• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Jeshi Lyrics by Harmonize - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Jeshi lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Jeshi by Harmonize from the album Harmonize. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:17.94. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Jeshi by Harmonize LRC Format

    [ti:Jeshi]
    [ar:Harmonize]
    [al:Harmonize]
    [lang:Welsh]
    [length:03:17.94]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:03.41]Yow, yow
    [00:06.64]Ooh na na na, mm
    [00:09.93]Sometimes what you doing
    [00:12.14]Can be deceiving
    [00:14.69]Na huwezi kuvuna usichokipanda
    [00:17.25]Thanks God for giving
    [00:19.66]Ghetto sikua na umeme wala cable
    [00:22.14]Ni jeans moja t-shirt na yebo
    [00:24.66]Eti Leo namiliko lebo
    [00:27.07](Lebo konde gang lebo)
    [00:29.35]Sikuzote kisichokuua kitakufanya uwe ngangari
    [00:34.28]Hata muwanga huwezi kumjua so uishi nao kwa tahadhari
    [00:39.00]My sister siku hizi shepu wananunua we pambana upate salary
    [00:43.85]Na usisahau pesa maua so ukikosa hata usijali
    [00:48.77]One love
    [00:49.87]Kwa wanangu wa kitaa nyie ndio mna nunua CD
    [00:53.40]Two love
    [00:54.87]Kwa wanafiki wa Insta mnafanya niongeze bidii
    [00:58.71]Three love
    [01:00.05]Kwa Masta na Rita mlinifanya hasira zizidi
    [01:03.74]Four love
    [01:04.90]Ya ngumu nilizopita, mkanipa na jina mkasema niitwe, Jeshi
    [01:09.73]Konde boy Jeshi
    [01:11.94]Tena sikuhizi wananiita Tembo
    [01:13.90]Jeshi, hata we ni Jeshi
    [01:16.59]Yani kama huna pigo za kirembo ni Jeshi
    [01:19.70]Konde boy Jeshi
    [01:21.69]Yani wanangu wananiita Temboo
    [01:23.69]Jeshi (no no no no)
    [01:25.73]Hata we ni Jeshi
    [01:26.69]Yani kama huna pigo za kirembo ni Jeshi
    [01:28.56]One love
    [01:29.72]Kwa wanangu wa kitaa nyie ndio mna nunua CD
    [01:32.97]Two love
    [01:34.37]Kwa wanafiki kwa Insta mnafanya niongeze bidii
    [01:37.49]Ninaamini Mungu yupo tena naongea nae japo sisikii sauti yake
    [01:42.61]Nikianguka nitainuka tena so usishangae why tembo ana hustle peke yake
    [01:47.82]'Cause I know
    [01:49.14]Unapookota ndio wakati wa kutunza ili kesho kisije potea
    [01:53.43]Na unaposota ndio wakati wa kujifunza ni wapi ulipokosea
    [01:58.07]Sio kama siwezi kujibizana ila mwenzenu nimeumbwa na sub'ra
    [02:02.77]Cheki madili yanavyogongana
    [02:05.53]'Cause nyota yangu ni Libra
    [02:07.63]Mbona siwaoni, waliotumwa kunitukana
    [02:10.35]Vichwa vyao viko kibla
    [02:12.95]Tena sikuhizi hata siimbi sana
    [02:15.61]Acha washindane na Ibra
    [02:17.69]I say one love
    [02:19.11]Kwa wanangu wa kitaa nyie ndio mna nunua CD
    [02:22.87]Two love
    [02:23.90]Kwa wanafiki wa Insta mnafanya niongeze bidii
    [02:27.80]Three love
    [02:29.23]Kwa Masta na Rita, mlifanya hasira zizidi
    [02:32.73]Four love
    [02:33.91]Njia ngumu nilizopita mkanipa na jina mkasema niitwe
    [02:37.62]Jeshi
    [02:39.51]Konde boy Jeshi
    [02:40.77]Tena siku hizi wananiita Tembo, Jeshi
    [02:44.66]Hata we ni Jeshi
    [02:45.70]Yani kama huna pigo za kirembo ni Jeshi
    [02:49.59]Konde boy Jeshi
    [02:50.83]Yani wanangu wananiita Tembo, Jeshi
    [02:54.20]Hata we ni Jeshi
    [02:55.64]Yani kama huna pigo za kirembo ni Jeshi
    [02:57.87]One love
    [02:58.93]Kwa wanangu wa kitaa nyie ndio mnanunua CD
    [03:02.38]Two love
    [03:03.73]Kwa wanafiki wa Insta mnafanya niongeze bidii
    [03:06.50]Konde Boy
    [03:07.98]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Jeshi by Harmonize

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Bedroom - Remix

    Utanikumbuka

    Side Niggah

    Niteke

    Wote

    I Miss U

    Matatizo

    One Question

    Single Again

    What Do You Miss

    Amelowa

    Single

    Mama

    Wapo

    Never Give Up - Remix

    Nishachoka

    Morning Call

    Magufuli


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Jeshi" song?

    ⇒ Harmonize has sung the song "Jeshi".

    2. Which album is the "Jeshi" song from?

    ⇒ The song "Jeshi" is from the album Harmonize.

    3. In which language is the "Jeshi" song composed?

    ⇒ The song "Jeshi" is composed in the Welsh language.

    4. What is the official duration of the "Jeshi" song?

    ⇒ The official duration of "Jeshi" is 03:17.94.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Harmonize - Jeshi