Read, copy, and download the Utanikumbuka lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Utanikumbuka by Harmonize from the album Harmonize. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:07.34. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Utanikumbuka]
[ar:Harmonize]
[al:Harmonize]
[lang:English]
[length:04:07.34]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:07.90]Big Boy On The Beat
[00:09.49]Ooh Aah
[00:10.99]Ooh Aah Aaah
[00:12.14]Ooh Aah
[00:13.19]Ooh Aah Aaah
[00:14.76]Ooh Aah
[00:15.62]Ooh Aah Aaah
[00:19.67]Ooh Aah
[00:20.48]Ooh Aah Aaah
[00:22.10]Ooh Aah
[00:23.22]Ooh Aah Aaah
[00:24.52]Ooh Aah
[00:25.45]Ooh Aah Aaah
[00:28.33]Natamani kuimba
[00:30.47]Pengine ukasikia
[00:32.98]Maneno yangu ya mwisho
[00:35.43]Ila sauti ndo inagoma
[00:37.64]Yani kama inakwaruza
[00:45.35]Huruma
[00:47.06]Ukinitazama machoni yamevimba
[00:50.11]Nimekesha nalia
[00:52.28]Na sijui lini mwisho
[00:55.12]Mwili wa joto na homa
[00:56.98]Yani mpaka naunguza
[01:07.61]Mapenzi hayana dhihaki
[01:10.20]Mwenzako nishawaza hadi faraki
[01:12.53]Ama niende kortini nikashitaki
[01:15.12]Kwamba unadhulumu furaha yangu
[01:17.62]Mdomoni una maji we samaki
[01:20.23]Sa mbona hata kusema hutaki
[01:22.72]Ama ndo unataka sitaki
[01:24.67]Ina maana huzioni jitihada zangu
[01:28.36]Pengine donda nililokupa
[01:30.31]Limefuta upendo unajaribu kujilazimisha
[01:33.59]Mengine unafanya kuniridhisha
[01:37.44]Mwili umekonda umebaki mifupa
[01:40.11]Kulilia upendo basi moyo rudisha
[01:45.45]Kama umenisamehe na yameisha kinyonge
[01:49.37]Ninajiuliza bila majibu
[01:52.83]Wapi ninapoharibu
[01:55.18]Kila ninachojaribu
[01:57.33]Hakikupendezi
[01:59.20]Utanikumbuka mpenzi uta
[02:03.09]Utanikumbuka mpenzi uta
[02:08.63]Maana wapo watakaokukosea(Utanikumbuka mpenzi uta...)
[02:12.12]Na wasikiri kosa
[02:13.90]Muda wote wanawaza kukuchezea
[02:16.81]Hakuna wa kukuposa
[02:18.92]Eeh eeh
[02:27.31]Inaboa mapenzi yakishaisha
[02:32.01]Licha ya kujitoa
[02:34.77]Mwenzangu kumridhisha
[02:36.94]Eti mara yupo bize yupo bize
[02:40.09]Alipo hataki nimuulize
[02:42.31]Anajua lazima iniumize
[02:44.79]Imeandikwa samehe na usilipize
[02:47.63]Huenda hata msamaha ulionipa ni kazi bure
[02:52.28]Kama umeshindwa nifanya
[02:54.17]Nijione kama yule Rajabu wa zamani
[02:57.79]Rudi Ma unipe joto
[03:00.05]Hili baridi kama Toronto
[03:02.63]Si ulijiita Kurwa mi Doto na utanipa watoto
[03:06.03]Sa mbona sikuoni
[03:08.07]Ninajiuliza bila majibu
[03:11.09]Wapi ninapoharibu
[03:13.27]Kila ninachojaribu
[03:15.67]Hakikupendezi
[03:17.55]Utanikumbuka mpenzi uta
[03:21.86]Utanikumbuka mpenzi uta
[03:27.59]Maana wapo watakaokukosea(Utanikumbuka mpenzi uta...)
[03:30.42]Na wasikiri kosa
[03:32.40]Muda wote wanawaza kukuchezea
[03:33.68]Hakuna wa kukuposa
[03:35.68]Eeh eeh
[03:41.43]Konde Boy Call Me Number one, Bakhresa
[03:44.74]Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka
[03:49.26]Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka
[03:52.88]Na sikuombei mabaya(Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka...)
[03:55.82]Ooh Mabaya
[03:57.91]Na sitakusema vibaya(Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka...)
[04:00.35]Uso umeumbwa na haya
[04:02.07]Uncle Duke unipigie ukinikumbuka
[04:06.33]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Utanikumbuka by Harmonize
1. Who is the singer of "Utanikumbuka" song?
⇒ Harmonize has sung the song "Utanikumbuka".
2. Which album is the "Utanikumbuka" song from?
⇒ The song "Utanikumbuka" is from the album Harmonize.
3. In which language is the "Utanikumbuka" song composed?
⇒ The song "Utanikumbuka" is composed in the English language.
4. What is the official duration of the "Utanikumbuka" song?
⇒ The official duration of "Utanikumbuka" is 04:07.34.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Harmonize - Utanikumbuka