Read, copy, and download the Mawazo lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Mawazo by Diamond Platnumz from the album Diamond Platnumz. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:40.10. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Mawazo]
[ar:Diamond Platnumz]
[al:Diamond Platnumz]
[lang:Swahili]
[length:03:40.10]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:08.60]Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
[00:12.60]Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo
[00:17.14]Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
[00:21.31]Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo
[00:25.15]Ah sikujua mapenzi balaa, tena ni maradhi ya moyo kupendaga
[00:29.37]Tena mapenzi karaha, yanajenga chuki na choyo kwenye cover
[00:33.93]Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
[00:38.58]Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
[00:43.03]Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
[00:47.41]Uhuni jaa burudani mtaani, akaamua kutimua
[00:51.08]Inaniuma sana
[00:52.23]Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
[00:54.12]Ili nipunguze mawazo (mhh mawazo)
[00:56.60]Maana, Mchana kutwa hata usiku silali
[00:58.21]Mapenzi kwangu kikwazo (mmh kikwazo)
[01:00.21]Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
[01:02.50]Ili nipunguze mawazo (nipunguze mawazo)
[01:04.22]Mara, Mchana kutwa hata usiku silali
[01:06.97]Mapenzi kwangu kikwazo (nna mawazo)
[01:09.14]Nikikumbukia!
[01:12.39]Ubongo unapata mawazo
[01:13.20]Nikikumbukia!
[01:14.19]Ubongo unapata mawazo
[01:17.43]Nikikumbukia!
[01:19.28]Ubongo unapata mawazo
[01:21.97]Nikikumbukia!
[01:24.10]Ubongo unapata mawazo
[01:26.25]Yule jini kisirani kaingia, kwenye utamu wa penzi langu
[01:31.24]Ameleta tafarani naumia, nalia na moyo wangu
[01:35.12]Ona jini kisirani kaingia, kwenye utamu wa penzi langu
[01:39.38]Ameleta tafarani... mwenzenu nalia na moyo wangu!
[01:44.08]Kuwa mimi wivu ninao na roho yangu ninaumia
[01:48.17]Kweli wapendanao ndo maadui zikitimia
[01:52.57]Lile tinga langu la maraha, leo limekuwa sumu kwangu
[01:56.85]Ona tena sina raha, ninacheka nnalia na moyo wangu
[02:01.17]Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
[02:03.48]Ili nipunguze mawazo (uhh mawazo)
[02:05.52]Maana, Mchana kutwa hata usiku silali
[02:07.70]Mapenzi kwangu kikwazo (oh kikwazo)
[02:09.97]Ningekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe
[02:12.37]Ili nipunguze mawazo (mawazo)
[02:14.63]Mara, Mchana kutwa hata usiku silali
[02:16.54]Mapenzi kwangu kikwazo
[02:18.46]Nikikumbukia!
[02:20.68]Ubongo unapata mawazo
[02:23.31]Nikikumbukia!
[02:25.51]Ubongo unapata mawazo
[02:27.74]Nikikumbukia!
[02:29.68]Ubongo unapata mawazo
[02:32.04]Nikikumbukia!
[02:33.94]Ubongo unapata mawazo
[02:36.71]Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
[02:40.59]Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
[02:45.19]Utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
[02:49.50]Licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
[02:56.63]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Mawazo by Diamond Platnumz
1. Who is the singer of "Mawazo" song?
⇒ Diamond Platnumz has sung the song "Mawazo".
2. Which album is the "Mawazo" song from?
⇒ The song "Mawazo" is from the album Diamond Platnumz.
3. In which language is the "Mawazo" song composed?
⇒ The song "Mawazo" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Mawazo" song?
⇒ The official duration of "Mawazo" is 03:40.10.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Diamond Platnumz - Mawazo