• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Matatizo Lyrics by Harmonize - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Matatizo lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Matatizo by Harmonize from the album Harmonize. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:00.11. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Matatizo by Harmonize LRC Format

    [ti:Matatizo]
    [ar:Harmonize]
    [al:Harmonize]
    [lang:Somali]
    [length:04:00.11]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:08.82]Haiyee aaah!!
    [00:11.82](Wasafi records)
    [00:12.79]Olelelelee
    [00:15.18]♪
    [00:17.82]Alfajiri imefika
    [00:20.82]Anga inang'aa
    [00:22.83]Mvua inaanza katika
    [00:24.78]Ghafla tumbo la njaa
    [00:27.78]Naweka sauti kwa spika
    [00:29.83]Nipate umbea wa dar
    [00:31.81]Mara simu inaita
    [00:33.77]Jina la anko twaha
    [00:35.82]Akisema, mama yu hoi kitandani
    [00:39.77]Kama si wa leo wa kesho
    [00:42.81]Na kupona sizani
    [00:44.75]Upate japo neno la mwisho
    [00:47.82]Mi ndo mtoto wa pekee
    [00:49.78]Nyumbani wananitegemea
    [00:51.81]Mdogo wangu wa kike
    [00:55.81]Hali duni alishagaolewa
    [00:57.76]Tizama jasho langu la mnyonge
    [00:59.84]Kipato hakikidhi mahitaji
    [01:01.78]Napiga moyo konde
    [01:03.77]Yarabi mola ndo mpaji
    [01:05.82]Matatizo, matatizo
    [01:08.77]Yatakeisha lin
    [01:11.78]Matatizo
    [01:13.79]Kila siku mimi
    [01:15.78]Ewe mola
    [01:17.84]Matatizo yatakwisha lini
    [01:19.85]Japo likizo
    [01:22.84]Nifurahi na mimi
    [01:25.48]♪
    [01:33.81]Mola aliniumba na subira
    [01:36.81]Imani pekee ngao yangu
    [01:38.78]Mbona nishasali sana
    [01:42.79]Ila mambo bado tafalan
    [01:44.79]Mama kanifunza kikabila
    [01:46.77]Nikonde sana haini yangu
    [01:48.82]Tena nijitume sana
    [01:50.83]Na vya watu nisivitamani
    [01:52.75]Hata mpenzi niliyenae
    [01:55.79]Najua siku atanikimbia
    [01:58.75]Itanitesa ye ndo nguzo
    [02:02.82]Zile ngoja kesho badae
    [02:04.81]Atazichoka kuzivumilia
    [02:07.82]Anakosa hata matunzo
    [02:10.82]Ona, nadaiwa kodi nilipopanga
    [02:14.78]Nashinda road nikihanda
    [02:16.75]Nishapiga hodi kwa waganga
    [02:19.78]Kwa kuhisi narogwa
    [02:21.75]Nikauza maji na karanga
    [02:23.77]Nikawa dobi kwa viwanda
    [02:25.78]Ila kote ziro ni majanga
    [02:28.79]Mtindo mmoja
    [02:31.79]Mi ndo mtoto wa pekee
    [02:33.76]Nyumbani wananitegemea
    [02:35.81]Mdogo wangu wa kike
    [02:37.83]Hali duni alishagaolewa
    [02:40.81]Tizama jasho langu la mnyonge
    [02:42.84]Kipato hakikidhi mahitaji
    [02:44.82]Napiga moyo konde
    [02:47.80]Yarabi mola ndo mpaji
    [02:50.63]Matatizo, matatizo
    [02:53.20]Yatakeisha lin
    [02:55.38]Matatizo
    [02:57.58]Kila siku mimi
    [03:00.33]Matatizo, matatizo
    [03:03.13]Yatakeisha lin
    [03:05.99]Japo likizo
    [03:07.41]Nifurahi na mimi
    [03:09.71]Matatizo, matatizo
    [03:12.39]Yatakeisha lin
    [03:14.45]Matatizo
    [03:16.32]Kila siku mimi
    [03:18.46]Matatizo, matatizo
    [03:21.62]Yatakeisha lin
    [03:23.58]Japo likizo
    [03:26.24]Nifurahi na mimi
    [03:26.81]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Matatizo by Harmonize

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Bedroom - Remix

    Utanikumbuka

    Side Niggah

    Niteke

    Wote

    I Miss U

    Matatizo

    One Question

    Single Again

    What Do You Miss

    Amelowa

    Single

    Mama

    Wapo

    Never Give Up - Remix

    Nishachoka

    Morning Call

    Magufuli


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Matatizo" song?

    ⇒ Harmonize has sung the song "Matatizo".

    2. Which album is the "Matatizo" song from?

    ⇒ The song "Matatizo" is from the album Harmonize.

    3. In which language is the "Matatizo" song composed?

    ⇒ The song "Matatizo" is composed in the Somali language.

    4. What is the official duration of the "Matatizo" song?

    ⇒ The official duration of "Matatizo" is 04:00.11.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Harmonize - Matatizo