Read, copy, and download the Wapo lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Wapo by Harmonize from the album Harmonize. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:07.66. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Wapo]
[ar:Harmonize]
[al:Harmonize]
[lang:English]
[length:04:07.66]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:09.67](B Boy) Eeh
[00:11.62]Mmmh mmh
[00:18.89]Hivi kwanini nijitutumue
[00:21.54]Na dunia sio makazi
[00:24.27]Vijineno neno vinisumbue
[00:26.60]Hadi nishindwe kazi
[00:28.97]Mama alisema mkuku kwa nguruwe
[00:31.17]Kuishi na watu kazi
[00:34.21]Achambe atukane ata aniue
[00:36.31]Nishasamehe mzani ni mzazi
[00:38.91]Mwenzenu naficha naficha
[00:41.07]Mengi ninayo yaona
[00:43.82]Kifupi nafunika kombe
[00:46.27]Nikiamini kesho nayo siku
[00:47.95]Mapicha picha mapicha
[00:51.19]Sidhani kama nitapona
[00:53.78]Wanangu wa mtaani mniombee
[00:55.92]Hii vita ni mchana na usiku
[00:58.24]Oooh kuna watu na viatu
[01:04.15]Wanatamani milele wawe wao
[01:05.86]Ukijituma watasema
[01:07.17]Unashinda nao
[01:08.58]Oooh ni kama watu
[01:10.65]Kumbe ndani wana roho za chatu
[01:12.85]Hawatosheki na vikubwa vyao
[01:15.42]Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
[01:17.81]Mola nipe ujasiri
[01:19.70]Kwenye kufanya maamuzi
[01:22.67]Zidi nikomaza akili
[01:24.92]Isinipoteze miluzi
[01:27.07]Uniamshe alfajiri
[01:30.07]Kama jana na juzi
[01:32.50]Kupata kukosa ni siri
[01:34.40]Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
[01:36.96]Dear Lord (wapo)
[01:38.71]Iyeiye iye (wapo)
[01:40.23]Japo ni ngumu kuwaona (wapo)
[01:42.59]Wapo wasotaka ufanikiwe
[01:46.82]Wapo, binadamu hawana jema, (wapo)
[01:50.00]Kila utachofanya watasema (wapo)
[01:52.84]Wapo (wapo), wasotaka ubarikiwe
[01:56.57]Dear lord mmh mmh
[02:06.52]Watakuita mwanga kibonge
[02:09.53]Tena kwa dharau wakucheke
[02:11.91]Wanachotaka we uongee
[02:14.32]Waseme shukrani ya punda mateke
[02:16.56]Kama vipi dem wake tumgongee
[02:19.22]Ndo anaempiga chura teke
[02:21.49]Usipoonewa donge
[02:24.26]Basi ndo ujue hauna makeke
[02:26.02]Sikia Konde wepabana mjini shule
[02:28.91]Ukipata kidogo leta na wanao tule
[02:31.37]Achana nao wanaosemaga umezoea vya bure
[02:34.16]Maana siku zote nyani halioni kundule
[02:36.51]Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia
[02:39.46]Wapende wote
[02:41.02]Sio wa kike anacheka wa kiume analialia
[02:43.77]Bila msaada wowote
[02:45.81]Oooh kuna watu na viatu
[02:51.63]Wanatamani milele wawe wao
[02:53.54]Ukijituma watasema
[02:54.92]Unashinda nao
[02:56.16]Machoni nikama watu
[02:59.08]Kumbe ndani wana roho za chatu
[03:01.17]Hawatosheki na vikubwa vyao
[03:03.46]Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
[03:05.83]Mola nipe ujasiri
[03:07.76]Kwenye kufanya maamuzi
[03:10.40]Uzidi nikomaza akili
[03:12.50]Isinipoteze miluzi
[03:14.81]Uniamshe alfajiri kama
[03:17.20]Kama jana na juzi
[03:19.63]Kupata kukosa ni siri
[03:22.68]Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
[03:24.77]Dear Lord (wapo)
[03:26.28]Iyeiye iye (wapo)
[03:28.83]Japo ni ngumu kuwaona (wapo)
[03:30.79]Wapo wasotaka ufanikiwe
[03:34.25]Wapo! Binadamu hawana jema (wapo)
[03:37.68]Kila utachofanya watasema (wapo)
[03:40.68]Wapo! Wapo wasotaka ubarikiwe
[03:45.13]Dear Lord
[03:46.13]"Special message to the Youth"
[03:47.81]It's your time now to follow your dream
[03:50.55]No matter what people say, stay humble
[03:55.58]Stay positive, follow your dream
[03:59.93]Believe in God, ease your mind
[04:01.91]Ease your mind for Lord
[04:04.90](The Most Wanted Mix)
[04:06.09]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Wapo by Harmonize
1. Who is the singer of "Wapo" song?
⇒ Harmonize has sung the song "Wapo".
2. Which album is the "Wapo" song from?
⇒ The song "Wapo" is from the album Harmonize.
3. In which language is the "Wapo" song composed?
⇒ The song "Wapo" is composed in the English language.
4. What is the official duration of the "Wapo" song?
⇒ The official duration of "Wapo" is 04:07.66.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Harmonize - Wapo