Read, Copy, Download simple local lyrics LRC file which is music subtitles of Haunisumbui is a Swahili song from the album Diamond Platnumz and this song is sung by Diamond Platnumz. This synchronized LRC file is created by our stuff using our free tool "LRC File Maker" and our provided LRC files are only for the official length of the songs like this song's duration is 03:20.64. You can also download lyrics here in TXT (.txt), SRT (.srt) and PDF (.pdf) format.
[ti:Haunisumbui]
[ar:Diamond Platnumz]
[al:Diamond Platnumz]
[lang:Swahili]
[length:03:20.64]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:18.56]Si kokoko si kandambili, yani vyote havikupendezi
[00:22.85]Mwana ngoko usionawili, tope bin uterezi
[00:27.17]Utaishia kututabiri tubomoke, inasonga miezi
[00:32.25]Mola amesha takabiri, usijichoshe livunjiki penzi
[00:37.01]Ona! Umekosa nuru, umekosa bahati huna
[00:41.47]Unaitwa kunguru, ukifika wananuna
[00:46.08]Ndondondo mwana chururu, asie buzi wataka chuna
[00:50.90]Mengine nisikufuru
[00:55.15]Hhmm! Hazikukai maskara, wala makeup zinakushuka
[01:00.46]Uso umekuparara, mwili shockup zimetenguka
[01:05.29]Uso, sauti ya Stara, pakudeka unawehuka
[01:09.85]Jibwa koko la Mbagala, unabweka na kubwetuka wala!
[01:14.89]Wala haunisumbui wala!
[01:19.17]Wala haunisumbui wala!
[01:24.02]Wala haunisumbui wala!
[01:28.76]Wala haunisumbui wala!
[01:32.78]Na izo post, mara kubebana, mara eti mnabusu mtamaliza bando
[01:37.27]Unaowatuma kunitukana, siogopi mashushu mi wala michambo
[01:41.88]Kutwa kwa ma-page feki kama Lokole inahusu?
[01:46.86]Mkwe akutaki eti mwenzangu pole mbona kuntu
[01:51.69]Vimeseji kujitumisha kwa ndugu zangu marufuku
[01:56.53]Nyota imekufubika, usifosi umaarufu
[02:01.55]Upepo wa kisulisuli, umekuchukua na nuksani
[02:06.23]Tanga Lipulipuli, wanakununua kwa mizani
[02:10.54]Kwangu pambe shughuli, najiashua burudani
[02:15.70]Nna toto zurizuri, nimelitua tuli ndani yi yi yi hi
[02:21.29]Umekosa nuru, umekosa bahati huna
[02:25.64]Unaitwa kunguru, ukifika wananuna
[02:29.70]Ndondondo mwana chururu, asie buzi wataka chuna
[02:34.86]Menginе nisikufuru, usie wa Shaba wala Chuma
[02:39.54]Wala haunisumbui wala!
[02:42.80](Hamunikondeshi)
[02:44.57]Wala haunisumbui wala!
[02:46.97](Mujipost mainstagram)
[02:48.89]Wala haunisumbui wala!
[02:52.13](Hamunitetеreshi)
[02:54.39]Wala haunisumbui wala!
[02:56.63](Waalaah)
[02:59.00]♪
[03:15.49](Waasafi)
[03:15.81]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Haunisumbui by Diamond Platnumz
1. Who is the singer of "Haunisumbui" song?
⇒ Diamond Platnumz have sung the song "Haunisumbui".
2. Which album is 'Haunisumbui' song from?
⇒ Diamond Platnumz.
3. In which language is 'Haunisumbui' song composed?
⇒ Haunisumbui song is composed in Swahili language.
4. What is the official duration of 'Haunisumbui' song?
⇒ The official duration of 'Haunisumbui' is 03:20.64.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this lrc file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match with the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you need to apply an offset using our tool LRC File Maker (i.e., +10.. or -10..).
Diamond Platnumz - Haunisumbui