Read, copy, and download the Ongoza Hatua Zangu lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Ongoza Hatua Zangu by Christina Shusho from the album Christina Shusho. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 05:05.05. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Ongoza Hatua Zangu]
[ar:Christina Shusho]
[al:Christina Shusho]
[lang:Swahili]
[length:05:05.05]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:24.89]Hatua za mwenye haki
[00:27.64]Za ongozwa naye Bwana
[00:30.60]Na Bwana hufurahia
[00:33.10]Njia zake wakati wote
[00:36.73]Hatua za mwenye haki
[00:39.57]Za ongozwa naye Bwana
[00:42.37]Na Bwana hufurahia
[00:44.96]Njia zake wakati wote
[00:49.05]♪
[01:00.90]Nakukabidhi Bwana
[01:03.91]Njia zangu zote
[01:06.57]Pia nakutumaini
[01:09.08]Najua Bwana utafanya
[01:12.98]Hata nijapojikwaa
[01:15.46]Sitaanguka chini
[01:18.53]Bwana utanishika mukono
[01:21.47]Na kunitegemeza
[01:24.58]Nakukabidhi Bwana
[01:27.38]Njia zangu zote
[01:30.64]Pia nakutumaini
[01:33.21]Najua Bwana utafanya
[01:36.95]Hata nijapojikwaa
[01:39.59]Sitaanguka chini
[01:42.64]Bwana utanishika mukono
[01:45.82]Na kunitegemeza
[01:47.59]♪
[01:51.73]Eehh hallelujah
[01:57.03]Wewe Bwana wewe Bwana
[02:00.56]Bwana nimesangua
[02:03.78]Wafanya kazi kwa siri ndani yangu
[02:06.92]Hallelujah hallelujah
[02:09.29]♪
[02:12.62]Umwangazie mtumishi wako
[02:16.31]Uso wako
[02:18.56]Maana ninayatamani
[02:21.69]Maagizo yako
[02:24.68]Elekeza hatua zangu
[02:28.12]Kwa neno lako
[02:30.96]Uovu usije
[02:33.60]Ukanimiliki
[02:36.63]Umwangazie mtumishi wako
[02:39.88]Uso wako
[02:42.74]Maana ninayatamani
[02:45.50]Maagizo yako
[02:48.71]Elekeza hatua zangu
[02:51.96]Kwa neno lako
[02:54.83]Uovu usije
[02:57.72]Ukanimiliki
[03:00.15](Ee Bwana naomba)
[03:01.37]Ongoza hatua zangu
[03:04.36]Eh Bwana
[03:06.07]Eh Bwana (eh Bwana)
[03:07.55]Ongoza mwendo wangu (eh Bwana)
[03:10.72]Eh Bwana (eh Bwana)
[03:12.17]Eh Bwana (eh Bwana)
[03:13.78]Ongoza hatua zangu (niongoze)
[03:16.21]Eh Bwana
[03:17.76]Eh Bwana (niongoze)
[03:19.36]Ongoza mwendo wangu (eh Bwana)
[03:22.40]Eh Bwana
[03:23.96]Eh Bwana (eh Bwana naomba)
[03:25.30]Ongoza hatua zangu (niongoze)
[03:28.57]Eh Bwana
[03:30.02]Eh Bwana (niongoze)
[03:31.36]Ongoza mwendo wangu (niimarishe)
[03:34.59]Eh Bwana
[03:35.98]Eh Bwana (eh Bwana)
[03:37.78]Ongoza hatua zangu (eh Bwana)
[03:40.46]Eh Bwana
[03:42.10]Eh Bwana (eh Bwana, eh Bwana)
[03:43.54]Ongoza mwendo wangu (eh Bwana, eh Bwana)
[03:46.46]Eh Bwana
[03:47.93]Eh Bwana (eh Yesu)
[03:49.44]Ongoza hatua zangu (eh Yesu)
[03:52.40]Eh Bwana
[03:54.09]Eh Bwana (uniimarishe)
[03:55.45]Ongoza mwendo wangu (eh Bwana, eh Bwana)
[03:58.39]Eh Bwana
[03:59.96]Eh Bwana (eh Bwana!)
[04:01.94]Ongoza hatua zangu (niongoze)
[04:04.31]Eh Bwana
[04:05.88]Eh Bwana (unisaidie)
[04:07.27]Ongoza mwendo wangu (eh Bwana, eh Bwana)
[04:10.59]Eh Bwana
[04:11.93]Eh Bwana (eh Bwana, eh Bwana)
[04:13.19]Ongoza hatua zangu (eh Bwana, eh Bwana)
[04:16.53]Eh Bwana
[04:17.89]Eh Bwana (msaada wangu)
[04:19.49]Ongoza mwendo wangu (niwe Bwana)
[04:22.65]Eh Bwana
[04:23.94]Eh Bwana (niongoze Bwana)
[04:25.30]Ongoza hatua zangu (eh Bwana)
[04:28.50]Eh Bwana (eh Bwana)
[04:30.06]Eh Bwana (we Yesu)
[04:31.39]Ongoza mwendo wangu (we Yesu, we Yesu)
[04:34.71]Eh Bwana
[04:36.10]Eh Bwana
[04:37.41]Ongoza hatua zangu
[04:40.25]Eh Bwana
[04:41.92]Eh Bwana
[04:43.55]Ongoza mwendo wangu
[04:46.45]Eh Bwana
[04:48.01]Eh Bwana
[04:49.63]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Ongoza Hatua Zangu by Christina Shusho
1. Who is the singer of "Ongoza Hatua Zangu" song?
⇒ Christina Shusho has sung the song "Ongoza Hatua Zangu".
2. Which album is the "Ongoza Hatua Zangu" song from?
⇒ The song "Ongoza Hatua Zangu" is from the album Christina Shusho.
3. In which language is the "Ongoza Hatua Zangu" song composed?
⇒ The song "Ongoza Hatua Zangu" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Ongoza Hatua Zangu" song?
⇒ The official duration of "Ongoza Hatua Zangu" is 05:05.05.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Christina Shusho - Ongoza Hatua Zangu