• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Pendo La Mungu Lyrics by Christina Shusho - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Pendo La Mungu lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Pendo La Mungu by Christina Shusho from the album Christina Shusho. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 05:10.48. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Pendo La Mungu by Christina Shusho LRC Format

    [ti:Pendo La Mungu]
    [ar:Christina Shusho]
    [al:Christina Shusho]
    [lang:Swahili]
    [length:05:10.48]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:11.61]Naona pendo
    [00:13.85]Kubwa mno latoka kwa Mwokozi wangu
    [00:18.81]Niteleka na maji mengi yatembeayo baharini
    [00:26.25]Lanitolea tumaini
    [00:32.84]Ya kwamba nitatiwa nguvu
    [00:37.31]Na niwe mhodari
    [00:40.13]Kwa pendo kubwa la Mwokozi
    [00:47.22]Lanitolea tumaini
    [00:50.08]Ya kwamba nitatiwa nguvu
    [00:55.27]Na niwe mhodari tena
    [00:59.43]Kwa pendo kubwa la Mwokozi
    [01:06.51]Hallelujah
    [01:08.39]Ni pendo kubwa
    [01:11.02]Linalotoka moyo wako
    [01:14.36]Ee Mungu wangu nakuomba
    [01:18.52]Nijaze pendo lako tele
    [01:23.43]Hallelujah
    [01:26.61]Ni pendo kubwa
    [01:28.21]Linalotoka moyo wako
    [01:32.68]Ee Mungu wangu nakuomba
    [01:36.69]Nijaze pendo lako tele
    [01:54.55]Na pendo hilo kubwa mno
    [01:57.14]Huyaondoa majivuno
    [02:01.29]Na kunifunza haki kweli
    [02:05.74]Uongo wote niuvue
    [02:08.89]Hunituliza moyo wangu
    [02:14.63]Huruma nayo hunitia
    [02:19.76]Na sote tuwe na umoja
    [02:24.02]Katika pendo la Mwokozi
    [02:29.61]Hunituliza moyo wangu
    [02:33.41]Huruma nayo hunitia
    [02:37.27]Na sote tuwe na umoja
    [02:42.00]Katika pendo la Mwokozi
    [02:48.68]Hallelujah
    [02:50.87]Ni pendo kubwa
    [02:52.79]Linalotoka moyo wako (moyo wako Baba)
    [02:57.25]Ee Mungu wangu nakuomba
    [03:01.05]Nijaze pendo lako tele
    [03:04.96]Hallelujah
    [03:08.37]Ni pendo kubwa
    [03:10.69]Linalotoka moyo wako
    [03:14.55]Ee Mungu wangu nakuomba
    [03:18.94]Nijaze pendo lako tele
    [03:36.43]Nijazwe pendo hilo kubwa
    [03:39.81]Inibidiishe siku zote
    [03:43.16]Rohoni niwe na jukumu
    [03:47.98]Nimtumikie Bwana Yesu
    [03:51.40]Hazina Yako nipeleke
    [03:56.81]Kwa watu waliopotea
    [04:06.04]Wafahamishwe pendo kubwa
    [04:08.84]Ulilonalo Mungu wangu
    [04:11.96]Hazina Yako nipeleke
    [04:14.94]Kwa watu waliopotea
    [04:20.01]Wafahamishwe pendo kubwa
    [04:24.09]Ulilonalo Mungu wangu
    [04:27.94]Hallelujah
    [04:33.04]Ni pendo kubwa
    [04:34.58]Linalotoka moyo wako
    [04:39.85]Ee Mungu wangu nakuomba
    [04:44.31]Nijaze pendo lako tele
    [04:49.34]Hallelujah
    [04:51.23]Ni pendo kubwa
    [04:52.85]Linalotoka moyo wako
    [04:57.30]Ee Mungu wangu nakuomba
    [05:01.65]Nijaze pendo lako tele
    [05:05.97]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Pendo La Mungu by Christina Shusho

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Ning'are

    Ongoza Hatua Zangu

    Mungu Uhudumiwe

    Nitendee

    Wastahili

    Mtetezi Wangu

    Muimbieni Bwana

    I'm Gonna Work

    Bado Nakungoja

    Songa Mbele

    Nina Wimbo

    Hallelujah

    Nipe Macho

    Yesu Yumwema

    Roho

    Ni Kwa Neema

    Pendo La Mungu

    Adamu


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Pendo La Mungu" song?

    ⇒ Christina Shusho has sung the song "Pendo La Mungu".

    2. Which album is the "Pendo La Mungu" song from?

    ⇒ The song "Pendo La Mungu" is from the album Christina Shusho.

    3. In which language is the "Pendo La Mungu" song composed?

    ⇒ The song "Pendo La Mungu" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Pendo La Mungu" song?

    ⇒ The official duration of "Pendo La Mungu" is 05:10.48.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Christina Shusho - Pendo La Mungu