasafiri lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Mimi Nasafiri by Bahati Bukuku from the album Yashinde Mapito. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 05:52.96. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Mimi Nasafiri]
[ar:Bahati Bukuku]
[al:Yashinde Mapito]
[lang:Swahili]
[length:05:52.96]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:28.41]Mimi nasafiri oh
[00:33.41]Mimi nasafiri
[00:35.81]Duniani napita
[00:38.40]Naelekea juu mbinguni
[00:40.84]Kwa baba yetu huko
[00:43.07]Naelekea juu mbinguni
[00:44.98]Kwenye makao ya milele
[00:47.58]Naelekea juu mbinguni
[00:49.83]Kwa Baba yetu huko
[00:51.98]Mbinguni juu kwa Baba
[00:56.45]Mbinguni juu kwa Baba
[01:01.07]Mbinguni juu kwa Baba
[01:05.79]Bwana kweli mimi nasafiri oh
[01:10.73]Mimi Bwana kweli nasafiri
[01:15.13]Mimi Bwana kweli nasafiri oh
[01:20.01]Mimi Bwana kweli nasafiri oh
[01:24.05]Dunia ninapita
[01:26.38]Wenyeji wangu kwako
[01:28.92]Dunia ninapita
[01:31.22]Wenyeji wangu kwako Bwana eh
[01:34.76]♪
[02:06.91]Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
[02:11.48]Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
[02:16.10]Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
[02:21.00]Nishike mkono Bwana wangu Yesu eh
[02:25.05]Dunia matatizo
[02:27.21]Dunia shida nyingi eh
[02:29.92]Dunia dhiki magonjwa
[02:32.26]Dunia vifo vingi
[02:34.34]Dunia matatizo
[02:36.90]Dunia shida nyingi eh
[02:39.27]Dunia dhiki magonjwa
[02:41.69]Dunia vifo vingi eeh Bwana eh
[02:45.35]♪
[03:08.36]Kweli Bwana Yesu mimi muhitaji
[03:12.83]Kweli Bwana Yesu mimi muhitaji
[03:17.54]Kweli Bwana mimi muhitaji
[03:22.25]Mimi Bwana kweli muhitaji
[03:26.55]Nahitaji upendo wako
[03:28.27]Nahitaji baraka zako
[03:30.89]Nahitaji miujiza
[03:33.03]Nahitaji rehema zako
[03:35.51]Nahitaji neema zako
[03:37.60]Nahitaji upendo wako
[03:40.06]Nahitaji baraka zako
[03:42.65]Nahitaji miujiza Bwana eh
[03:50.67]Kweli Bwana mimi muhitaji eh
[03:55.23]Mimi Bwana Yesu kweli muhitaji eh
[03:59.81]Mimi Bwana kweli muhitaji eh
[04:04.07]Mimi Bwana kweli muhitaji eh
[04:09.06]Nahitaji uweza wako
[04:10.34]♪
[04:27.67]Bila wewe Yesu mimi siwezi eh
[04:30.65]Mimi siwezi
[04:32.23]Bila we ya dunia yanizungukapo
[04:35.41]Mimi siwezi
[04:37.40]Kukabiliwa nayo magonjwa
[04:40.16]Mimi siwezi
[04:41.41]Ona shida katika maisha
[04:44.36]Mimi siwezi
[04:46.33]Bila wewe Yesu mimi siwezi
[04:49.42]Mimi siwezi
[04:50.83]Bila wewe Yesu mimi siwezi
[04:54.30]Mimi siwezi
[04:55.74]Bila wewe Yesu mimi siwezi
[04:58.97]Mimi siwezi
[05:00.41]Matatizo ya dunia yanizungukapo
[05:03.72]Mimi siwezi
[05:05.06]Ona hili gonjwa la Ukimwi
[05:08.11]Mimi siwezi
[05:09.60]Bila wewe Yesu mimi siwezi
[05:12.68]Mimi siwezi
[05:13.94]Bila wewe Yesu mimi siwezi
[05:17.39]Mimi siwezi
[05:18.85]♪
[05:28.44]Nina wewe Yesu mimi mushinda
[05:31.38]Mimi n'tashinda
[05:32.70]Yale ya dunia mimi n'tashinda
[05:36.44]Mimi n'tashinda
[05:37.50]Nikiwa nawe Yesu mimi n'tashinda
[05:40.69]Mimi n'tashinda
[05:42.18]Yale ya dunia mimi n'tashinda
[05:45.63]Mimi n'tashinda
[05:51.60]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Mimi Nasafiri by Bahati Bukuku
1. Who is the singer of "Mimi Nasafiri" song?
⇒ Bahati Bukuku has sung the song "Mimi Nasafiri".
2. Which album is the "Mimi Nasafiri" song from?
⇒ The song "Mimi Nasafiri" is from the album Yashinde Mapito.
3. In which language is the "Mimi Nasafiri" song composed?
⇒ The song "Mimi Nasafiri" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Mimi Nasafiri" song?
⇒ The official duration of "Mimi Nasafiri" is 05:52.96.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Bahati Bukuku - Mimi Nasafiri