Read, copy, and download the Mtetezi Wangu lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Mtetezi Wangu by Christina Shusho from the album Christina Shusho. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 08:10.29. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Mtetezi Wangu]
[ar:Christina Shusho]
[al:Christina Shusho]
[lang:Swahili]
[length:08:10.29]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:48.10]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[00:51.63]Mtetezi wangu yu hai
[00:55.78]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[00:59.44]Mtetezi wangu yu hai
[01:03.10]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[01:07.11]Mtetezi wangu yu hai
[01:10.46]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[01:13.83]Mtetezi wangu yu hai
[01:18.11]♪
[01:26.82]Ukienda kwa wanyama anaitwa Simba wa Yuda
[01:30.14]Mtetezi wangu yu hai
[01:33.06]Ukienda kwenye miti anaitwa mti wa uzima
[01:36.45]Mtetezi wangu yu hai
[01:40.57]Ukienda kwenye maji anaitwa maji yaliyo hai
[01:43.74]Mtetezi wangu yu hai
[01:47.01]Wewe usiye na chakula
[01:49.27]Yesu anaitwa mkate wa uzima
[01:51.58]Mtetezi wangu yu hai
[01:55.50]Ukifika kwenye miamba anaitwa mwamba imara
[01:58.75]Mtetezi wangu yu hai
[02:01.76]Hata kwa watawala Yesu anaitwa Mfalme wa Wafalme
[02:04.89]Mtetezi wangu yu hai
[02:08.85]Mtetezi mtetezi wetu
[02:12.29]Mtetezi wangu yu hai
[02:15.87]Mtetezi wa maisha mtetezi wa kanisa
[02:19.23]Mtetezi wangu yu hai (tuimbe)
[02:22.56]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[02:26.18]Mtetezi wangu yu hai
[02:28.77]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[02:32.28]Mtetezi wangu yu hai
[02:35.16]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[02:38.39]Mtetezi wangu yu hai
[02:42.03]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[02:44.75]Mtetezi wangu yu hai
[02:49.40]♪
[02:58.03]Ukienda kwa wagonjwa anaitwa mponyaji
[03:01.93]Mtetezi wangu yu hai
[03:04.90]Hata wenye huzuni anaitwa mfariji
[03:07.99]Mtetezi wangu yu hai
[03:11.14]Uliyesongwa na shida yeye anaitwa msaada
[03:13.89]Mtetezi wangu yu hai
[03:17.36]Mjane usifadhaike Yesu anaitwa mume wa wajane
[03:20.74]Mtetezi wangu yu hai
[03:23.80]Yatima usilie yeye anaitwa Baba wa yatima
[03:27.17]Mtetezi wangu yu hai
[03:30.17]Kwenye biashara yako muite Yesu mshauri wa ajabu
[03:33.09]Mtetezi wangu yu hai
[03:36.03]Mtetezi mtetezi Yesu
[03:39.69]Mtetezi wetu yu hai
[03:42.43]Mtetezi mtetezi Yesu
[03:45.59]Mtetezi wetu yu hai (tuimbe)
[03:48.69]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[03:51.84]Mtetezi wangu yu hai
[03:55.34]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[03:57.80]Mtetezi wangu yu hai
[04:00.89]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[04:03.86]Mtetezi wangu yu hai
[04:06.48]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[04:09.61]Mtetezi wangu yu hai
[04:14.03]♪
[04:22.50]Ewe mama usilie na ndoa yako mama
[04:25.30]Mtetezi wako yu hai
[04:28.45]Ewe baba usilie umefukuzwa kazi
[04:31.61]Mtetezi wako yu hai
[04:34.25]Kijana usilie mchumba amekukataa
[04:37.74]Mtetezi wangu yu hai
[04:40.52]Watumishi wa Mungu msifadhaike
[04:43.53]Mtetezi wetu yu hai
[04:46.42]Fanyeni kazi ya Mungu huyo aliyewaita
[04:49.27]Mtetezi wetu yu hai
[04:51.77]Hata kama mkibezwa, mkisemwa na kutukanwa
[04:55.02]Mtetezi wetu yu hai (tuimbe)
[04:58.22]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[05:00.90]Mtetezi wangu yu hai
[05:03.91]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[05:07.06]Mtetezi wangu yu hai
[05:09.61]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[05:12.94]Mtetezi wangu yu hai
[05:16.81]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[05:19.70]Mtetezi wangu yu hai
[05:22.98]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[05:25.99]Mtetezi wangu yu hai
[05:28.85]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[05:32.33]Mtetezi wangu yu hai
[05:35.19]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[05:38.84]Mtetezi wangu yu hai
[05:40.88]Mtetezi wangu Yesu anaishi leo
[05:44.03]Mtetezi wangu yu hai
[05:45.98]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Mtetezi Wangu by Christina Shusho
1. Who is the singer of "Mtetezi Wangu" song?
⇒ Christina Shusho has sung the song "Mtetezi Wangu".
2. Which album is the "Mtetezi Wangu" song from?
⇒ The song "Mtetezi Wangu" is from the album Christina Shusho.
3. In which language is the "Mtetezi Wangu" song composed?
⇒ The song "Mtetezi Wangu" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Mtetezi Wangu" song?
⇒ The official duration of "Mtetezi Wangu" is 08:10.29.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Christina Shusho - Mtetezi Wangu