Read, copy, and download the I Miss U lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song I Miss U by Harmonize from the album Harmonize. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:22.38. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:I Miss U]
[ar:Harmonize]
[al:Harmonize]
[lang:Swahili]
[length:03:22.38]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:03.29]Yao yao
[00:08.44]Black prince on the beat
[00:11.54]Yeah yea, yeah yea
[00:16.93]Yeah yea, yeah yea
[00:20.40]Only you in my mind
[00:24.06]Nahisi mwingine hakuna
[00:26.39]Kwenye hii dunia
[00:29.80]I don't know what you do
[00:32.81]Never mind
[00:34.15]Hata salamu unauchuna
[00:36.84]Vimeseji nikikutumia
[00:40.45]Ingawa silijui kosa
[00:41.95]Ila fanya unisamehe
[00:45.31]Umeniadhibu vya kutosha
[00:47.20]Japo imani nionee
[00:49.95]Oooh babe nikilala naota
[00:53.65]Naota kama unaniita
[00:56.38]Ila nafsi inasita
[00:58.95]Ipo siku nitaitika
[01:01.61]Oooh nikilala naota
[01:04.35]Naota kama unaniita
[01:07.03]Ila nafsi inasita
[01:09.34]Ipo siku nitaitika my babe
[01:16.39]I miss you
[01:21.45]I miss you
[01:22.56]Ukiona mtu mzima ma
[01:25.25]Analia ujue kuna jambo (I miss you)
[01:28.16]Maji hayapandi mlima ma (aah aah aah)
[01:30.87]Mi kiwete siwezi kwenda ng'ambo (I miss you)
[01:33.58]♪
[01:43.66]Nilisacrifice my love for you (oh oh oh)
[01:48.48]Leo unaniona sifai na matusi juu (oh oh oh)
[01:54.20]Natamani urudi mama
[01:56.85]Ila siwezi kukufosi fosi
[01:59.17]Punguza makusi drama
[02:01.87]Hizo mbwembwe na viposti posti
[02:04.60]Kutwa nashinda Insta
[02:06.87]Nazitazama zako picha
[02:09.62]Usiombe bando likiisha
[02:12.26]Mi mpweke ila yote tisa
[02:14.55]Oooh nikilala naota
[02:17.20]Naota kama unaniita
[02:20.04]Ila nafsi inasita
[02:21.94]Ipo siku nitaitika
[02:24.60]Oooh nikilala naota
[02:28.00]Naota kama unaniita
[02:30.29]Ila nafsi inasita
[02:32.90]Ipo siku nitaitika my babe
[02:39.99]I miss you
[02:45.13]I miss you
[02:46.69]Ukiona mtu mzima ma
[02:48.57]Analia ujue kuna jambo (I miss you)
[02:51.62]Maji hayapandi mlima ma (ah ah ah)
[02:54.27]Mi kiwete siwezi kwenda ng'ambo (I miss you)
[02:56.97]Nikilala naota
[02:58.99]Naota kama unaniita
[03:01.61]Ila nafsi inasita mpenzi
[03:04.33]Ipo siku utaitika
[03:06.54]Nikilala naota (nikilala naota)
[03:09.64]Naota kama unaniita (naota kama unaniita)
[03:11.97]Ila nafsi inasita mpenzi (ila nafsi inasii)
[03:14.68]Ipo siku utaitika
[03:17.34]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen I Miss U by Harmonize
1. Who is the singer of "I Miss U" song?
⇒ Harmonize has sung the song "I Miss U".
2. Which album is the "I Miss U" song from?
⇒ The song "I Miss U" is from the album Harmonize.
3. In which language is the "I Miss U" song composed?
⇒ The song "I Miss U" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "I Miss U" song?
⇒ The official duration of "I Miss U" is 03:22.38.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Harmonize - I Miss U