• rclyrisband-search
  • Home Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Ongeza Lyrics Download by Diamond Platnumz - Read, Copy & Download LRC / PDF / TXT / SRT File

    Read, Copy, Download simple local lyrics LRC file which is music subtitles of Ongeza is a Swahili song from the album Diamond Platnumz and this song is sung by Diamond Platnumz. This synchronized LRC file is created by our stuff using our free tool "LRC File Maker" and our provided LRC files are only for the official length of the songs like this song's duration is 03:56.25. You can also download lyrics here in TXT (.txt), SRT (.srt) and PDF (.pdf) format.

    rclyricsband social share

    Ongeza by Diamond Platnumz LRC Format

    [ti:Ongeza]
    [ar:Diamond Platnumz]
    [al:Diamond Platnumz]
    [lang:Swahili]
    [length:03:56.25]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:10.27]Mhhh, mhhhh
    [00:12.72]Mi kwako sikuingia miguu
    [00:13.77]Mikono hadi kichwa kiufupi mazima
    [00:15.88]Nikiamini wa kufa kuzikana
    [00:21.18]Yani hoi isio nafuu
    [00:22.79]Maututi kabisa hata mashaka siiina
    [00:26.77]Nikiaminiiii tutatengwa na Maulana
    [00:31.89]Mvumilivu hula mbivu
    [00:34.64]Nimengoja mpaka zikaoza
    [00:37.45]Naambulia maumivu
    [00:39.93]Ingali sina wa kupoza
    [00:43.13]Sijui yangu stahamilivu kumnyenyekea kwaniponza
    [00:48.11]Napambania utulivu mwenzangu chuki unaikoza
    [00:54.00]Sikukufuta tu machozi ulipolia nililia na wewe
    [00:58.40]
    [01:00.44]Sa mbona wanilipa majonzi
    [01:01.80]Yani stress mapombe nilewe
    [01:04.66]We ndo wangu Yesu Mkombozi
    [01:09.15]Sa mbona Petro unaniacha mwenyewe
    [01:10.40]Nikose usingizi na njozi ndo ufurahi
    [01:13.38]Ok sawa si unataka nitukanwe
    [01:16.38]Ongeza, ongeza badooo
    [01:20.59](Nidhalilike)
    [01:22.23]Ongeza, ongeza badooo
    [01:25.70](Nikose pa kuificha sura)
    [01:28.93]Ongeza, ongeza badooo (marafiki wanicheke)
    [01:31.79](Waning'ong'e hadaa)
    [01:33.69]Ongeza, ongeza badooo
    [01:38.24]Mmmhh kisichokuua hukukomaza eti kiuskali huo msemo mi nakataa
    [01:43.84]Mana jua linapoangaza ndo sina afadhali mie kwangu ni mabalaa
    [01:49.70]Oooohh najitahidi kumsinga mwali ila somo ananikataa
    [01:55.00]Ooohhh penzi letu si la kibatari anayamwaga mafuta ya taa
    [02:01.16]Kutwa ni vurugu ndani
    [02:03.28]Purukushani hapakaliki
    [02:06.01]Roho inaniuma yani kwa nini sa tunagombana sweet
    [02:11.81]Ooohh jema gani nambie labda nitende kipi
    [02:17.30]Hata pa kucheka honey eti utani unapaniki
    [02:22.85]Naelewa ridhiki mafungu saba na la kwangu sita
    [02:28.31]Naelewa sikutoshi labda kukuridhisha
    [02:33.35]Sikukufuta tu machozi ulipolia nililia na wewe
    [02:39.05]Sa mbona wanilipa majonzi yani stress mapombe nilewe
    [02:44.31]We ndo wangu Yesu Mkombozi
    [02:46.63]Sa mbona Petro unaniacha mwenyewe
    [02:49.32]Nikose usingizi na njozi ndo ufurahi
    [02:52.97]Ok sawa si unataka nitukanwe
    [02:56.28]Ongeza (eheeeee), ongeza badooo (eheeeeee)
    [03:00.33](Nidhalilike)
    [03:01.92]Ongeza, ongeza badooo(eee)
    [03:05.59](Nikose pa kuificha sura)
    [03:07.52]Ongeza, ongeza badooo
    [03:09.87](Ndugu jamaa wanicheke, waning'ong'e hadaa!)
    [03:13.12]Ongeza, ongeza badooo (ehee)
    [03:17.14]Nikose pa kuificha sura
    [03:21.61]Ah, waning'ong'e hadaa...
    [03:23.96]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)


    Try Our Free Tools


    You May Listen Ongeza by Diamond Platnumz

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    FAQ:

    1. Who is the singer of "Ongeza" song?

    ⇒ Diamond Platnumz have sung the song "Ongeza".

    2. Which album is 'Ongeza' song from?

    ⇒ Diamond Platnumz.

    3. In which language is 'Ongeza' song composed?

    ⇒ Ongeza song is composed in Swahili language.

    4. What is the official duration of 'Ongeza' song?

    ⇒ The official duration of 'Ongeza' is 03:56.25.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this lrc file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match with the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you need to apply an offset using our tool LRC File Maker (i.e., +10.. or -10..).

    Komasava (Comment Ça Va)

    Binadamu

    Nikuone

    Mawazo

    Nimpende Nani

    Pamela

    Somebody

    Kidogo

    Number One - remix

    Marry You

    Waah!

    Ukimuona

    Sikomi

    Simba

    Ongeza

    My Baby

    My Number One

    Overdose

    Diamond Platnumz - Ongeza