• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Raha Lyrics by Nandy - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Raha lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Raha by Nandy from the album Raha. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:14.92. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Raha by Nandy LRC Format

    [ti:Raha]
    [ar:Nandy]
    [al:Raha]
    [lang:Swahili]
    [length:03:14.92]
    [by:Jun]
    [re:www.rclyricsband.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:11.33]Nawaza ingekuaje kama ningekukosa
    [00:18.00]Nawaza
    [00:20.96]Inamaana hizi raha zote ningezikosa
    [00:28.18]Nawaza
    [00:31.46]Penzi limenikolea kama mtoto anashindwa tembea
    [00:37.42]Raha zimenibombea kwa mama nitakusemea
    [00:42.64]Si wanasemaga penzi bonde na milima nipeleke
    [00:48.24]Unichonipaga usidiriki kunyinma mi nideke
    [00:53.14]Penzi limetaradi oya halima acha nicheke
    [00:58.67]Nilale ama mi nisimame wima
    [01:02.18]Unanipa raha, nazidi kuwa mdogo mi sikui
    [01:07.64]Unanipa raha
    [01:09.70]Nifanye kitafunwa unile
    [01:12.99]Unanipa raha
    [01:15.45]Zidi kunifundisha mi sivijui
    [01:18.64]Unanipa raha
    [01:20.87]Nianze kukulisha ndo nile
    [01:22.93]Oh oh oh oh oh oh oh
    [01:27.70]Oh oh oh oh oh oh oh
    [01:30.37]Oh oh oh oh oh oh oh
    [01:33.06]Hadi kucha zinaisha
    [01:38.67]Nikikuona nazing'ata
    [01:41.34]Unavyonizubanisha mi napagawa oyani tu
    [01:47.42]Tuache yote tisa, kumi nakupa limbwata
    [01:51.70]Unavyoniburudisha mi napagawa
    [01:56.89]Nakupenda unanipenda mpaka rahaa
    [02:01.06]Nikikuona tu nashiba sina njaa
    [02:08.30]Hili penzi limejawa na furaha
    [02:12.45]Wakikuiba natoa mtu kafara
    [02:17.73]Si wanasemaga penzi bonde na milima nipeleke
    [02:24.31]Unachonipa usidiriki kuninyima mi nideke
    [02:29.53]Penzi limetaradi oya halima acha nicheke
    [02:35.09]Nilale ama mi nisimame wima
    [02:38.23]Unanipa raha, nazidi kuwa mdogo mi sikui
    [02:44.17]Unanipa raha
    [02:45.70]Nifanye kitafunwa unile
    [02:49.01]Unanipa raha
    [02:50.76]Zidi kunifundisha mi sivijui
    [02:54.40]Unanipa raha
    [02:56.80]Nianze kukulisha ndo nile
    [02:59.08]RCLyricsBand.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Raha by Nandy

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Aibu

    Hazipo

    New Couple

    Hatujui

    Wasikudanganye

    One Day

    Siwezi

    Raha

    Nagusa Gusa

    Nibakishie

    Dah!

    Party


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Raha" song?

    ⇒ Nandy has sung the song "Raha".

    2. Which album is the "Raha" song from?

    ⇒ The song "Raha" is from the album Raha.

    3. In which language is the "Raha" song composed?

    ⇒ The song "Raha" is composed in the Swahili language.

    4. What is the official duration of the "Raha" song?

    ⇒ The official duration of "Raha" is 03:14.92.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Nandy - Raha