Read, copy, and download the Nimpende Nani lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Nimpende Nani by Diamond Platnumz from the album Diamond Platnumz. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:48.23. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Nimpende Nani]
[ar:Diamond Platnumz]
[al:Diamond Platnumz]
[lang:Indonesian]
[length:03:48.23]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:14.89]Cha! Ah!
[00:16.63]Nimpende nani? Nimpende, eh, eh
[00:21.10]Nimpende nani? Nimpende, ah-ah
[00:25.48]Nimpende nani? Nimpende, eh, eh
[00:29.88]Nimpende nani? Nimpende, ah-ah
[00:34.44]Tai!
[00:34.90]We nilikuwaga na mpenzi, akanizingua
[00:39.30]Hivyo nataka mwenzi wa haya maradhi naugua
[00:43.72]Isije siku miezi, naye akanisumbua
[00:48.07]Ikawa tena kitenzi, mzigo kuutua
[00:52.16]Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi
[00:55.06]Wasije wakanitenda
[00:56.99]Nikazama na huba kwa mapenzi ya kweli
[00:59.51]Wakanicha wakaenda
[01:01.07]We si unajua! Wazuri ni wengi lakini kumpata
[01:04.08]Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
[01:06.58]Wengi ni wajanja watoto wa mjini
[01:08.57]Wamejawa utapeli, tamaa
[01:11.02]Wazuri ni wengi lakini kumpata
[01:13.17]Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
[01:15.38]Wengi ni wajanja watoto wa mjini
[01:17.28]Nimpende nani? (Cha, ah!)
[01:19.03]Nimpende nani? Nimpende, eh, eh
[01:23.30]Nimpende nani? Nimpende, ah-ah
[01:27.74]Nimpende nani? Nimpende, eh, eh
[01:32.09]Nimpende nani? Nimpende, ah-ah
[01:37.14]Yasiwe kama ya Wema Sepetu, kila siku magazeti
[01:41.52]Ajue nidhamu na mila ya kwetu, mjuzi kupeti-peti
[01:45.63]Usimtake ka 'Uwoya nimteme ana hasira, mpole kama Jokate
[01:50.33]Ila sauti ka' Wema akiwa analia, kicheko kama cha Fetty
[01:54.55]Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi
[01:57.38]Wasije wakanitenda
[01:59.02]Nikazama na huba kwa mapenzi ya kweli
[02:01.81]Wakaniacha wakaenda
[02:03.51]We si unajua! Wazuri ni wengi lakini kumpata
[02:06.46]Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
[02:08.69]Wengi ni wajanja watoto wa mjini
[02:10.77]Wamejawa utapeli, tamaa
[02:13.02]Wazuri ni wengi lakini kumpata
[02:15.26]Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa
[02:17.80]Wengi ni wajanja watoto wa mjini
[02:19.44]Nimpende nani? (Cha, ah!)
[02:21.08]Nimpende nani? Nimpende, eh, eh (eh, eh, eh)
[02:25.64]Nimpende nani? Nimpende, ah, ah (oh, nimpende nani?)
[02:29.80]Nimpende nani? Nimpende, eh, eh (mama-ma, eh, eh)
[02:34.51]Nimpende nani? Nimpende, ah, ah (mi nimpende nani?)
[02:39.36](We nilikuwaga na mpenzi, akanizingua)
[02:43.83](Hivyo nataka mwenzi wa haya maradhi naugua)
[02:48.32](We nilikuwaga na mpenzi, akanizingua)
[02:52.84](Hivyo nataka mwenzi wa haya maradhi naugua)
[02:56.86]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Nimpende Nani by Diamond Platnumz
1. Who is the singer of "Nimpende Nani" song?
⇒ Diamond Platnumz has sung the song "Nimpende Nani".
2. Which album is the "Nimpende Nani" song from?
⇒ The song "Nimpende Nani" is from the album Diamond Platnumz.
3. In which language is the "Nimpende Nani" song composed?
⇒ The song "Nimpende Nani" is composed in the Indonesian language.
4. What is the official duration of the "Nimpende Nani" song?
⇒ The official duration of "Nimpende Nani" is 03:48.23.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Diamond Platnumz - Nimpende Nani