• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Ntarejea Lyrics by Diamond Platnumz - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Ntarejea lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Ntarejea by Diamond Platnumz from the album Diamond Platnumz. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:42.67. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Ntarejea by Diamond Platnumz LRC Format

    [ti:Ntarejea]
    [ar:Diamond Platnumz]
    [al:Diamond Platnumz]
    [lang:Indonesian]
    [length:04:42.67]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:15.88]Aaah
    [00:21.89]Vipi mizigo umeshaweka tayari, mmh aah
    [00:27.24]Sijechelewa nkaja achwa na gari, mmh aah
    [00:32.70]Basi jikaze usilie mpenzi, aah
    [00:38.23]Mi nitarudi niombee kwa Mwenyezi, aah
    [00:43.60]Zile taabu na njaa
    [00:45.60]Msimu mzima mavuno hakuna
    [00:49.04]Huwa nakosa raha
    [00:51.34]Pale mkikosa cha kutafuna
    [00:54.61]Roho yangu inauma
    [00:56.49]Sema ntafanya nini na pesa sina
    [00:59.86]Nakuonea na huruma
    [01:02.09]Bora niende mjini kusaka tumaa
    [01:05.52]Kama mtoto wakinililia (kama)
    [01:07.81]Waambie kesho nitarejea (nitajerejea mama)
    [01:10.90]Wadanganye na vibagia (wadanganye)
    [01:13.25]Waambie pipi ntawaletea (ntawaletea mama)
    [01:16.41]Kama watoto wakinililia (kama aah)
    [01:18.76]Waambie kesho nitarejea (nitarejea mama)
    [01:21.74]Nawe usichoke kuvumilia (usichoke)
    [01:24.22]Na kila siku kuniombea (nirudi salama)
    [01:27.86]♪
    [01:39.13]Wanajua kwamba nafsi na roho
    [01:41.33]Vitakuwa na wasiwasi
    [01:45.27]Ukumbuke na moyo
    [01:46.88]Utajawa na simanzi
    [01:50.53]Ntakapokuwa nakwenda shambani
    [01:53.21]Afu niko peke yangu honey
    [01:55.80]Ntapokuja kuwa na majirani
    [01:58.42]Ntaumia aaah
    [02:01.47]Pale napotoka kisimani (ahaa)
    [02:04.32]Ama nipo na kuni kichwani (ahaa)
    [02:07.04]Sina wakunitua nyumbani ntaliaa
    [02:10.91]Maneno yako yananfanya nakosa raha na mawazo
    [02:16.31]Hata mwenzako sijawahi kufika dar huu ndo mwanzo
    [02:21.59]Pili nakwenda na sijui pa kukaaa wala mavazi ooh
    [02:27.40]We niombee niepushwe na balaa na maradhi ooh, eeh
    [02:33.06]Kama watoto wakinililia (kamaa)
    [02:35.13]Waambie kesho nitarejea (nitajerejea mama)
    [02:38.39]Wadanganye na vibagia (wadanganye)
    [02:40.74]Waambie pipi ntawaletea (ntawaletea mama)
    [02:43.79]Kama watoto wakinililia (kama aah)
    [02:46.24]Waambie kesho nitarejea (nitarejea mama)
    [02:48.86]Nawe usichoke kuvumilia (usichoke)
    [02:51.52]Na kila siku kuniombea (nirudi salama)
    [02:54.70]Unapokwenda kama ukifika salama
    [02:57.42]Utukumbuke na sisi
    [03:00.07]Usisahau kama mkeo na wana
    [03:02.90]Umetuacha na dhiki
    [03:05.49]Hilo usijali ila naomba chunga sana
    [03:08.37]Ogopa na marafiki
    [03:10.60]Wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama
    [03:13.76]Waambie sidanganyiki
    [03:16.35]Unapokwenda kama ukifika salama
    [03:19.26]Utukumbuke na sisi
    [03:21.68]Kumbuka mkeo nyumbani na wana
    [03:24.79]Umetuacha na dhiki eeh
    [03:27.34]Vile usijali ila naomba chunga sana
    [03:30.23]Ogopa na marafiki
    [03:32.53]Wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama
    [03:35.51]Waambie sidanganyiki, eh (eeh)
    [03:41.15]Eeh, ntarejea mama
    [03:45.48]Niombee nirudi salama
    [03:50.39]Ooh watoto wadanganye
    [03:54.41]Iiih, yeah uuh
    [03:59.25]Uuh mama aah
    [04:02.94]Doza ieeh, usijali eeh
    [04:08.16]Mmmh, kama
    [04:11.14]Kama mtoto wakinililia (kama)
    [04:13.42]Waambie kesho nitarejea (nitajerejea mama)
    [04:16.69]Wadanganye na vibagia (wadanganye)
    [04:18.85]Waambie pipi ntawaletea (ntawaletea mama)
    [04:22.24]Kama watoto wakinililia (kama aah)
    [04:23.99]Waambie kesho nitarejea (nitarejea mama)
    [04:27.25]Nawe usichoke kuvumilia (usichoke)
    [04:29.81]Na kila siku kuniombea (nirudi salama)
    [04:35.85]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Ntarejea by Diamond Platnumz

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Komasava (Comment Ça Va)

    Binadamu

    Nikuone

    Mawazo

    Nimpende Nani

    Pamela

    Somebody

    Kidogo

    Number One - remix

    Marry You

    Waah!

    Ukimuona

    Sikomi

    Simba

    Ongeza

    My Baby

    My Number One

    Overdose


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Ntarejea" song?

    ⇒ Diamond Platnumz has sung the song "Ntarejea".

    2. Which album is the "Ntarejea" song from?

    ⇒ The song "Ntarejea" is from the album Diamond Platnumz.

    3. In which language is the "Ntarejea" song composed?

    ⇒ The song "Ntarejea" is composed in the Indonesian language.

    4. What is the official duration of the "Ntarejea" song?

    ⇒ The official duration of "Ntarejea" is 04:42.67.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Diamond Platnumz - Ntarejea