• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Yatapita Lyrics by Diamond Platnumz - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Yatapita lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Yatapita by Diamond Platnumz from the album N/A. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:59.00. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Yatapita by Diamond Platnumz LRC Format

    [ti:Yatapita]
    [ar:Diamond Platnumz]
    [lang:Swahili]
    [length:04:59.00]
    [by:Jun]
    [re:rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:21.60]Yatapita yana mwisho
    [00:27.71]Ipo siku tutayasahau
    [00:29.92]Watatuheshimu walio tudharau
    [00:32.61]Kaza moyo, nivumilie
    [00:38.11]Amini tutayasahau
    [00:40.48]Watatuheshimu walio tudharau (Wote)
    [00:44.40]Na ntakununulia (Vyote)
    [00:46.88]Mawigi na simu (Vyote)
    [00:49.61]Ntakuzawadia (Vyote)
    [00:51.99]Pochi zenye thamani (Vyote)
    [00:54.83]Nawe uende waringishia (Vyote)
    [00:57.48]Utembee kwa uskani (Vyote)
    [00:59.88]Na vioo ukiwafungia (Vyote)
    [01:02.69]Aloiumba leo ni mungu na ndio ataiumba kesho
    [01:07.65]Amini fungu letu laja haliko mbali
    [01:13.30]Alisema mtazaa kwa uchungu, tutatafuta kwa mateso
    [01:18.63]Baby mitihani kawaida usijali, mnh!
    [01:24.77]Kidogo nnachokuletea usinune pokea
    [01:31.28]Nipate moyo nifariji
    [01:35.48]Na juhudi naziongezea usichoke niombea
    [01:41.77]Molah atubariki zaidi
    [01:45.34]Mungu kakupa sura kakupa shepu
    [01:48.46]Nyuma chura mambo yetu
    [01:51.90]Mwana wa sanura, mwenzako mimi I love you
    [01:56.32]Umeniteka medula niko fyetu
    [01:59.30]Akili haina ndala iko peku
    [02:01.67]Umenivurura, mwenzako mimi I love you
    [02:06.98]Ooh nivumilie
    [02:09.14]Yatapita yana mwisho
    [02:14.14]Ipo siku tutayasahau
    [02:16.75]Watatuheshimu walio tudharau
    [02:19.38]Kaza moyo, nivumilie
    [02:24.51]Amini tutayasahau
    [02:27.51]Watatuheshimu walio tudharau (Wote)
    [02:30.94]Na ntakununulia (Vyote)
    [02:33.58]Mikufu na simu (Vyote)
    [02:36.23]Ntakuzawadia (Vyote)
    [02:38.83]Pochi zenye thamani (Vyote)
    [02:41.51]Nawe uende waringishia (Vyote)
    [02:44.80]Utembee kwa uskani (Vyote)
    [02:46.49]Na vioo ukiwafungia (Vyote)
    [02:49.70]Ooh Baby
    [02:51.20]Tazama Nyota na Mbalamwezi zatutazama
    [02:56.51]Liliwaka jua zikafanya subira mnh! nhh!
    [03:02.15]Na nnapokosa niambie mupenzi sio kuzozana
    [03:07.44]Nyumba haijengwi kwa vita hasira
    [03:11.69]Kwenye macho yako nikiyatazama
    [03:15.22]Naiona huruma yako mama
    [03:17.86]Changamoto maana kuna muda unakata tamaa
    [03:22.72]Nanoa kisu hatuli nyama
    [03:26.14]Na kodi lundo zatuandama
    [03:28.66]Riziki zama kwa zama
    [03:30.42]Ya kwetu kesho ya kwao ni jana
    [03:33.65]Kidogo nnachokuletea usinune pokea
    [03:39.31]Nipate moyo nifariji mnh!
    [03:44.90]Na juhudi naziongezea usichoke niombea
    [03:50.00]Molah atubariki zaidi
    [03:52.92]Yatapita kipenzi changu
    [03:55.72]Yatapita yana mwisho
    [04:01.19]Ipo siku tutayasahau
    [04:03.63]Watatuheshimu walio tudharau
    [04:06.32]Kaza moyo, nivumilie
    [04:11.63]Amini tutayasahau
    [04:14.29]Watatuheshimu walio tudharau (Wote)
    [04:17.38]Na ntakununulia (Vyote)
    [04:20.54]Mawigi na simu (Vyote)
    [04:23.31]Ntakuzawadia (Vyote)
    [04:25.67]Pochi zenye thamani (Vyote)
    [04:28.42]Na wewe uende waringishia (Vyote)
    [04:30.87]Utembee kwa uskani (Vyote)
    [04:33.52]Na vioo ukiwafungia (Vyote)
    [04:37.51]
    [04:46.46]Mungu kakupa sura kakupa shepu
    [04:49.52]Nyuma chura mambo yetu
    [04:52.90]Mwana wa sanura
    [04:54.21]Mwenzako mimi I love you
    [04:56.10]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Yatapita by Diamond Platnumz

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Komasava (Comment Ça Va)

    Binadamu

    Nikuone

    Mawazo

    Nimpende Nani

    Pamela

    Somebody

    Kidogo

    Number One - remix

    Marry You

    Waah!

    Ukimuona

    Sikomi

    Simba

    Ongeza

    My Baby

    My Number One

    Overdose


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Yatapita" song?

    ⇒ Diamond Platnumz has sung the song "Yatapita".

    2. Which album is the "Yatapita" song from?

    ⇒ The song "Yatapita" is from the album N/A.

    3. In which language is the "Yatapita" song composed?

    ⇒ The song "Yatapita" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Yatapita" song?

    ⇒ The official duration of "Yatapita" is 04:59.00.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Diamond Platnumz - Yatapita