Read, copy, and download the Lala lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Lala by Rayvanny, Jux from the album Rayvanny. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:15.71. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Lala]
[ar:Rayvanny, Jux]
[al:Rayvanny]
[lang:Tagalog]
[length:03:15.71]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:00.40]Lala lala-lala (Vannyboy)
[00:05.60]Lala lala-lala (S2keeyz baby)
[00:10.80]Nawaza usingetokea ningeongea nini leo
[00:16.00]Bila ya penzi lako 'nge-enjoy nini leo
[00:21.43]Imekuwa bora alivyopotea ukatokea wewe leo
[00:26.87]Tena bila huruma yako ningetamba wapi leo
[00:33.27]Kwenye baridi nikukumbate upate joto
[00:38.78]Twende kwa bibi atupe baraka tuzae watoto
[00:44.13]Eh ye ye, ngozi laini mtoto sop-sop, tumbo la kuvalia croptop
[00:50.68]Vanessa wa nini we don't talk talk, sitaki shobo nishablock-block
[00:56.55]Iyee
[00:57.77]Lala lala-lala (lala kifuani)
[01:02.88]Lala lala-lala (kichuna ng'ang'a usinzie)
[01:08.64]Lala lala-lala (nibembeleze nikuimbie)
[01:14.23]Lala lala-lala (la la la)
[01:21.85]♪
[01:31.70]Nikimwita sukari ananiita asali, lamba lamba, pipi
[01:37.74]Kuku mwenye kidari shepu ngangari ya kuvunja kiti
[01:43.08]Kanifunika, mbawa za upendo wake hunibeba kwenda juu
[01:49.02]Wakimponda sawa, hawajui ndio nazidi kumpenda
[01:54.31]Usiku kwenye kimvua-mvua tukivua-vua zima taa jilaze kwenye kifua
[02:00.20]Unanijua-jua nnakujua-jua massage ya mafuta nikikuchua
[02:05.48]Ngozi laini mtoto sop-sop, tumbo la kuvalia croptop
[02:10.50]Fayma wa nini we don't talk talk, sitaki shobo nishablock-block hee
[02:16.79]Lala lala-lala (lala kifuani)
[02:21.95]Lala lala-lala (kichuna lala usinzie)
[02:28.41]Lala lala-lala (nibembeleze nikuimbie)
[02:34.52]Lala lala-lala (la la la)
[02:40.06]Lala lala-lala (lala kifuani)
[02:45.63]Lala lala-lala (kichuna lala usinzie)
[02:51.30]Lala lala-lala (nibembeleze nikuimbie)
[02:57.06]Lala lala-lala (la la la)
[03:05.48]Mhh, la la la
[03:09.06](Wasafi)
[03:10.38]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Lala by Rayvanny, Jux
1. Who is the singer of "Lala" song?
⇒ Rayvanny, Jux has sung the song "Lala".
2. Which album is the "Lala" song from?
⇒ The song "Lala" is from the album Rayvanny.
3. In which language is the "Lala" song composed?
⇒ The song "Lala" is composed in the Tagalog language.
4. What is the official duration of the "Lala" song?
⇒ The official duration of "Lala" is 03:15.71.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Rayvanny, Jux - Lala