Read, Copy, Download simple local lyrics LRC file which is music subtitles of Simba is a Swahili song from the album Diamond Platnumz and this song is sung by Diamond Platnumz. This synchronized LRC file is created by our stuff using our free tool "LRC File Maker" and our provided LRC files are only for the official length of the songs like this song's duration is 03:24.71. You can also download lyrics here in TXT (.txt), SRT (.srt) and PDF (.pdf) format.
[ti:Simba]
[ar:Diamond Platnumz]
[al:Diamond Platnumz]
[lang:Swahili]
[length:03:24.71]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:02.44]Oh, waite..., eh
[00:07.18]Kumekucha jama
[00:09.27]Kishafanya yake munyama
[00:11.89]Oh-ooh! Kumekucha jama
[00:14.85]Kishafanya ya-
[00:16.03]Agaah! Waambie Simba (Simba kiboko yao)
[00:19.13]Waambie wekundu wa Msimbazi (Simba kiboko yao)
[00:21.47]Oooh! Taifa kubwa (Simba kiboko yao)
[00:24.29]Oooh! This is Simba (Simba kiboko yao)
[00:26.88]'Bona Manara anacheza?
[00:28.27](Anashangilia ushindi umekuja!)
[00:30.24]Mo anarukaruka?
[00:30.96](Anashangilia ushindi umekuja!)
[00:32.69]Yule dada anakata?
[00:33.82](Anashangilia ushindi umekuja!)
[00:35.20]Agaah! Wahuni wanarukaruka?
[00:36.58](Wanashangilia ushindi umekuja!)
[00:38.48]Na tutamfunga yoyote ata'e kaa mbele
[00:41.34]Si wanawashwa tutawakuna upele
[00:44.15]Chenga na pasi ndo zetu kama mbele
[00:46.65]Oh, magoli mashuti kama pele
[00:49.29]Wataweza wapi jamaa (wakwende zao!)
[00:52.02]Kushindana na munyama? (Wakwende zao!)
[00:54.22]Ooh! Wataweza wapi jamaa
[00:57.34]Kushindana na Musimbazi?
[00:59.77]Agaah! Nasema Simba (Simba kiboko yao)
[01:02.63]Waambie wekundu wa Msimbazi (Simba kiboko yao)
[01:05.43]Haina mpinzani (Simba kiboko yao)
[01:07.81]Ooh! Mabingwa wa nchi (Simba kiboko yao)
[01:10.38]Ah, wanachama wanacheza
[01:11.88](Wanashangilia ushindi umekuja!)
[01:13.49]Mashabiki wanarukaruka
[01:14.62](Wanashangilia ushindi umekuja!)
[01:16.00]Ooh! Nguvu moja
[01:17.44](Anashangilia ushindi umekuja!)
[01:18.83]Hadi wale wanarukaruka
[01:19.88](Wanashangilia ushindi umekuja!)
[01:21.62]Oyaa mnyama anakula (ahm!)
[01:23.15]Mnyama anang'ata (ahm!)
[01:24.83]Mnyama anakula (ahm!)
[01:25.94]Mnyama anang'ata (ahm!)
[01:27.36]Anawatafuna (ahm!)
[01:28.72]Anawameza (ahm!)
[01:30.06]Anawatafuna (ahm!)
[01:31.50]Anawameza (ahm!)
[01:33.89]Eeh, kidedea
[01:36.71]Eeh, kidedea
[01:39.43]Eeh, kidedea
[01:42.33]Eeh, kidedea
[01:44.03]♪
[01:50.10]Naipenda Simba mshabiki wa damu
[01:52.72]Naipenda Simba mshabiki wa damu
[01:55.82]Mi' mwenzenu mshabiki wa damu
[01:58.33]Naipenda Simba mshabiki wa damu
[01:59.99]Nani baba wanangu, nani baba? (Simba)
[02:02.58]Nani baba wanangu, nani baba? (Simba)
[02:05.44]Nani bingwa wa nchi, nani bingwa? (Simba)
[02:08.22]Nani bingwa wa nchi, nani bingwa? (Simba)
[02:10.78]Kama unaipenda Simba puliza vuvuzela
[02:16.02]We' kama unaipenda Simba peperusha bendera
[02:21.47]Ah, kama unaipenda Simba puliza vuvuzela basi
[02:27.22]Kama unaipenda simba peperusha -
[02:29.35]Asa twende, peperusha bendera, wanangu bendera
[02:32.72]Niione bendera, nionyeshe bendera
[02:35.29]Nyekundu bendera, nyeupe bendera
[02:38.22]Ya Simba bendera, umo-umo!
[02:40.61]Oh, waite..., eh
[02:45.96]Eeh! Waambie hii ndo' timu yenye mashabiki wengi East Africa
[02:51.74]Na yenye makombe mengi East Africa and Central
[02:54.69]Iliyofanya vizuri zaidi kwenye mashindano makubwa Afrika kuliko club yoyote
[02:58.98]Na tutamfunga yoyote
[03:00.92]Hah! Watoto wa Msimbazi
[03:06.47]Bado sijasikia miluzi, sijasikia milio
[03:09.58]Wanangu miluzi (mama), nisikie milio (weka)
[03:12.39]Wa kule miluzi (twende baba), wa huku milio (umo-umo)
[03:14.99]Nisikie miluzi (wewe), wanangu milio
[03:18.94]Eeh, kidedea
[03:21.54]Eeh, kidedea
[03:23.55]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Simba by Diamond Platnumz
1. Who is the singer of "Simba" song?
⇒ Diamond Platnumz have sung the song "Simba".
2. Which album is 'Simba' song from?
⇒ Diamond Platnumz.
3. In which language is 'Simba' song composed?
⇒ Simba song is composed in Swahili language.
4. What is the official duration of 'Simba' song?
⇒ The official duration of 'Simba' is 03:24.71.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this lrc file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match with the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you need to apply an offset using our tool LRC File Maker (i.e., +10.. or -10..).
Diamond Platnumz - Simba