Read, copy, and download the Wasikudanganye lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Wasikudanganye by Nandy from the album The African Princess. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:48.50. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Wasikudanganye]
[ar:Nandy]
[al:The African Princess]
[lang:Swahili]
[length:03:48.50]
[by:Jun]
[re:www.rclyricsband.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:01.12]Wasikuambie kwamba mimi eti sina lolote
[00:11.68]Labda wakuambie sina ujanja juu yako
[00:16.53]Wasikudanganye watakupa utakacho chochote
[00:23.36]Wataitoa wapi furaha yako
[00:24.89]Maana wabaya hawatoki mbali
[00:29.27]Jirani yako we ndio anapenda usile
[00:32.66]Hawatokubali kuona bendera ya penzi lako inapepea
[00:37.02]Hawatokujali kipindi ambacho mawazo
[00:39.81]Yanafanya usile watakutupia mbali
[00:42.40]Si ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie
[00:48.16]Tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie
[00:53.92]Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi
[00:57.47]Kuninginia si tumetoka mbali
[01:01.64]Mazoea na ushakuwa maua
[01:04.18]Moyo moyo wangu mimi
[01:07.07]Unauendesha moyo moyo
[01:10.82]Funga macho na masikio Ziba moyo moyo
[01:14.14]Usiwasikie usiwaone pia moyo moyo
[01:20.25]Umegota kwako moyo wangu moyo moyo
[01:23.46]Auuu uuh moyo moyo Usiwaone pia
[01:30.07]Kukosa majaribu moyo usije
[01:39.47]Tia donda ukauchubua maumivu yani adhibu
[01:40.85]Kisa upendo furaha kuichua
[01:42.44]Kwenye kosa niadhibu nami mwanadamu
[01:44.41]Siku ntakosea kukuacha
[01:46.41]Sijaribu wapi niende nami kwako nishajifia
[01:50.89]Ila usifanye kama fimbo
[01:53.56]Ufanane na tindo ukashindwa kujali maumivu yangu
[01:59.22]Si ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie
[02:01.66]Tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie
[02:08.47]Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi
[02:14.99]Kuninginia si tumetoka mbali
[02:18.89]Mazoea na ushakuwa maua
[02:20.16]Moyo moyo wangu mimi
[02:23.80]Unauendesha moyo moyo
[02:24.93]Funga macho na masikio Ziba moyo moyo
[02:29.38]Usiwasikie usiwaone pia moyo moyo
[02:34.61]Umegota kwako moyo wangu moyo moyo
[02:37.80]Auuu uuh moyo moyo Usiwaone pia
[02:43.24]Ouuhh moyo moyoo huu moyo
[02:45.77]Moooooyo heyyyy huu moyooo oh moyooo wangu
[03:07.71]Mimi ah moyo moyo funga macho moyo moyo uuh baby
[03:17.62]RCLyricsBand.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Wasikudanganye by Nandy
1. Who is the singer of "Wasikudanganye" song?
⇒ Nandy has sung the song "Wasikudanganye".
2. Which album is the "Wasikudanganye" song from?
⇒ The song "Wasikudanganye" is from the album The African Princess.
3. In which language is the "Wasikudanganye" song composed?
⇒ The song "Wasikudanganye" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Wasikudanganye" song?
⇒ The official duration of "Wasikudanganye" is 03:48.50.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Nandy - Wasikudanganye