• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Nipe Macho Lyrics by Christina Shusho - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Nipe Macho lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Nipe Macho by Christina Shusho from the album Christina Shusho. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 05:53.72. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Nipe Macho by Christina Shusho LRC Format

    [ti:Nipe Macho]
    [ar:Christina Shusho]
    [al:Christina Shusho]
    [lang:Swahili]
    [length:05:53.72]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:11.53]Eh Bwana
    [00:13.49]Naitaji macho ya roho
    [00:16.10]Maana haya ya mwili
    [00:17.35]Yameni danganya
    [00:21.54]Iko njia yaonekana kuwa sawa machoni kwa mtu
    [00:26.60]Lakini mwisho wake
    [00:27.89]Ni njia za mauti
    [00:31.47]Neno lako linasema
    [00:33.68]"Jicho langu likiwa safi, mwili wangu wote utakuwa na nuru"
    [00:39.81]Nipe macho
    [00:42.41]Nipe macho nione
    [00:45.11]Macho eh-eh-eh
    [00:47.66]Nipe macho nione
    [00:50.31]Sawa sawa
    [00:52.95]Nipe macho nione
    [00:55.64]Macho eh-eh-eh
    [00:58.31]Nipe macho nione
    [01:00.53]Sawa sawa
    [01:02.33](Nipe macho)
    [01:03.57]Nipe macho nione (macho)
    [01:06.17]Macho eh-eh-eh (nipe macho)
    [01:08.63]Nipe macho nione (macho)
    [01:11.31]Sawa sawa (Yesu nipe macho)
    [01:13.90]Nipe macho nione (macho ya roho)
    [01:16.61]Macho eh-eh-eh (nipe macho)
    [01:19.07]Nipe macho nione
    [01:21.82]Sawa sawa
    [01:23.39]♪
    [01:34.03]Saidie macho ya ndani
    [01:37.02]Nione kama uonavyo Wewe
    [01:39.20]Saidie macho ya ndani
    [01:42.19]Nione mitego ya muovu
    [01:44.49]Nimekukimbilia wewe Bwana
    [01:47.15]Ili nikaye salama
    [01:50.13]Nipe macho nione
    [01:52.79]Sawa sawa
    [01:54.85]Mara nyingi watu hutazama n'nje
    [01:57.69]Lakini Wewe waona ndani
    [02:00.43]Kwa n'nje mtu uonekana mwema
    [02:02.96]Kumbe ndani ni hatari
    [02:05.41]Mwaka hu Bwana nataka nione
    [02:08.41]Ili nikae salama
    [02:11.12]Nipe macho nione
    [02:13.68]Sawa sawa
    [02:15.01]Yesu nipe macho
    [02:16.58]Nipe macho nione (macho)
    [02:19.08]Macho eh-eh-eh (nipe macho)
    [02:21.79]Nipe macho nione (macho)
    [02:24.36]Sawa sawa (Baba nipe macho)
    [02:26.96]Nipe macho nione (kama Batimayo)
    [02:29.47]Macho eh-eh-eh (oh nipe macho)
    [02:32.08]Nipe macho nione (macho)
    [02:34.68]Sawa sawa
    [02:35.74]Yesu nipe macho
    [02:37.63]Nipe macho nione (kama Geyazi)
    [02:40.13]Macho eh-eh-eh (nipe macho)
    [02:42.81]Nipe macho nione (macho)
    [02:45.36]Sawa sawa (nipe macho)
    [02:47.88]Nipe macho nione (Yesu nipe macho)
    [02:50.50]Macho eh-eh-eh (nipe macho)
    [02:53.02]Nipe macho nione (macho macho)
    [02:55.94]Sawa sawa
    [02:59.43]Nipe macho nione
    [03:01.55]Kama alivio-ona Stefani
    [03:04.45]Kati ka mazingira ma gumu
    [03:06.81]Aka mu-ona Yesu amesimama mukono waku-ume wa Mungu Baba
    [03:11.60]Nipe macho
    [03:13.24]Ni muone muhitaji
    [03:15.44]Nipe macho nione unavio-ona Yesu
    [03:18.48]Macho yangu yana-ona ni me vaha
    [03:21.35]Kumbe waniona mutubu
    [03:24.22]Mara najiona mtajiri
    [03:27.05]Kumbe waniona masikini
    [03:28.93]Mara nyingine macho yananipa haki eh
    [03:32.14]Kumbe waniona mkosaji
    [03:34.99]Nipe macho nione
    [03:37.55]Sawa Sawa
    [03:39.36]Macho yangu yanaona nina nguvu
    [03:42.54]Kumbe waniona mnyonge
    [03:44.87]Tena najiona busara
    [03:47.68]Kumbe waniona mjinga
    [03:49.85]Macho yangu yanaona ya usoni
    [03:53.09]Wewe una mwisho kabla ya mwanzo
    [03:55.91]Nipe macho nione, nione nione
    [03:59.35]Baba nipe macho
    [04:00.97]Nipe macho nione (nipe macho)
    [04:03.58]Macho eh-eh-eh (nipe macho)
    [04:06.01]Nipe macho nione (macho)
    [04:08.78]Sawa sawa (oh Yesu nipe macho)
    [04:11.41]Nipe macho nione (macho ya roho)
    [04:13.86]Macho eh-eh-eh (oh nipe macho)
    [04:16.65]Nipe macho nione
    [04:19.21]Sawa sawa (nione wema wako)
    [04:21.74]Nipe macho nione (nione matendo yako)
    [04:24.35]Macho eh-eh-eh (nipe macho)
    [04:27.10]Nipe macho nione (macho)
    [04:29.69]Sawa sawa (Yesu nipe macho)
    [04:32.30]Nipe macho nione (Baba nipe macho)
    [04:34.79]Macho eh-eh-eh (nipe macho)
    [04:37.50]Nipe macho nione (mmh)
    [04:40.03]Sawa sawa
    [04:41.40]Nipe macho-ooh
    [04:44.53]♪
    [04:51.77]Nipe macho-ooh
    [04:56.95]♪
    [05:01.33]Oh Baba nipe macho
    [05:03.47]Nipe macho nione (oh nipe macho)
    [05:06.08]Macho eh-eh-eh (nipe macho)
    [05:08.90]Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh)
    [05:11.32]Sawa sawa (Yesu nipe macho)
    [05:13.82]Nipe macho nione (mimi si oni)
    [05:16.35]Macho eh-eh-eh (macho ya roho)
    [05:19.34]Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh)
    [05:21.67]Sawa sawa (Yesu nipe macho)
    [05:24.57]Nipe macho nione (nione wema wako)
    [05:27.13]Macho eh-eh-eh (oh nipe macho)
    [05:29.94]Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh)
    [05:32.25]Sawa sawa (Baba nipe macho)
    [05:34.85]Nipe macho nione (niwe salama)
    [05:37.72]Macho eh-eh-eh (nipe macho)
    [05:40.19]Nipe macho nione (oh-oh, oh-oh)
    [05:42.72]Sawa sawa (nipe macho)
    [05:46.57]Nipe macho
    [05:49.21]Macho ya roho
    [05:52.01]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Nipe Macho by Christina Shusho

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Ning'are

    Ongoza Hatua Zangu

    Mungu Uhudumiwe

    Nitendee

    Wastahili

    Mtetezi Wangu

    Muimbieni Bwana

    I'm Gonna Work

    Bado Nakungoja

    Songa Mbele

    Nina Wimbo

    Hallelujah

    Nipe Macho

    Yesu Yumwema

    Roho

    Ni Kwa Neema

    Pendo La Mungu

    Adamu


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Nipe Macho" song?

    ⇒ Christina Shusho has sung the song "Nipe Macho".

    2. Which album is the "Nipe Macho" song from?

    ⇒ The song "Nipe Macho" is from the album Christina Shusho.

    3. In which language is the "Nipe Macho" song composed?

    ⇒ The song "Nipe Macho" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Nipe Macho" song?

    ⇒ The official duration of "Nipe Macho" is 05:53.72.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Christina Shusho - Nipe Macho