• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Magufuli Lyrics by Harmonize - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Magufuli lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Magufuli by Harmonize from the album Harmonize. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:42.42. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Magufuli by Harmonize LRC Format

    [ti:Magufuli]
    [ar:Harmonize]
    [al:Harmonize]
    [lang:Swahili]
    [length:03:42.42]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:11.18]Mmmmh
    [00:12.63]I wish ningemwona Magufuli, nipige magoti
    [00:16.90]Nimpongeze hadharani
    [00:20.70]Yaani
    [00:21.83]Rais wa muungano wa Jamhuri, mchapakazi hachoki
    [00:26.87]Anaye pinga nani?
    [00:30.06]Mmmh
    [00:31.16]Ametuvusha vikwazo
    [00:34.50]Wewe nami, ona nchi anavyoijenga
    [00:40.81]Flyover sa tunazo, daraja kigamboni
    [00:45.17]Airport imesha jengwa
    [00:48.37]Acha nikupongeze kwa Air Tanzania (iyelewe)
    [00:52.58]Zidi baba tuongeze Airbus Bombardier (iyelewe)
    [00:57.16]Standard gauge tuteleze, kusafiri unasinzia (iyelewe)
    [01:02.12]Acheni tu niwaeleze, Magufuli papa nia (iyelewe)
    [01:06.67]Oooh, dady
    [01:08.38]Magufuli cheza nikuone (kwangwaru)
    [01:10.88]Wasopenda wabane choo (kwangwaru)
    [01:13.73]Magu muacheni (kwangwaru)
    [01:16.51]Oooh, daddy
    [01:17.85]Asa cheza nikuone (kwangwaru)
    [01:20.49]Jembe toka chato (kwangwaru)
    [01:22.54]Magufuli ndo Rais wa wanyonge (kwangwaru)
    [01:25.32]Aga, mpole mtu wa dini
    [01:27.83]Hajachoka, tunashukuru
    [01:30.43]Amesamehe mara sabini
    [01:32.45]Papi Kocha sa yuko huru
    [01:34.88]Wa-Tanzania tupewe nini?
    [01:37.32]Vilokufa yeye kavifufua
    [01:39.71]Karudisha nidhamu serekalini
    [01:41.91]Ukileta njanja anatumbua, eh
    [01:45.06]Sekta ya madini, umeme, maji, kero zimepungua (asa wee)
    [01:49.89]Elimu bure vijijini, watoto shule wanabukua (asa wee)
    [01:54.27]Ifikapo elfu mbili na ishirini, kura yangu chukua (asa wee)
    [01:59.52]Asa tufiche ya nini 'Magu' uongozi anaujua (asa wee)
    [02:03.36]Dar es Salaam mwendo kasi, vituo vya afya kila kata (iyelewe)
    [02:08.10]Machinga tunachapa kazi, tena huru bila shaka (iyelewe)
    [02:12.63]Borigi utani ameongeza, uchumi uweze panda (iyelewe)
    [02:16.78]Serekali Dodoma inapendeza, Tanzania ya viwanda (iyelewe)
    [02:22.15]Oooh, dady
    [02:23.50]Magufuli cheza nikuone (kwangwaru)
    [02:26.11]Wasopenda wabane choo (kwangwaru)
    [02:29.06]Magu muacheni (kwangwaru)
    [02:31.83]Oooh, daddy
    [02:33.22]Asa cheza nikuone (kwangwaru)
    [02:35.84]Jembe toka chato (kwangwaru)
    [02:37.86]Magufuli ndo Rais wa wanyonge (kwangwaru)
    [02:41.05]Asa wote wa Tanzania, tusimame imara (imara, imara)
    [02:45.47]Yaani wote Tanzania (imara, Tanzania tusonge mbele)
    [02:50.44]Ah, John Pombe Magufuli, simama imara (imara, imara)
    [02:55.31]Yaani wote tusonge mbele (imara, Tanzania tusonge mbele)
    [02:59.37]Oooh, mama Samia Suluhu, basi simama imara (imara, imara)
    [03:04.68]Kwa pamoja tusonge mbele (imara, Tanzania tusonge mbele)
    [03:08.81]Baba Kassim Majaliwa, simama imara (imara, imara)
    [03:13.85]Kwa pamoja tusonge mbele (imara, Tanzania tusonge mbele)
    [03:20.96]Wasafi Records
    [03:22.60]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Magufuli by Harmonize

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Bedroom - Remix

    Utanikumbuka

    Side Niggah

    Niteke

    Wote

    I Miss U

    Matatizo

    One Question

    Single Again

    What Do You Miss

    Amelowa

    Single

    Mama

    Wapo

    Never Give Up - Remix

    Nishachoka

    Morning Call

    Magufuli


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Magufuli" song?

    ⇒ Harmonize has sung the song "Magufuli".

    2. Which album is the "Magufuli" song from?

    ⇒ The song "Magufuli" is from the album Harmonize.

    3. In which language is the "Magufuli" song composed?

    ⇒ The song "Magufuli" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Magufuli" song?

    ⇒ The official duration of "Magufuli" is 03:42.42.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Harmonize - Magufuli