Read, copy, and download the Litapita lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Litapita by Christina Shusho from the album Christina Shusho. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:47.18. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Litapita]
[ar:Christina Shusho]
[al:Christina Shusho]
[lang:Italian]
[length:03:47.18]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:17.73]Nimeona hofu imetanda dunia
[00:23.28]Hofu imetanda dunia
[00:27.38]Huku na huku mambo yamebadilika
[00:33.27]Mambo ni tofauti
[00:37.37]Tamaduni zetu si kama mwanzo
[00:42.74]Si vile tulivyozoea
[00:47.77]Aliye nacho analia
[00:49.89]Asiye nacho pia analia
[00:52.73]Tajiri, masikini tumwekuwa sawa
[00:57.90]Si vile tulivyozoea
[01:02.48]Hili nalo litapita eeh (ooh-oh)
[01:05.77]Litapita eeh (eeh-eh)
[01:07.94]Hili litapita eeh (oh-oh-ooh)
[01:10.64]Utapambazuka (eh)
[01:12.46]Ata hili litapita eeh (eeh-eh)
[01:15.69]Litapita eeh (oh-oh)
[01:18.12]Hili litapita eeh (woh-oh-ooh)
[01:20.62]Asubuhi yaja
[01:22.54]Hili nalo litapita eeh (eeh-eeh)
[01:25.67]Litapita eeh (hili litapita tuu)
[01:27.94]Hili litapita eeh (litapita tuu)
[01:30.64]Utapambazuka
[01:32.51]Ata hili litapita eeh (hili litapita tuu)
[01:35.58]Litapita eeh (hili litapita tuu)
[01:37.98]Hili litapita eeh (litapita)
[01:40.49]Asubuhi yaja
[01:42.65]♪
[02:02.52]No situation is permanent, eh
[02:07.71]Nyakati huja na kupita
[02:10.35]Watu huja na kuondoka
[02:12.44]Kila kitu chini ya jua, kina mwisho
[02:17.58]Shida na raha zina mwisho
[02:22.82]Yesu pekee atabaki juu
[02:25.16]Neno lake, milele yote
[02:27.72]Yeye tuu, hana mwisho, oh-ooh
[02:32.64]Hili nalo litapita eeh (litapita)
[02:35.76]Litapita eeh (mambo litapita)
[02:38.02]Hili litapita eeh (kila kitu kitapita)
[02:40.55]Utapambazuka (Yesu pekee)
[02:42.80]Ata hili litapita eeh (ata dumu milele)
[02:45.79]Litapita eeh (litapita tuu)
[02:47.90]Hili litapita eeh (baba litapita tuu)
[02:50.72]Asubuhi yaja (Usikate tamaa)
[02:52.62]Hili nalo litapita eeh (usivunjike moyo)
[02:55.60]Litapita eeh (hili litapi tuu)
[02:57.52]Hili litapita eeh (pita tuu, litapita tuu)
[03:00.63]Utapambazuka
[03:02.54]Ata hili litapita eeh (litapita)
[03:05.48]Litapita eeh (hili litapita tuu)
[03:07.68]Hili litapita eeh (oh, litapita tuu)
[03:10.53]Asubuhi yaja
[03:12.62]♪
[03:22.51]Hili nalo litapita eeh (eh-yeh)
[03:25.68]Litapita eeh (kila kitu kitapita)
[03:27.82]Hili litapita eeh (wazuri wanapita)
[03:30.57]Utapambazuka (wa muzuri wanapita)
[03:32.81]Ata hili litapita eeh (chida nazo zinapita)
[03:35.55]Litapita eeh (eh, bina pita)
[03:37.72]Hili litapita eeh (eh, litapita tuu)
[03:40.78]Asubuhi yaja (yana pita tuu)
[03:43.71]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Litapita by Christina Shusho
1. Who is the singer of "Litapita" song?
⇒ Christina Shusho has sung the song "Litapita".
2. Which album is the "Litapita" song from?
⇒ The song "Litapita" is from the album Christina Shusho.
3. In which language is the "Litapita" song composed?
⇒ The song "Litapita" is composed in the Italian language.
4. What is the official duration of the "Litapita" song?
⇒ The official duration of "Litapita" is 03:47.18.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Christina Shusho - Litapita