• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Nyamaza Lyrics by Rayvanny - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Nyamaza lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Nyamaza by Rayvanny from the album Rayvanny. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:26.40. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Nyamaza by Rayvanny LRC Format

    [ti:Nyamaza]
    [ar:Rayvanny]
    [al:Rayvanny]
    [lang:Swahili]
    [length:03:26.40]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:10.37]Weka pombe sigara chini subiri tuongee
    [00:13.64]Zima kijiti marijuana za nini? Ngoja tuongee
    [00:18.78]Mbona ulisema mengi ukitaka nipotee
    [00:23.47]Sa umefanya nini? Na ulisema nini wala usijitetee
    [00:28.62]Macho hayana pazia
    [00:31.14]Nilimwona navutia
    [00:33.25]Naye kanikubalia
    [00:35.97]Kumbe moyoni unaumia
    [00:37.68]Dunia imejaa visanga
    [00:40.17]Ubinadamu umekuwa majanga
    [00:42.85]Tembo amefungwa kwa banda
    [00:44.74]Anataka kula kuku pia na vifaranga
    [00:47.61]Mungu tu akusamehe
    [00:49.81]Wewe ni kama ndugu yangu
    [00:52.49]Upunguze ma ugali
    [00:54.46]Uadui wa nini mwenzangu we
    [00:57.12]Ukitenda kosa na haujaomba radhi unakosea (Kosea)
    [01:01.86]Mama yake mzazi huruma ungemwonea (Mwonea)
    [01:06.67]Chunga kinywa kiwe na kituo
    [01:09.30]Hekima ndo iwe funguo
    [01:11.69]Maneno ya nini? Unajivua nguo
    [01:13.96]Kumbuka ulimwengu ni kama chuo
    [01:16.60]Ungenyamaza, kaa kimya
    [01:18.73]Bora ungenyamaza kama huna la maaana
    [01:20.78]Ungenyamaza, ukikosa heshima
    [01:23.61]Bora ungenyamaza, bora kukaa kimya
    [01:26.20]Ungenyamaza, bora ungenyamaza
    [01:29.24]Bora ungenyamaza
    [01:30.27]Ungenyamaza tu, bora ungenyamaza
    [01:34.11]Kuwa muungwana
    [01:42.12]Mmmmh hasira hasara
    [01:49.60]Mimi ni ndugu yako kanitoa kafara
    [01:54.71]Ukakesha hukutaka kulala
    [01:59.55]Ukipambana niharibikiwe kaka wa Mtwara
    [02:04.42]Ukasahau mapenzi ni siri
    [02:06.78]Tena siri ya wawili
    [02:09.15]Kilichokuponza maadili
    [02:11.32]Tamaa ukashindwa isitiri
    [02:14.20]Tunza heshima yako
    [02:15.57]Na mashabiki zako wajivunge
    [02:18.85]Na unapotongoza warembo
    [02:21.50]Boxer usiweke pembeni
    [02:23.76]Macho hayana pazia
    [02:25.72]Nilimwona anavutia
    [02:28.76]Naye kanikubalia
    [02:31.01]Kumbe moyoni unaumia
    [02:33.03]Ukitenda kosa na haujaomba radhi unakosea (Kosea)
    [02:37.94]Mama yake mzazi huruma ungemwonea (Mwonea)
    [02:42.72]Chunga kinywa kiwe na kituo
    [02:46.05]Hekima ndo iwe funguo
    [02:47.58]Maneno ya nini? Unajivua nguo
    [02:50.36]Kumbuka ulimwengu ni kama chuo
    [02:52.36]Ungenyamaza, kaa kimya
    [02:54.73]Bora ungenyamaza kama huna la maaana
    [02:56.95]Ungenyamaza, ukikosa heshima
    [02:59.20]Bora ungenyamaza bora kukaa kimya
    [03:01.80]Ungenyamaza, bora ungenyamaza
    [03:05.10]Bora ungenyamaza
    [03:07.00]Ungenyamaza tu, bora ungenyamaza
    [03:10.23]Kuwa muungwana
    [03:11.27]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Nyamaza by Rayvanny

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Nakupenda

    I Love You

    Mchepuko

    Kelebe

    Falling In Love

    Zamani

    Teamo

    Tetema

    Habibi

    Lala

    Rotate

    Zezeta

    Zilipendwa

    Vumbi

    Tetema Remix

    My Lady

    Pochi Nene Remix

    Nyamaza


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Nyamaza" song?

    ⇒ Rayvanny has sung the song "Nyamaza".

    2. Which album is the "Nyamaza" song from?

    ⇒ The song "Nyamaza" is from the album Rayvanny.

    3. In which language is the "Nyamaza" song composed?

    ⇒ The song "Nyamaza" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Nyamaza" song?

    ⇒ The official duration of "Nyamaza" is 03:26.40.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Rayvanny - Nyamaza