Read, copy, and download the Acha Nikae Kimya lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Acha Nikae Kimya by Diamond Platnumz from the album Diamond Platnumz. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 04:12.89. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Acha Nikae Kimya]
[ar:Diamond Platnumz]
[al:Diamond Platnumz]
[lang:Swahili]
[length:04:12.89]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:06.30]Mmmh mmmh
[00:10.57]Mama ananiambia Nasibu
[00:12.02]Mimi ni mtu mzima na we ndo nakutegemea
[00:15.46]Yanayotokea jaribu kupiga kimya
[00:18.20]Usidiriki hata kuongea
[00:20.84]Mara nasikia vya aibu
[00:22.48]Konda Gwajima eti ugomvi umekolea
[00:25.95]Kuchunguza karibu
[00:27.61]Ni binti mmoja kwa mitandao anachochea
[00:31.31]Najariibu kunyamaza, ila moyo utaki
[00:36.66]Unaniambia eti Simba japo nguruma uisemee haki
[00:41.44]Oooh najaribu kunyamaza hata Laizer hataki ooh
[00:47.12]Anasema walau nena kidogo
[00:50.44]Na mashabiki Dangote
[00:51.86]Wananiambia mbona husemi chochote
[00:54.76]Aah si uko nao siku zote, ama ulezi unafanya uogope
[00:59.87]Aah na media pande zote wanalalama kiongozi Atoke
[01:05.74]Nchi inaingia matope
[01:07.72]Niende wapi na mi mtoto wa wote
[01:10.47](Yani Lawaama)
[01:11.68]Acha nikae kimya (nisiongee)
[01:14.40](Kimya) ooh ninyamaze mimi
[01:17.15]Nikae kimya, nisiseme (kimya)
[01:20.77]Mama kanambia (wacha nikae kimya)
[01:22.89]Oooh nifunge mdomo (kimya)
[01:25.75]Mie bado mdogo sana (kimya), nisiseme (kimya)
[01:31.76]♪
[01:42.09]Mmmh ni mengi majaribu najitahidi epuka yasijeni-cost
[01:47.57]Japo mengine swadakta mengine hayana maana
[01:52.52]Rafiki kipenzi wakaribu ata nyimbo yake sikueza ipost
[01:57.76]Ila alivokamatwa iliniumiza sana
[02:02.68]Mitandao kila kona
[02:04.87]Uongo na ukweli unashonwa
[02:07.28]Kila nyumba inanongona
[02:10.17]Aaah Ooh Tanzania
[02:13.09]Mara kimbembe Dodoma
[02:15.44]Bunge wapinzani wameg'oma
[02:18.25]Juzi akapotea na Roma
[02:20.94]Ooooooh Tanzania ooooh
[02:25.24]Najariiibu kunyamaza
[02:28.70]Makame hataki oooh eh
[02:31.19]Ananiambia walau nena kidogo
[02:34.25]Nyumbani nafungua geti
[02:36.49]Niende kwa mangi nunua spaghetti eeh
[02:39.66]Napewa za chini ya kapeti
[02:41.55]Kuna redio imevamiwa eti
[02:44.50]Eeh napita kwenye magazeti
[02:46.88]Nakuta rundo la watu wameketi eeh
[02:50.28]Badala ya kutafuta senti
[02:52.00]Wanabishana tu mambo ya vyeti
[02:55.63]Wacha nikae kimya (oh nisiongee)
[02:58.90](Kimya) ninyamaze kabisa (nikae kimya)
[03:02.63]Ulimi koma (kimya)
[03:05.19]Usijekuniponza (wacha nikae kimya)
[03:07.69]Nifunge bakuli langu (kimya)
[03:10.14]Nikojoe nikalale (nikae kimya)
[03:12.85]Me bado mudogo sana (kimya)
[03:15.60]Mama kanambia
[03:18.74]♪
[03:26.59]Ooooh najiuliza (wapi)
[03:28.97]Najiuliiza (wapi)
[03:31.29]Tunakwenda wapi (wapi)
[03:34.02]Kila siku maneno (wapi)
[03:36.40]Ah tuacheni jamani (wapi)
[03:39.01]Me na we ni taifa moja (wapi)
[03:41.85]Kambarage baba mmoja (wapi)
[03:44.31]Sa tofauti za nini tushikamane (wapi)
[03:47.05]Tukaijenge Tanzania
[03:47.93]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Acha Nikae Kimya by Diamond Platnumz
1. Who is the singer of "Acha Nikae Kimya" song?
⇒ Diamond Platnumz has sung the song "Acha Nikae Kimya".
2. Which album is the "Acha Nikae Kimya" song from?
⇒ The song "Acha Nikae Kimya" is from the album Diamond Platnumz.
3. In which language is the "Acha Nikae Kimya" song composed?
⇒ The song "Acha Nikae Kimya" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Acha Nikae Kimya" song?
⇒ The official duration of "Acha Nikae Kimya" is 04:12.89.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Diamond Platnumz - Acha Nikae Kimya