Read, copy, and download the Relax lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Relax by Christina Shusho from the album Christina Shusho. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:09.02. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Relax]
[ar:Christina Shusho]
[al:Christina Shusho]
[lang:Indonesian]
[length:04:09.02]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:12.27]Heh! Yeah-yeah
[00:16.90]Kurelax kurelax weh!
[00:20.22]Bwana atanibarikiri
[00:22.13]Kwa kadri ya utajiri wake
[00:24.74]Kwa kipimo cha kujaa
[00:27.04]Kusukwa sukwa hata kumwagika
[00:29.48]Atanipa mahitaji yangu
[00:32.17]Kwa kadri ya utajiri wake
[00:34.83]Kwa kipimo cha kujaa
[00:37.04]Kusukwa sukwa hata kumwagika
[00:39.86]Bwana atanibarikiri
[00:41.76]Kwa kadri ya utajiri wake
[00:44.51]Kwa kipimo cha kujaa
[00:46.18]Kusukwa sukwa hata kumwagika
[00:49.21]Atanipa mahitaji yangu
[00:52.08]Kwa kadri ya utajiri wake
[00:54.20]Kwa kipimo cha kujaa
[00:56.41]Kusukwa sukwa hata kumwagika
[00:59.93]Nani apinge, alichosema Mungu
[01:04.32]Nani alaani, alichobariki Mungu
[01:08.21]Hakuna awezaye kuzuia, alichotenda Mungu
[01:12.82]Na kama kuna pando, 'lopandwa na mwovu (Nangoa)
[01:17.02]Pando la muovu (mi' nangoa)
[01:18.27]Kila andiko 'loandikwa kwa hila (Nafuta)
[01:21.46]Andiko la hila (mi')
[01:22.70]Na kama kuna pando lilopandwa na mwovu (Nangoa)
[01:26.19]Pando la muovu (mi' nangoa)
[01:27.23]Kila andiko 'loandikwa kwa hila (Nafuta)
[01:30.91]Andiko la hila (Mi)
[01:33.05]Imeandikwa nitakuwa kichwa siyo mkia
[01:35.58]Wakwanza si wa mwisho
[01:38.43]Bwana atanibarikiri
[01:40.88]Kwa kadri ya utajiri wake
[01:43.43]Kwa kipimo cha kujaa
[01:45.41]Kusukwa sukwa hata kumwagika
[01:48.09]Atanipa mahitaji yangu
[01:50.82]Kwa kadri ya utajiri wake
[01:53.02]Kwa kipimo cha kujaa
[01:55.11]Kusukwa sukwa hata kumwagika
[01:58.12]Bwana atanibarikiri
[02:00.41]Kwa kadri ya utajiri wake
[02:02.81]Kwa kipimo cha kujaa
[02:04.81]Kusukwa sukwa hata kumwagika
[02:07.87]Atanipa mahitaji yangu
[02:10.14]Kwa kadri ya utajiri wake
[02:12.49]Kwa kipimo cha kujaa
[02:14.91]Kusukwa sukwa hata kumwagika
[02:28.49]Mi na relax, na relax ooh
[02:31.74]Na relax, na relax, na relax
[02:33.88]Mi na relax, na relax ooh
[02:37.38]Mwenyewe amesema
[02:38.69]Mi na relax (na relax) na relax ooh
[02:41.55]Atanipa utajiri wake
[02:43.63]Mi na relax (na relax) na relax ooh
[02:46.63]Atanalisha kama ndege angani
[02:48.27]Mi na relax (na relax) na relax ooh
[02:51.38]Atanipamba kama ua kondeni
[02:53.58]Mi na relax (na relax) na relax ooh
[02:55.86]Yesu akisema atafanya
[02:58.45]Mi na relax (na relax) na relax ooh
[03:01.37]Neno lake ni amina na kweli
[03:03.09]Mi na relax (na relax) na relax ooh
[03:06.13]Bwana atanibarikiri
[03:09.11]Kwa kadri ya utajiri wake
[03:11.47]Kwa kipimo cha kujaa
[03:13.37]Kusukwa sukwa hata kumwagika
[03:16.23]Atanipa mahitaji yangu (Yesu mwenyewe amesema)
[03:19.15]Kwa kadri ya utajiri wake
[03:21.65]Kwa kipimo cha kujaa
[03:23.49]Kusukwa sukwa hata kumwagika
[03:26.51]Nangoja Juu mi'
[03:28.02]Na relax, na relax ooh
[03:31.65]Nangoja juu mi' na relax, na relax ooh
[03:37.47]Mimi na relax, na relax ooh
[03:42.13]Mimi na relax, na relax ooh
[03:45.74]Eeeh! Ooh! mimi na relax narelax ooh
[03:52.12]Mimi na relax, na relax ooh
[03:54.98]Yesu eh, Mimi na relax, na relax ooh
[04:01.68]Mimi na relax, na relax ooh
[04:05.59]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Relax by Christina Shusho
1. Who is the singer of "Relax" song?
⇒ Christina Shusho has sung the song "Relax".
2. Which album is the "Relax" song from?
⇒ The song "Relax" is from the album Christina Shusho.
3. In which language is the "Relax" song composed?
⇒ The song "Relax" is composed in the Indonesian language.
4. What is the official duration of the "Relax" song?
⇒ The official duration of "Relax" is 04:09.02.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Christina Shusho - Relax