Read, copy, and download the Bwana Umenichunguza lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Bwana Umenichunguza by Christina Shusho from the album Christina Shusho. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 07:42.28. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Bwana Umenichunguza]
[ar:Christina Shusho]
[al:Christina Shusho]
[lang:Swahili]
[length:07:42.28]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:18.07]Ee Bwana umenichunguza, nakunijua
[00:24.30]Wewe wajua kuketi kwangu, na kuondoka kwangu
[00:30.57]Umelifahamu wazo langu, tokea mbali
[00:37.12]Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu
[00:43.87]Umeelewa na njia zangu zoote, e-eh
[00:50.50]Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu
[00:57.23]Umeelewa na njia zangu zote
[01:04.18]Ee Bwana umenichunguza, nakunijua
[01:10.35]Wewe wajua kuketi kwangu, na kuondoka kwangu
[01:16.80]Umelifahamu wazo langu, tokea mbali
[01:23.42]Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu
[01:29.86]Umeelewa na njia zangu zoote, e-eh
[01:36.63]Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu
[01:43.32]Umeelewa na njia zangu zote
[01:50.44]♪
[02:06.15]Maana hamna neno ulimini mwangu, usilojua kabisa bwana
[02:12.66]Umenizingira nyuma na mbele, ukaniwekea mkono wako
[02:19.16]Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mimi, hayadhihiriki
[02:28.37]Siwezi kuyafikia, hayadhihiriki, siwezi kuyafikia
[02:39.04]Maana hamna neno ulimini mwangu, usilojua kabisa bwana
[02:45.51]Umenizingira nyuma na mbele, ukaniwekea mkono wako
[02:51.97]Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mimi, hayadhihiriki
[03:01.49]Siwezi kuyafikia, hayadhihiriki, siwezi kuyafikia
[03:12.64]♪
[03:31.51]Niende wapi nijiepushe, na roho yako
[03:37.85]Niende wapi niukimbie uso wako
[03:44.07]Kama ningepanda Mbinguni wewe uko
[03:50.79]Ningefanya kuzimu kitanda, huko nako uko
[03:57.16]Kama nikisema hakika giza litanifunika
[04:04.09]Giza nalo halikufichi kitu
[04:10.77]Giza na mwanga kwako ni sawasawa
[04:17.82]Ee Mungu unichunguze, ujue moyo wangu
[04:27.56]Ee Mungu (ee Mungu eee)
[04:30.79]Unijaribu, uyajuwe mawazo yangu
[04:37.18]Eeh Mungu (ee Mungu)
[04:40.59]Eeh Mungu (uone kama)
[04:43.97]Uone kama niko njia iletayo majuto ndani yangu (eeh Mungu ee) eeh Mungu (ukaniongoze)
[04:57.10]Ukaniongoze katika njia ya haki (milele) milele (maana wewe)
[05:10.24]Maana wewe ndiwe uliye niumba (uzima wangu)
[05:16.96]Uzima wangu (eeh Mungu ee) ee Mungu (macho yako)
[05:23.73]Macho yako (macho yako) yaliniona kabla sijakamilika (eeh Mungu ee) ee Mungu (nimekuita)
[05:36.64]Uisikie sauti yangu (nikuitapo Baba)
[05:43.31]Eeh mungu (eeh Mungu ee) ee mungu (ee Mungu)
[05:49.70]Ee Mungu (ee Mungu) unichunguze, ujue moyo wangu (ee Mungu)
[05:59.65]Ee Mungu (ee Mungu)
[06:02.89]Unijaribu (ee Mungu), uyajuwe mawazo yangu (ee Mungu)
[06:09.56]Eeh mungu (ee Mungu) eeh mungu (maneno)
[06:16.05]Maneno (maneno) ya kinywa changu (ya kinywa changu), na mawazo ya moyo (mawazo, mawazo ya moyo wangu)
[06:29.20]Yapate (yapate) kibali mbele zako (ee Mungu)
[06:35.57]Eeh Mungu (ee Mungu) eeh Mungu (maneno, maneno)
[06:42.27]Maneno (maneno) ya kinywa changu (ya kinywa changu), na mawazo ya moyo (ye-iye-iye, mawazo ya moyo wangu)
[06:55.49]Yapate (mawazo ya moyo wangu) kibali mbele zako
[07:00.34]Eeh Mungu (ee Mungu) eeh Mungu (ee Mungu)
[07:07.09](Maneno) maneno ya kinywa changu, na mawazo ya moyo (iye, iye, iye)
[07:20.34](Mawazo ya moyo wangu) yapate kibali mbele zako
[07:26.49](Ee Mungu) eeh mungu (ee Mungu) ee Mungu
[07:31.44]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Bwana Umenichunguza by Christina Shusho
1. Who is the singer of "Bwana Umenichunguza" song?
⇒ Christina Shusho has sung the song "Bwana Umenichunguza".
2. Which album is the "Bwana Umenichunguza" song from?
⇒ The song "Bwana Umenichunguza" is from the album Christina Shusho.
3. In which language is the "Bwana Umenichunguza" song composed?
⇒ The song "Bwana Umenichunguza" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Bwana Umenichunguza" song?
⇒ The official duration of "Bwana Umenichunguza" is 07:42.28.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Christina Shusho - Bwana Umenichunguza