• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Binadamu Lyrics by Diamond Platnumz - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Binadamu lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Binadamu by Diamond Platnumz from the album Diamond Platnumz. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:33.40. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Binadamu by Diamond Platnumz LRC Format

    [ti:Binadamu]
    [ar:Diamond Platnumz]
    [al:Diamond Platnumz]
    [lang:Indonesian]
    [length:04:33.40]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:00.69]Eyoh...
    [00:03.45]Yoh I'm back Bob Junior, I'm back
    [00:07.21]Acha vita ianze
    [00:10.65]Wamechelewa
    [00:12.53]Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (wabaya)
    [00:13.45]Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (mbaya)
    [00:25.09]Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya
    [00:30.26]Mola, naomba nilinde niwe na upendo wa dhati
    [00:33.66]Wote niishi nao sawa
    [00:36.85]Nilipouanza mziki, mbali na dhiki
    [00:40.37]Nimekutana na matatizo sana
    [00:43.07]Sikuwa rafiki, sithaminiki
    [00:45.06]Bado kidogo mie tu nikate tamaa
    [00:49.28]Wangu moyo, ulivumilia dharau na masimango mi
    [00:54.21]Mi wangu moyo, ulivumilia utumwa na manyanyaso dih
    [01:00.76]Yaani nahangaika usiku kucha naambulia patupu
    [01:06.08]Nilikuwa naumia
    [01:07.97]Moyoni najipa moyo kesho ntakuwa maarufu
    [01:11.50]Mwisho wa siku nafulia
    [01:14.27]Ile nahangaika usiku kucha naambulia patupu
    [01:17.61]Nilikuwa naumia
    [01:20.25]Najipa moyo kesho ntakuwa maarufu
    [01:23.64]Mwisho wa siku nafulia
    [01:26.61]Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (wabaya)
    [01:33.63]Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (mbaya)
    [01:39.24]Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya
    [01:43.80]Mola, naomba nilinde niwe na upendo wa dhati
    [01:48.79]Wote niishi nao sawa
    [01:52.49]Kidogo nakula na mama yangu
    [01:55.40]Siwezi kuwasahau na ndugu zangu
    [01:57.90]Upendo popote alipo kwa baba yangu
    [02:00.93]Japo alinikataa
    [02:04.20]Aa bata nakulaga mi na rafiki zangu
    [02:07.17]Tunacheza Reggae na masikini wenzangu
    [02:10.43]Alazwe pepa peponi na bibi yangu
    [02:13.18]Mjukuu wake Sanana
    [02:16.57]Sababu ya ugumu wa maisha
    [02:18.50]Na maumivu ya mapenzi nikaandika "Kamwambie"
    [02:21.81]Ndo hapo hustle zikaisha, kabariki Mwenyezi watanzania wanizimie
    [02:25.22]Asa hivi kwenye tamasha tu likitajwa jina watu wanashangilia
    [02:31.84]Wengine furaha inazidi kina hadi kabisa wanalia
    [02:39.13]Asa hivi kwenye tamasha yaani ikitajwa jina watu wanashangilia
    [02:47.67]Wengine furaha inazidi kina hadi kabisa wanalia
    [02:51.97]Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (wabaya)
    [02:53.84]Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (mbaya)
    [02:55.03]Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya
    [02:55.76]Mola, naomba nilinde niwe na upendo wa dhati
    [03:16.66]Wote niishi nao sawa
    [03:23.32]Eii tena wabaya sana
    [03:29.28]Ouu wanakatisha tamaa
    [03:32.21]Eii uh wabaya
    [03:38.57]Tena wabaya
    [03:41.81]Ouu aah
    [03:43.30]Sana, wabaya sana
    [03:44.63]Wabaya sana
    [03:46.52]Mmh wabaya sana
    [03:50.51]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Binadamu by Diamond Platnumz

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Komasava (Comment Ça Va)

    Binadamu

    Nikuone

    Mawazo

    Nimpende Nani

    Pamela

    Somebody

    Kidogo

    Number One - remix

    Marry You

    Waah!

    Ukimuona

    Sikomi

    Simba

    Ongeza

    My Baby

    My Number One

    Overdose


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Binadamu" song?

    ⇒ Diamond Platnumz has sung the song "Binadamu".

    2. Which album is the "Binadamu" song from?

    ⇒ The song "Binadamu" is from the album Diamond Platnumz.

    3. In which language is the "Binadamu" song composed?

    ⇒ The song "Binadamu" is composed in the Indonesian language.

    4. What is the official duration of the "Binadamu" song?

    ⇒ The official duration of "Binadamu" is 04:33.40.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Diamond Platnumz - Binadamu