Read, copy, and download the Nitaubeba lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Nitaubeba by Harmonize from the album N/A. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:10.00. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Nitaubeba]
[ar:Harmonize]
[lang:Swahili]
[length:04:10.00]
[by:Jun]
[re:rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:20.92]Imagine uko jangwani umepotea
[00:24.18]Mchana juani unatembea
[00:26.45]Utokapo ni mbali uendapo ni mbali
[00:31.48]Mara ngamia mbebaji akatokea
[00:34.35]Na kukushusha mzigo uliokuelemea
[00:37.27]Upate afadhali pole na safari
[00:40.78]And thats why today
[00:43.90]To me yote tisa ila kumi
[00:45.89]Umeonesha maana ya upendo
[00:48.76]Si kwa maneno bali kwa vitendo
[00:51.41]Umeridhika na nilichonacho
[00:54.23]Vya watu hutoleagi macho
[00:56.81]Siku nikiwa sina twalala
[01:00.44]Oooh baby twalala
[01:02.52]Aaaah baby if I close my eyes
[01:06.00]Mi namuomba Mungu akulinde
[01:08.63]Na akusimamie we ndo
[01:11.70]Pacha wangu mie
[01:14.37]Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena
[01:17.17]Sikusikii ukilia sikusikii ukisema
[01:19.73]Niko busy na boo jamani nimeshasema
[01:22.22]Niko busy na baby na msalaba wake
[01:24.79]Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba
[01:32.81]Na ntafika nao kiume
[01:35.50]Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
[01:38.69]Nitaubeba (ama kwenye shibe na njaa)
[01:41.85]La kwako ndo langu my darling
[01:43.91]Na ntafika nao kiume
[01:47.97]
[02:07.76]Imagine hujifahamu
[02:09.53]Umezimia umewekewa damu zinaingia
[02:13.28]Bomba ikafunguka na huwezi hata nyanyuka
[02:18.43]Mara dakitari wa zamu
[02:20.26]Akaingia umepata fahamu unamwangalia
[02:23.90]Machozi yanakuanguka unatamani funguka
[02:27.97]And that's why today to me
[02:30.46]Yote tisa ila kumi unanifurahisha
[02:34.11]Kwenye tendo
[02:35.72]Au unipe penzi la magendo
[02:38.60]Aaaah baby if I close my eyes
[02:42.16]Mi namuomba Mungu akulinde
[02:44.82]Na akusimamie we ndo pacha wangu mie
[02:49.97]Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena
[02:52.74]Sikusikii ukilia sikusikii ukisema
[02:55.18]Niko busy na boo jamani nimeshasema
[02:57.97]Niko busy na baby na msalaba wake
[03:00.42]Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba
[03:08.44]Na ntafika nao kiume
[03:11.35]Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
[03:13.76]Ntaubeba (ama kwenye shibe na njaa)
[03:17.87]La kwako ndo langu my darling
[03:19.97]Na ntafika nao kiume
[03:22.90]
[03:26.25]Iwe kwenye shida na raha
[03:27.84]Ama kwenye shibe na njaa
[03:29.10]La kwako ndo langu my darling
[03:29.47]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Nitaubeba by Harmonize
1. Who is the singer of "Nitaubeba" song?
⇒ Harmonize has sung the song "Nitaubeba".
2. Which album is the "Nitaubeba" song from?
⇒ The song "Nitaubeba" is from the album N/A.
3. In which language is the "Nitaubeba" song composed?
⇒ The song "Nitaubeba" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Nitaubeba" song?
⇒ The official duration of "Nitaubeba" is 04:10.00.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Harmonize - Nitaubeba