Read, copy, and download the Mama lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Mama by Harmonize from the album Harmonize. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:25.35. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Mama]
[ar:Harmonize]
[al:Harmonize]
[lang:English]
[length:03:25.35]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:09.24]Yeah this one goes to all beautiful mothers in the world
[00:16.68]I love you mama
[00:19.37]I wanna talk to yah
[00:22.46]♪
[00:29.93]Helo mamaa
[00:32.17]Leo nmepata kisimu cha kuazimaa
[00:35.49]Nkaona hata angalau nijue hali yako oo
[00:40.79]Vipi uposalama
[00:42.68]Nia na dhumuni nijue kama umzimaa
[00:46.05]Hadi nmesahau shikamoo heshima yakoo
[00:51.45]Ingawa bado mambo magumu
[00:53.65]Bado sijachokaa napambanaa
[00:56.71]Ulinisihi nakudhurumu
[00:59.12]Ni makosa kwa rabana
[01:01.88]Chunga Wasikudanganye na picha za mitandao
[01:04.89]Ukahisi napochoa
[01:07.30]Ila niombee Kila kukicha mi ni mwanao
[01:10.57]Ipo siku ntantoboa
[01:13.03]Nliskiaga mjomba isa yule fundi mbao
[01:15.63]Tayari ameshaoa
[01:17.36]Ila yote tisa kumi mwanao
[01:21.50]Moyoni nna doa la kuwa mbali nawe we
[01:24.56]Eeeeeeee mamaa i love you
[01:28.12]I say i love you mam (Aahh mama i love you)
[01:33.11]Nahangaika ili keshooo nkutunze
[01:38.02]Mama i love you
[01:39.32]I love you i love (Aahh mama i love you)
[01:42.69]Hihihi i love u mom
[01:46.06]Miezi 9 tumboni kwa mateke mi mtundu ulinbeba.
[01:49.29]Ukajitwesha mgongoni upweke na uchungu ule wa Leba
[01:53.86]Nikisema nikusifie sifa Zako siwezi maliza ninacho tamani we usikie
[02:01.98]Kwajili yako na bangaizaaa
[02:06.09]Mama sio mchana sio usiku kukicha nakwenda lesii
[02:10.60]Ila naamini ipo siku Mola atanfanyia wepesi
[02:15.90]Chunga Wasikudanganye na picha za mitandao Ukahisi napochoa
[02:20.67]We niombee Kila kukicha mi ni mwanao
[02:25.21]Ipo siku ntantoboa
[02:27.14]Nliskiaga mjomba isa yule fundi mbao
[02:30.22]Tayari ameshaoa
[02:32.14]Ila yote tisa kumi mwanao
[02:35.73]Moyoni nna doa la kuwa mbali nawe we
[02:39.00]Eeeeeeee mamaa i love you
[02:42.13]I say i love you mam (Aahh mama i love you)
[02:46.30]Nahangaika ili keshooo nkutunze
[02:49.78]Mama i love you
[02:52.67]I love you i love (Aahh mama i love you)
[02:58.33]Hihihi i love u mom
[03:01.60]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Mama by Harmonize
1. Who is the singer of "Mama" song?
⇒ Harmonize has sung the song "Mama".
2. Which album is the "Mama" song from?
⇒ The song "Mama" is from the album Harmonize.
3. In which language is the "Mama" song composed?
⇒ The song "Mama" is composed in the English language.
4. What is the official duration of the "Mama" song?
⇒ The official duration of "Mama" is 03:25.35.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Harmonize - Mama