• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Mungu Wa Huruma Lyrics by Christina Shusho - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Mungu Wa Huruma lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Mungu Wa Huruma by Christina Shusho from the album Christina Shusho. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:57.58. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Mungu Wa Huruma by Christina Shusho LRC Format

    [ti:Mungu Wa Huruma]
    [ar:Christina Shusho]
    [al:Christina Shusho]
    [lang:Swahili]
    [length:04:57.58]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:15.36]Mungu wa Huruma
    [00:19.08]Utuhurumie
    [00:23.13]Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama
    [00:31.31]Mungu wa Huruma
    [00:35.31]Utuhurumie
    [00:39.56]Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama
    [01:04.69]Toka Mbinguni,
    [01:06.08]Bwana alipochungulia mwanadamu
    [01:08.22]Aone kama ni mtu mwenye akili
    [01:12.87]Amtafutaye Mungu
    [01:22.31]Wote wamepotoka
    [01:24.23]Wote wameoza
    [01:27.68]Hakuna atendaye mema ata mmoja Mungu
    [01:37.74]Wapendwa tukikosana
    [01:41.61]Tuonane kwa upendo
    [01:46.02]Wakubwa kwa wadogo
    [01:48.67]Viongozi kwa viongozi
    [01:49.84]Watumishii
    [01:54.12]Mungu wa Huruma
    [01:58.25]Utuhurumie
    [02:01.87]Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama
    [02:10.85]Mungu wa Huruma
    [02:14.88]Utuhurumie
    [02:19.05]Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama
    [02:27.91]Dunia imeharibika sana
    [02:31.47]Uovu mwingi kila mahali
    [02:34.79]Kama si neema yako, nani angesimama
    [02:44.31]Mungu wa Huruma
    [02:47.75]Utuhurumie
    [02:52.17]Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama
    [03:00.39]Mungu wa Huruma
    [03:04.05]Utuhurumie
    [03:08.79]Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama
    [03:17.78]Mwanadamu anaogopwa sanakuliko mnyama mkali
    [03:22.62]Kuaminiana hakupo tena, ndugu kusalitiana
    [03:26.87]Imani imetoeka misingi imeharibika
    [03:32.58]Neno lako inasema
    [03:34.48]Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu
    [03:37.49]Watajinyenyekesha na kuomba
    [03:40.47]Na kutafuta uso
    [03:42.20]Na kuliacha njia zao mbaya
    [03:44.13]Ntasikia toka mbinguni
    [03:46.75]Na kuwasemeha dhambi zao
    [03:48.43]Na kuponya nchi yako
    [03:50.63]Mungu wa Huruma
    [03:53.91]Utuhurumie
    [03:58.19]Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama
    [04:06.34]Mungu wa Huruma
    [04:10.40]Utuhurumie
    [04:14.46]Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama
    [04:22.94]Mungu wa Huruma
    [04:27.21]Utuhurumie
    [04:31.47]Ungehesabu Maovu yetu nani angesimama
    [04:55.38]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Mungu Wa Huruma by Christina Shusho

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Ning'are

    Ongoza Hatua Zangu

    Mungu Uhudumiwe

    Nitendee

    Wastahili

    Mtetezi Wangu

    Muimbieni Bwana

    I'm Gonna Work

    Bado Nakungoja

    Songa Mbele

    Nina Wimbo

    Hallelujah

    Nipe Macho

    Yesu Yumwema

    Roho

    Ni Kwa Neema

    Pendo La Mungu

    Adamu


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Mungu Wa Huruma" song?

    ⇒ Christina Shusho has sung the song "Mungu Wa Huruma".

    2. Which album is the "Mungu Wa Huruma" song from?

    ⇒ The song "Mungu Wa Huruma" is from the album Christina Shusho.

    3. In which language is the "Mungu Wa Huruma" song composed?

    ⇒ The song "Mungu Wa Huruma" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Mungu Wa Huruma" song?

    ⇒ The official duration of "Mungu Wa Huruma" is 04:57.58.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Christina Shusho - Mungu Wa Huruma