Read, copy, and download the Adamu lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Adamu by Christina Shusho from the album Christina Shusho. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 07:09.24. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Adamu]
[ar:Christina Shusho]
[al:Christina Shusho]
[lang:Swahili]
[length:07:09.24]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:25.13]Mungu alipo muumba adamu
[00:29.58]Hakumwacha awe pekeyake
[00:33.41]Akamfanyia msaidizi wakufanana naye
[00:41.16]Nyama yake katika nyama zake mfupa wake kati mifupa yake
[01:30.53]Mwanamume ataacha wazazi wake ataambatana na mkewe mwanamke ataacha wazazi wake ataambatana na mumewe
[02:02.78]Hawa wawili watakuwa mwili mmoja kwani nia moja washirikiane kwa pamoja
[02:41.52]Mambo haya matetu yawe ngao kwa upendo wenu eeeh hee hee hee
[02:47.42]Mambo haya matetu yatumike katika ndoa yenu eeh hee hee hee
[03:07.87]Nakupenda(mpenzi wangu ulivyoumbika)nakupenda(katika viumbe umezidi wote)nakupenda(nimekuchagua uwe wangu)nakupenda(kifo tu kitutenganishe)nisamehe(nikukosea unisamehe)nisamehe(nisamehe nisamehe mpenzi)nisamehe(mimi ni mwanadamu wala c malaika)nisamehe(ninaomba nisamehe mpenzi)asante(kwa kunichagua niwe wako)asante(umetimiza ahadi ya ndoa)asante(nitajitahidi niwe mwaminifu)asante(asante mpenzi wangu)asante
[04:21.44]Tuzishike sheria za mungu tutapona eeh tutapona eeh
[04:28.88]Tusikilize wenye hekima tutapona eeh tutapona eeh
[04:37.37]Kama kujenga watu wawili mimi nawewe tutunze ndoa yetu eeh
[04:44.73]Tusisikilize walimwengu hawana wema hawana wema hao
[04:53.18]Tupate kwa neno tulichuje lililo jema liwe letu
[05:01.98]Mpenzi wangu
[05:25.80]Nakupenda(mpenzi wangu ulivyoumbika)nakupenda(katika viumbe umezidi wote)nakupenda(nimekuchagua uwe wangu)nakupenda(kifo tu kitutenganishe)nisamehe(nikukosea unisamehe)nisamehe(nisamehe nisamehe mpenzi)nisamehe(mimi ni mwanadamu wala c malaika)nisamehe(ninaomba nisamehe mpenzi)asante(kwa kunichagua niwe wako)asante(umetimiza ahadi ya ndoa)asante(nitajitahidi niwe mwaminifu)asante(asante mpenzi wangu)asante
[07:09.78]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Adamu by Christina Shusho
1. Who is the singer of "Adamu" song?
⇒ Christina Shusho has sung the song "Adamu".
2. Which album is the "Adamu" song from?
⇒ The song "Adamu" is from the album Christina Shusho.
3. In which language is the "Adamu" song composed?
⇒ The song "Adamu" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Adamu" song?
⇒ The official duration of "Adamu" is 07:09.24.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Christina Shusho - Adamu