• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Zilipendwa Lyrics by Rayvanny, Lava Lava, Mbosso - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Zilipendwa lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Zilipendwa by Rayvanny, Lava Lava, Mbosso from the album Zilipendwa. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 05:18.09. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Zilipendwa by Rayvanny, Lava Lava, Mbosso LRC Format

    [ti:Zilipendwa]
    [ar:Rayvanny, Lava Lava, Mbosso]
    [al:Zilipendwa]
    [lang:Swahili]
    [length:05:18.09]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:01.15]Oooh! hizo ni zama za kale
    [00:03.71]Oooh! Sangulo na pepe kale
    [00:11.02]Zilipendwa
    [00:12.86]Eh! Kizamani, kutoa card na maua (zilipendwa)
    [00:18.73]Wanataka money ukilipa unakwarua (zilipendwa)
    [00:21.60]Ufundi kitandani, sio maguvu kujikamua (zilipendwa)
    [00:25.16]Unafika ndani, hujatomasa unachanua (zilipendwa)
    [00:28.58]Wanawake wa leo wanataka mikakati
    [00:32.56]Ukiwa mzugaji haki ya mungu huwapati (zilipendwa)
    [00:36.12]Mapenzi ya video yatakutoa kamasi
    [00:39.44]Eti nikinywa maji nakuona kwenye glass (zilipendwa)
    [00:43.74]Eeh! kupiga chabo ghetto (zilipendwa)
    [00:45.94]Mkono na dettol(zilipendwa)
    [00:47.47]Sunche na kapeto(zilipendwa)
    [00:49.38]Majay na Mobeto(zilipendwa)
    [00:51.03]Oooh! Hizo ni zama za kale
    [00:54.70]Oooh! Sangulo na Pepe kale
    [00:58.09]Mmm bolingo ndombolo (zilipendwa)
    [01:00.55]Twanga chipolopolo (zilipendwa)
    [01:02.54]Na maji ya kandoro (zilipendwa)
    [01:04.17]Simba wa Morogoro (zilipendwa)
    [01:06.04]Mtaani sipati sukari guru kabisa (zilipendwa)
    [01:10.01]Hivi yuko wapi MB Dog wa Latiffa (zilipendwa)
    [01:12.87]Babu Tale wapi papa misifa (zilipendwa)
    [01:16.47]Siku hizi party hatuendagi Ibiza (zilipendwa)
    [01:20.57]Mpira na Pele(zilipendwa)
    [01:22.84]Tanu na Nyerere (zilipendwa)
    [01:24.42]Asha Ngedere (zilipendwa)
    [01:26.00]Arusi mabele (zilipendwa)
    [01:27.99]Eti uuze nyumba uweke heshima bar
    [01:31.46]Eti Ulazimishe aliyekukataa
    [01:35.30]Sabuni Kicherema (zilipendwa)
    [01:37.45]Mabanda ya Cinema (zilipendwa)
    [01:39.43]Lipumba na lema (zilipendwa)
    [01:41.31]Diamond na Wema (zilipendwa)
    [01:42.93]Ooh hizo ni zama za kale (zama za zamani)
    [01:47.29]Ooh Sangulo na pepe kale (yoyoyo)
    [01:50.13]Mmm... na sogi dogg (zilipendwa)
    [01:52.17]Chanel analogy (zilipendwa)
    [01:53.90]Movie za saibogy (zilipendwa)
    [01:55.51]Van Dame, Anod (zilipendwa)
    [01:57.66]Una nibeep nikupigie umeiweka vocha (haloo)
    [02:01.70]Ule wewe nilipe mie umeniona Loffa
    [02:04.60]Tena na madada wenye majina acheni visa
    [02:08.28]Unaitwa ukale diner mnakwenda tisa
    [02:12.93]Nywele za kichina (zilipendwa)
    [02:14.59]Pochi za kuazima (zilipendwa)
    [02:16.45]Zena na betina (zilipendwa)
    [02:17.97]Bashite gwajima (zilipendwa)
    [02:19.99]Ooh hizo ni zama za kale (zama za zamani)
    [02:23.23]Ooh Sangulo na pepe kale (yoyoyo)
    [02:26.90]Mmm Amitabh Bachchan (zilipendwa)
    [02:28.88]Tv kwa jirani (zilipendwa)
    [02:30.78]Madee Rayvany (zilipendwa)
    [02:32.73]Zari Ivan (zilipendwa)
    [02:34.80]Yanini kunichunguza naish wapi (zilipendwa)
    [02:38.10]Nala, chapati kwa maini au makange (zilipendwa)
    [02:41.63]Kutwa kunikalia chini unakamati
    [02:45.57]Oh yarabbi masikini kuni dhihaki
    [02:48.96]Ah sampamba pangala (zilipendwa)
    [02:51.26]P Funk Kajala (zilipendwa)
    [02:53.19]Onyango na Jangala (zilipendwa)
    [02:54.91]Rufufu mkandala (zilipendwa)
    [02:56.67]Vya nini vidomo domo tutupiane tunguli
    [03:00.77]Kisa pesa za mkopo msimu wa Magufuli
    [03:04.18]Ah, Bongoman yondo (zilipendwa)
    [03:06.06]Sikinde Msondo (zilipendwa)
    [03:07.92]Magari ya Udongo (zilipendwa)
    [03:09.57]Babu wa Loliondo (zilipendwa)
    [03:11.48]Ooh hizo ni zama za kale (zilivumaga sana)
    [03:15.28]Ooh Sangulo na pepe kale (yoyoyo)
    [03:18.13]Ah Tv za kichogo (zilipendwa)
    [03:20.80]Wakina Man Dojo (zilipendwa)
    [03:22.74]Giggy na Iyobo (zilipendwa)
    [03:25.09]Akina Hatupogo (zilipendwa)
    [03:26.84]Eti msiba ukiona bundi unataka kupagawa
    [03:30.52]Tulale makundi makundi kuogopa popo bawa
    [03:33.33]Zuwena nitampata wapi (zilipendwa)
    [03:37.13]Zuwena wa zile nyakati eh (zilipendwa)
    [03:40.65]Kujifanya mapanga sunna wamepinda
    [03:44.58]Wengine wabeba vyuma na hakuna marinda
    [03:48.32]Iddi Amini dada(zilipendwa)
    [03:50.21]Miuno ya H Baba (zilipendwa)
    [03:52.11]Domo Chai Jabba (zilipendwa)
    [03:53.86]Michezo ya kibaba baba (zilipendwa)
    [03:55.69]Wale wapiga deal sasa hali mbaya (zilipendwa)
    [03:59.67]Hizi zama za Magufuli si za Jakaya (zilipendwa)
    [04:02.92]Ugomvi wa Mr.Nice na Dudu Baya (zilipendwa)
    [04:06.26]Vikatuni vya madenge baba ubaya (zilipendwa)
    [04:10.00]Muhogo mchungu mr.bean, wapi bambo (zilipendwa)
    [04:14.33]Wale wazamiaji wale wa melini wazee wang'ambo
    [04:17.98]Hivi yuko wapi Banjamini wa Mambo Jambo
    [04:22.04]Wa Vietnam waporini vita na Rambo
    [04:25.10]Eh ndanda Mjela jela (zilipendwa)
    [04:27.31]Kidali Kombolela (zilipendwa)
    [04:29.16]Max na Zembwela (zilipendwa)
    [04:30.83]Juma Nature na Fela (zilipendwa)
    [04:32.32]Ooh hizo ni zama za kale (zama za zamani)
    [04:37.34]Ooh Sangulo na pepe kale (yoyoyo)
    [04:40.26]Mmm kamanda Daz Nunda (zilipendwa)
    [04:41.95]Kalumanzila Ndumba (zilipendwa)
    [04:43.87]Simu za Dole gumba (zilipendwa)
    [04:45.85]Johari na Kanumba (zilipendwa)
    [04:48.30]♪
    [04:54.81]Wasafii
    [04:55.94]♪
    [05:03.77]Zilipendwa, zilipendwa
    [05:06.58]Zilipendwa, zilipendwa
    [05:09.90]Ohlilelelileeee
    [05:13.36]Zilipendwa
    [05:15.56]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Zilipendwa by Rayvanny, Lava Lava, Mbosso

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Nakupenda

    I Love You

    Mchepuko

    Kelebe

    Falling In Love

    Zamani

    Teamo

    Tetema

    Habibi

    Lala

    Rotate

    Zezeta

    Zilipendwa

    Vumbi

    Tetema Remix

    My Lady

    Pochi Nene Remix

    Nyamaza


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Zilipendwa" song?

    ⇒ Rayvanny, Lava Lava, Mbosso has sung the song "Zilipendwa".

    2. Which album is the "Zilipendwa" song from?

    ⇒ The song "Zilipendwa" is from the album Zilipendwa.

    3. In which language is the "Zilipendwa" song composed?

    ⇒ The song "Zilipendwa" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Zilipendwa" song?

    ⇒ The official duration of "Zilipendwa" is 05:18.09.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Rayvanny, Lava Lava, Mbosso - Zilipendwa