Read, copy, and download the Niache lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Niache by Diamond Platnumz from the album Diamond Platnumz. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:59.99. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Niache]
[ar:Diamond Platnumz]
[al:Diamond Platnumz]
[lang:Estonian]
[length:03:59.99]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:09.49]Hhhhmm
[00:21.76]Eti nikuombee mema
[00:23.93]Na baraka uzidi fanikiwa
[00:27.36]Siwezi kamwe wala (hhhmm)
[00:31.77]Ni sawa na kuiforce sinema
[00:34.19]Kuitazama na haijanivutia
[00:37.90]Lazima tu ntalala (ooh)
[00:43.47]Na kwa barabara ukipita
[00:44.90]Nenda kulia ukiniona kushoto
[00:48.63]Sitaki hata tuonane (hhmm)
[00:53.69]Usije wala ukaniita
[00:55.81]Donda vilia utanchochea tu moto
[00:59.31]Nisije nkutukane (hhhmm)
[01:04.44]Kinachoniumiza nafsi
[01:05.97]Kunisikitisha kwa watu kujishongondoa
[01:09.72]Kumbe mapenzi Hisabati wakati nayazidisha
[01:12.62]Mwenzangu nje unayatoa
[01:16.00]Wewe cement mimi mchanga
[01:17.82]Nkasema penzi tujenge lisije loa
[01:20.16]Najitia mkandarasi naezeka mabati
[01:22.93]Wewe chini kenchi unabomoa
[01:24.98]Niache...!
[01:27.35]Niache...!
[01:29.82]Niaache...! Oh niache
[01:33.61]Niache...!
[01:34.67]Nipambane na moyo wangu
[01:35.66]Niache...! (Niiaaa...!)
[01:38.40]Niache...! (Moyo wangu una hasira)
[01:41.27]Niaache...! Oh Niache
[01:43.52]Niache...!
[01:45.06]Oooh oh!
[01:48.71]♪
[01:57.82]Najitahidi nisilale kwenye kitanda
[02:00.43]Huenda ntapunguza ndoto zako
[02:05.51]♪
[02:08.74]Hhhhmm
[02:09.32]Mwilini nina machale utadhani mwanga
[02:13.75]Yote kuusahau uwepo wako
[02:16.98]Hhhhmm
[02:19.07]Laiti kama ningekuwa gari
[02:21.47]Ningekugonga barabarani
[02:24.53]Ama nyuki mtoa asali
[02:26.26]Nkung'ate sura wasiitamani
[02:29.51]Hivi wewe ungo ulivunja mwali
[02:32.20]Ama ulivunja sahani
[02:35.11]Kuniundia mateam kwa mitandao
[02:37.81]Vijembe vya kazi gani
[02:39.73]Kinachoniumiza nafsi
[02:42.07]Kunisikitisha kwa watu kujishongondoa
[02:46.28]Kumbe mapenzi Hisabati wakati nayazidisha
[02:48.69]Mwenzangu nje unayatoa
[02:51.83]Wewe cement mimi mchanga
[02:53.38]Nkasema penzi tujenge lisije loa
[02:56.86]Najitia mkandarasi naezeka mabati
[02:59.28]Wewe chini kenchi unabomoa
[03:02.49]Niache...! Oooh niachee
[03:03.83]Niache...! (Mimi moyo wangu una hasira)
[03:06.93]Niaache...! (Tena ukae mbali)
[03:09.31]Niache...! (Oooh niachee)
[03:13.74]Niache...! (Usiwapigie rafiki zangu)
[03:15.08]Niache...! (Usithubutu hata simu yangu)
[03:18.03]Niaache...! (Chonde tafadhali)
[03:19.91]Niache...! (Niiaaa...!)
[03:25.21]♪
[03:30.50]Iyoo Lizer
[03:33.19]Hhhhmm
[03:34.50]Ntakudanganya kwa tabasamu
[03:36.40]Ntakudanganya kwa kucheka
[03:38.75]Ntakudanganya hata kwa salamu
[03:41.71]Ila moyoni nakuchukia
[03:44.42]Nitakudanganya kukufollow
[03:47.07]Nitakudanganya kucomment
[03:50.03]Nitakudangaya kulike picha
[03:52.40]Ila siwezi kukuzimia
[03:55.07]Mfyuuuuuuu
[03:56.69]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Niache by Diamond Platnumz
1. Who is the singer of "Niache" song?
⇒ Diamond Platnumz has sung the song "Niache".
2. Which album is the "Niache" song from?
⇒ The song "Niache" is from the album Diamond Platnumz.
3. In which language is the "Niache" song composed?
⇒ The song "Niache" is composed in the Estonian language.
4. What is the official duration of the "Niache" song?
⇒ The official duration of "Niache" is 03:59.99.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Diamond Platnumz - Niache