Read, copy, and download the Zamani lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Zamani by Rayvanny from the album Rayvanny. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:26.60. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Zamani]
[ar:Rayvanny]
[al:Rayvanny]
[lang:Turkish]
[length:03:26.60]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:10.77]Ayi ye yoh
[00:12.21]Ayi ye yoh
[00:14.26]Ayi ye yoh, unalewa leo si tulilewa zamani
[00:20.03]Ayi ye yoh
[00:21.08]Ayi ye yoh
[00:22.71]Ayi ye yoh, unahonga leo si tulihonga zamani
[00:26.62]Ayi ye yoh
[00:28.46]Ayi ye yoh
[00:30.94]Ayi ye yoh, unadanga leo si tulidanga zamani
[00:35.29]Unaringia picha zenye filter ya huko Insta
[00:39.28]Zamani si tulitisha mwendo wa kiko hakuna shisha
[00:43.82]Shepu zakushikika kitu O.G. ugali muchicha
[00:47.68]Leo munatingisha kimbe wachina wamejazisha
[00:51.69]Zamani tulihonga bangili (ayah), pini masikioni (ayah)
[00:56.49]Leo mumebadili mnahonga na Iphone
[01:00.18]Vijana wengi wazembe wengi waongo chumbani butu
[01:04.55]Wazee wa mundende mara mukongo, alkasusi
[01:08.54]Zamani si ndio majembe tena vibongo wachinja kuku
[01:12.84]Chumbani kimbembe mechi ya ndondo hatoki mutu
[01:16.62]Ayi ye yoh
[01:19.02]Ayi ye yoh
[01:21.18]Ayi ye yoh, unalewa leo si tulilewa zamani
[01:25.69]Ayi ye yoh
[01:27.30]Ayi ye yoh
[01:29.38]Ayi ye yoh, unahonga leo si tulihonga zamani
[01:33.72]Ayi ye yoh
[01:35.63]Ayi ye yoh
[01:37.45]Ayi ye yoh, una-cheat leo si tuli-cheat zamani
[01:50.99]Mhh, enzi zetu kupendeza haugusi
[01:54.65]Suti rangi kifuu na shingoni kamjusi
[01:58.72]Kwenye nywele za zuu, nna moka za Urusi
[02:02.72]Mhh, kishoka kwa juu na kigazeti cha uzushi
[02:07.03]Zamani kuwahi kazi sio mwendo kasi unapanda U.D.A
[02:11.53]Kwa mwenye nazo ni taxi sio ku-request mambo ya Uber
[02:15.28]Wadada zamani kazi kazi hawalewi bia leo kesho
[02:20.55]Sikuhizi vichwa panzi bia mbili kashafika geto
[02:24.28]Zamani ni tofauti na leo
[02:28.85]Hadi ng'ombe maradufu ndio anakuwa mkeo
[02:33.08]Zamani ni tofauti na leo
[02:37.09]Ukitoa chipsi kuku analegeza komeo
[02:40.59]Vijana wengi wazembe wengi waongo chumbani butu
[02:45.39]Wazee wa mundende mara mukongo, alkasusi
[02:48.87]Zamani si ndio majembe tena vibongo wachinja kuku
[02:53.11]Chumbani kimbembe mechi ya ndondo hatoki mutu
[02:57.73]Ayi ye yoh
[02:59.81]Ayi ye yoh
[03:01.15]Ayi ye yoh, unalewa leo si tulilewa zamani
[03:05.43]Ayi ye yoh
[03:07.30]Ayi ye yoh
[03:09.84]Ayi ye yoh, unahonga leo si tulihonga zamani
[03:13.79]Ayi ye yoh
[03:15.57]Ayi ye yoh
[03:17.48]Ayi ye yoh, una-cheat leo si tuli-cheat zamani
[03:22.43]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Zamani by Rayvanny
1. Who is the singer of "Zamani" song?
⇒ Rayvanny has sung the song "Zamani".
2. Which album is the "Zamani" song from?
⇒ The song "Zamani" is from the album Rayvanny.
3. In which language is the "Zamani" song composed?
⇒ The song "Zamani" is composed in the Turkish language.
4. What is the official duration of the "Zamani" song?
⇒ The official duration of "Zamani" is 03:26.60.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Rayvanny - Zamani