Read, copy, and download the Mbagala lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Mbagala by Diamond Platnumz from the album Diamond Platnumz. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:02.05. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Mbagala]
[ar:Diamond Platnumz]
[al:Diamond Platnumz]
[lang:Indonesian]
[length:04:02.05]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:04.61]Mm-mm, mm
[00:09.62]Busara na upole, na hekima nilorithi kutoka kwa mama yangu, mama
[00:15.16]Vyote haukuvijali, ukaona silingani kabisa kuwa na wewe
[00:20.33]Akuti na Mkole, ukakata kabisa na shina la penzi langu, nana
[00:25.80]Eti kisa mali, ukaona bora uniache mimi na uolewe
[00:31.36]Ile siku shekhe namuona anachoma ubani
[00:34.08]Unavishwa pete unakuwa mke wa fulani
[00:36.46]N'liumia sana, sana, ah
[00:42.02]Ile siku shekhe namuona anachoma ubani (ah-ha)
[00:44.84]Unavishwa pete unakua mke wa fulani (ah-ha)
[00:47.24]Niliumia sana, mi niliumia sana, sana
[00:52.64]Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala
[00:57.77]Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi
[01:02.98]Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala
[01:08.43]Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi
[01:21.90]Ah-ah, ungejua jinsi gani
[01:26.59]Machozi n'lolia kwa uchungu wa penzi langu, na
[01:29.85]Mwenzio jinsi gani, vile nimeumia moyoni
[01:34.74]Hata kupendwa sitamani
[01:37.07]Utamu wa mapenzi mwenzako umekula kwangu, ma'
[01:40.43]Mwenzio sitamaani, hata raha tena mi sioni
[01:45.50]Ah, naskia hivi sasa una mtoto anaitwa Mamu
[01:48.77]Vile akinuna mpaka atabasamu
[01:50.96]Mmefanana sana, sana
[01:56.47]Mi' mwenzako tena mapenzi mi' sina hamu (ah)
[01:59.34]Tena na mpango wa kuhama Dar Es Salaam (ah)
[02:01.82]Nataka niende mbali, niepuke visa na walimwengu
[02:05.50]Mi' mwenzenu siwezi
[02:07.09]Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala
[02:12.36]Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi
[02:17.90]Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala
[02:23.15]Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi
[02:28.94]Nasema Mbagala, Mbagala, Mbagala, a-ah
[02:34.41]Mbagala, ukaona mapenzi siwezi
[02:39.63]Nasema Mbagala (Mbagala), Mbagala (Mbagala), Mbagala (Mbagala), eeh
[02:45.19]Mbagala, ukaona mapenzi siwezi
[02:49.73]Tatizo kwetu Mbagala (mm, Mbagala), hapa nyumba mbele jalala (mm, mbele jalala)
[02:55.17]Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi
[03:00.30]Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala
[03:05.51]Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi (mama, ma', ah)
[03:12.96]Mbele jalala (jalala), kwetu Mbagala (Mbagala)
[03:17.90]Mm, mape-
[03:23.70]Eh-eh, hi-hi, na, na, na, na, na, na, eh
[03:35.48]Ayo (ayo), yo I'm Platnumz ladies, I'm back (I'm back)
[03:40.73]The Sharobaro President, Bob Junior
[03:44.99]Mr. Chocolate Flava
[03:47.54]Yo, I'm back, Diamond I'm back ha-ha
[03:53.87]Nimemaliza
[03:55.29]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Mbagala by Diamond Platnumz
1. Who is the singer of "Mbagala" song?
⇒ Diamond Platnumz has sung the song "Mbagala".
2. Which album is the "Mbagala" song from?
⇒ The song "Mbagala" is from the album Diamond Platnumz.
3. In which language is the "Mbagala" song composed?
⇒ The song "Mbagala" is composed in the Indonesian language.
4. What is the official duration of the "Mbagala" song?
⇒ The official duration of "Mbagala" is 04:02.05.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Diamond Platnumz - Mbagala